Mchungaji aliyedai kuvunjiwa Kanisa Zanzibar afunguka. Serikali yatangaza kumsaka, yasema ni nyumba siyo Kanisa

Mchungaji aliyedai kuvunjiwa Kanisa Zanzibar afunguka. Serikali yatangaza kumsaka, yasema ni nyumba siyo Kanisa

Hivi unadhani mimi ni mgeni katika uislamu mpaka unitafutie sauti za akina mwaipopo na wengineo wakielezea mambo waliyofanya miaka kadhaa nyuma wakiwa wakristo ?

Hayo mambo nayafahamu zamani sana na kwa taarifa yako hata waislamu huo utaratibu wa kuwashawishi watu waingie katika uislamu tunao,tunaita kufanya daawa na kuwalingania wasiokuwa waislamu waje kwenye uislamu.

Sasa kama ambavyo sisi waislamu tunafanya jitihada za kuwavuta watu waje kwenye uislamu vipi tubeze na tuone kama ni ujambazi na jinai kwa mapadre wanapotumia juhudi zao kuwavuta watu katika ukristo ?

Unafahamu kwamba kwenye utaratibu wa zaka kuna pesa unaweza kutoa kuwapa wasiokuwa waislamu ili wapate mazingatio kwwmba uislamu unawajali hata wasiokuwa waislamu ?

Haya yote hata wakristo wanafananya na tusione kama ni booonge la jinai,wao pia wanafanya daawa ya kuwavuta watu kwenye dini yao.

Kabla ya hizo sheria naomba uniambie mzanzibari ni nani ?

Mnajuanaje ?

mnajuana kwa vichwa bapa na masikio makubwa yaliyosimama ?
au mnajuana kwa kuangalia weupe?
Au mnajuana kwa kuangalia kazaliwa zanzibar au bara ?
Au mnajuana kwa lafudhi ?

Elezea mnajuanaje ?

Elezea mzanzibari ni nani ? acha kuuma maneno

Kuna uhusiano gani wa wakristo na wazanzibari ?

Uliposema wazanzibari mnajuana ulitakiwa useme kwamba na wabara pia wanajuana,lakinj kusema wakristo maana yake unataka kuaminisha umma kwamba wazenji wote waislamu ?

Ukisema wazenji wote ni waislamu naomba uniambie maana ya mzenji/mzanzibari ni ipi ?

Hivyo ulivyoandika umeandika kwa jaziba, hata hujamsikiliza ni mbinu gani walizokuwa wakizitumia, Laiti ungalitulia ukamsikiliza usingeandika hayo uliyoyaandika Kama muislamu.

Nakuambia tena Wazanzibari tunajuana kwani hii sio Tanganyika, kila mmoja ana kwao .
 
Tatizo ktk uislam amri yao kuu ni usichangamane na asiyekuwa muislam ukipata chance mle kichwa uione pepo sasa hii theory ya kwamba pendaneni haiwazi ku-match hata mara moja.

Waislam wana chuki moja mbaya sana kwa wasiokuwa waislam ni vile duniani zimekuwepo sheria kama sivyo hawa wangeleta shida sana wanatakaga humu duniani wawepo wao tu.
Ndivyo ulivyoambiwa Na mchungaji wako?
 
Hivyo ulivyoandika umeandika kwa jaziba, hata hujamsikiliza ni mbinu gani walizokuwa wakizitumia, Laiti ungalitulia ukamsikiliza usingeandika hayo uliyoyaandika Kama muislamu.

Nakuambia tena Wazanzibari tunajuana kwani hii sio Tanganyika, kila mmoja ana kwao .
Hakuna jazba yoyote mkuu,nimejaribu kukuthibitishia tu kwamba sio mgeni na hiyo mihadhara.

Na huo muhadhara haujajibu swali langu la kuwa mzanzibari ni nani ?

Sitaki maneno meengi nataka nijibiwe hilo swali kisha mjadala ndio utaanzia hapo mkuu
 
Mihadhara ya Waislamu wapi Zanzibar au bara?
Hao wakristo wanaifanya hiyo mihadhara Kama Waislamu au ni kutumia mbinu zao chafu ambazo wewe Kama kweli ni muislamu huwezi kuziunga mkono.

Nakuambia tena Wazanzibari tunajuana vizuri, kwani Kila mmoja ana kwao.

Kama alivyo Lissu ni Mtanganyika kwao Singida au Nyerere kwao Butiama au Magufuli kwao Chato
 
Mihadhara ya Waislamu wapi Zanzibar au bara?
Hao wakristo wanaifanya hiyo mihadhara Kama Waislamu au ni kutumia mbinu zao chafu ambazo wewe Kama kweli ni muislamu huwezi kuziunga mkono.

Nakuambia tena Wazanzibari tunajuana vizuri, kwani Kila mmoja ana kwao.
Mzanzibari ni nani ?

Naomba niwachane na maneno yako ambayo siyahitaji nitareply utakaponijibu hili swali la kuwa mzanzibar ni nani ?
 
Mzanzibari ni nani ?

Naomba niwachane na maneno yako ambayo siyahitaji nitareply utakaponijibu hili swali la kuwa mzanzibar ni nani ?

Mzanzibari ni Mzanzibari ambaye ana kwao Zanzibar.Mimi ni Mzanzibari kwetu ni Fujoni.

Kama Mtanganyika ni Mtanganyika mwenye kwao Tanganyika.
Nyerere ni Mtanganyika kwao ni Butiama. Lissu Pia ni Mtanganyika kwao ni Singida nk.
Labda kiswahili kinakupiga chenga

Umekimbia swali wapi wakristo walifanya mhadhara Kama Waislamu hapa Zanzibar ?
 
Mzanzibari

Mzanzibari ni Mzanzibari ambaye ana kwao Zanzibar.
Ili kwenu iwe zanzibar inatakiwa uweje ?

Uwe umezaliwa na kukulia zanzibar maisha yako yote uwe hujawahi kuishi nje ya zanzibar ?

Au uwe umezali zanzibar tu ?

Au uwe umekaa zanzibar kwa muda wa miaka kadhaa ?

Nipe jibu lenye akili mkuu usinipe jibu linalozua maswali yaleyale
 
“Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kila mtu ana haki ya kuambudu lakini lazima kuwe na utaratibu.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar acheni vitimbwi kwenye uhuru wa kuabudu.

Huo utaratibu usiwe nongwa dhidi ya Dini nyingine za watu.
 
Ili kwenu iwe zanzibar inatakiwa uweje ?

Uwe umezaliwa na kukulia zanzibar maisha yako yote uwe hujawahi kuishi nje ya zanzibar ?

Au uwe umezali zanzibar tu ?

Au uwe umekaa zanzibar kwa muda wa miaka kadhaa ?

Nipe jibu lenye akili mkuu usinipe jibu linalozua maswali yaleyale

Sasa unakuja kwenye maneno yaliyoandikwa Na vibaraka na wavamizi baada ya kuleta watu kutoka Tanganyika Na kuwapa vitambulisho vya kupigia kura. Hayo maneno yao waulize wenyewe CCM.
Ukweli ni kuwa Mzanzibari ni Mzanzibari mwenye kwao Zanzibar
 
Sasa unakuja kwenye maneno yaliyoandikwa Na vibaraka na wavamizi baada ya kuleta watu kutoka Tanganyika Na kuwapa vitambulisho vya kupigia kura. Hayo maneno yao waulize wenyewe CCM.
Inaonesha wewe ni shabiki wa kizanzibari ambae hata hujui mzanzibari ni nani.

Upo upo tu hujui tafsiri halisi ya mzanzibari.

Kwa heri.
 
Inaonesha wewe ni shabiki wa kizanzibari ambae hata hujui mzanzibari ni nani.

Upo upo tu hujui tafsiri halisi ya mzanzibari.

Kwa heri.

Kumbe wewe ni shabiki zaidi maana kumbe unalo jibu lako ulilopewa Na CCM lakini unatafuta ligi

Haya, Kama wewe Una kwenu Chato basi bakia Na huo uzanzibari wa kivamizi uliopewa Na CCM
 
Ukweli tuuseme tu, hata kama unatuuma.
Suala la uvumilivu wa kiimani kwa Zanzibar uko chini sana. Kujenga kanisa huwa kunawakera na kuwaudhi mnoo watu waliopo Zanzibar. Makanisa yanayoheshimiwa ni yale ya kihistoria ambayo yanafanya watalii waje, tofauti na hapo yangekuwa yameshavunjwa siku nyingi.

Kwa Zanzibar malaya, mashoga na mateja wana thamani kubwa kuliko muumini wa Kikristo mwenye msimamo.
Acha ujinga kanisa limeanza mwanzo Zanzibar kabla hata ya huko Tanganyika ....mashoga yameanza mwanzo Zanzibar kabla hata ya Tanganyika ila imekua kinyume chake ...mmefanya dili
 
Ndivyo ulivyoambiwa Na mchungaji wako?
Mtu anayejitambua na kujielewa hahitaji kuambiwa wala kuelekezwa maana halisi ya uislam,uislam haujawa sahihi kama haujajionyesha kwa kujitenga na kuwatenga wasiokuwa waislam,kudhihaki/kubagua wasiokuwa waislam pamoja na kuwatukana wengine hata wewe hapo unajua ila kuandika tu hapa ndo hutaki/nikusema uislam ktk eneo mahalia unatakiwa uwe peke yake bila uwepo wa Christians,Buddha au Atheists tofauti na hapo ni kata kichwa choma Kanisa sijui uwa mchungaji ili waogope wasilimu!

Kufanya vurugu kwa sababu eti tunamtetea so called alaha na deen yake,hiyo kusemwa uislam ni dini ya amani na haki inamaanishwa ni ya amani na haki pale ambapo upo uislam peke yake na uwe ni wa dhehebu moja pakiwa na madhehebu mawili Shia sijui Sunni ni vurugu tupu.uislam Tanzania hauna amani ndo mana sarakasi zote hizi zinatokea.

Hakuna Mungu wa hivi nakuapia!
 
Si muondoke Tu wavamizi mkajenge makanisa mpaka vyooni huko kwenu Tanganyika , ?
Jinsi gani mlivyo na upeo mdogo..mali na fedha kutoka Tanganyika mnataka na mnalilia mpewe ziada..ila watanganyika hamuwapendi..ndio ule ule unyani wakukataa kula kitimoto ila supu yake mnakunywa..absurd.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom