Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Yesu ni ili atimize unabiiHilo Yesu alishalikataa, wanafunzi wa Yesu walipomuuliza tuite moto kama Eliya....Yesu akawaonya akawaambia hamjui ni roho wa namna gani mliyenaye
Haina nguvu za kijeshi kama wakati wa Yesu ya kutawala mataifaDola la rumi bado linatawala dunia kupitia Roma.
Haina nguvu za kijeshi ya kutawala mataifa
Watawala Wenye majeshi yenye nguvu kutawala Dunia ni wenye dini isiyo ya roma.Waingreza,Wamarekani,wayahudi na wajerumani
Uongo marekani wengi ni kanisa la Baptists na walokole wakifuatiwa na wasabatoDini ni moja tuu Ukatoliki(ukristo) hayo mengine ni madhehebu.
Taifa la Marekani linaongozwa na Dini ya Katoliki
Mungu angesubiri kuombwa msaada wakati kinachovamiwa ni kanisa lake?Huyo mganga angepata adhabu kubwa sana kama huyo mchungaji angeomba usaidizi kwa Mungu. Angeweza kushusha moto ukamuangamiza huyo mganga na wafuasi wake.
Uongo marekani wengi ni kanisa la Baptists na walokole wakifuatiwa na wasabato
Marekani ilipata uhuru miaka 200 na zaidi iliyopita kati ya maraisi 46 waliotawala marekani ni maraisi wawili tu ndio wakatoliki wa kwanza .Raisi John Kennedy ambaye aliuawa Kwa risasi akiwa madarakani miaka ya 1960 wa pili ni huyu Joe Biden Raisi wa Sasa aliyeidhinisha ndoa za jinsia moja kwenye Sheria marekani
Siku hizi unaandika ujinga Sana jitafakari.Kwema Wakuu!
Tukio la kupigwa kwa mchungaji na wanakijiji kisa Watoa uchawi maarufu kama Kamchape limezidi kudhihirisha dini na uchawi kwa sehemu kubwa ni utapeli.
Hakukuwa na sababu ya Mchungaji kuwazuia hao waganga kuja kutoa Uchawi. Zaidi hakukuwa na sababu hata moja ya kupiga simu polisi. Nguvu za kiroho hazipelekani Polisi.
Ilikuwa ni ishu ya Mchungaji kuonyesha nguvu za Mungu (miungu) anayoiamini na kuwahubiria watu kila siku. Mchungaji kama mwakilishi wa mungu wake katika eneo hilo alipaswa afanye jambo ambalo lingekuwa ushuhuda mzuri kwa haohao Kamchape na wasioamini katika imani na mungu wake.
Ilikuwa ni ishu ya kumuuliza mganga kuwa anafanya mambo hayo kwa Mamlaka ipi(mungu yupi) kisha aombe waonyeshane uwezo. Kwamba yupi ni mwenye nguvu.
Watu wa Kigoma wanayohaki ya kuamini mambo ya Uganga kwa sababu huenda ndio wenye nguvu na ndio unaowasaidia. Huwezi kumwambia mchungaji ambaye hakusaidii chochote. Yeye kila siku anadai anamtumikia mungu lakini nguvu za huyo mungu wake hajawahi kuzidhihirisha.
Mchungaji au Kuhani au nabii hawezi peleka mashtaka serikalini. Kama ilivyo Mganga, mchawi, mlozi hawa hawawezi peleka mashtaka Polisi au mahakamani. Wakati wanatumikia falme za kiroho.
Kitendo cha mchungaji wako au mganga wako kupeleka mashtaka mahakamani au polisi ni udhihirisho wa wazi kuwa huyo Mungu (miungu) yake haina nguvu.
Ukimkosea mchawi yeye atadili na wewe kichawi na shtaka lake atapeleka uchawini kama akikushindwa. Manabii, Makuhani, mitume ukiwakosea ni aidha wadili na wewe kwa uwezo wao au wakushtaki kwa miungu yao. Ili uhenyeshwe.
Serikali za kidunia ndio hupeleka mashtaka kwa miungu ikiwemo waganga na wachawi, au miungu lakini ukiona miungu inahitaji msaada wa serikali jua hapo kuna utapeli Mkubwa. Watu wanafanyiwa ulaghai.
Karibuni.
Siku hizi unaandika ujinga Sana jitafakari.
Sasa mkuu Yesu alikufa kwa ajili ya wenye kama wazungu walivyosema, kwa hiyo wala hakulaani waliomsulubu kwa sababu ndio sababu ya kuzaliwa kwake. Hizo mambo za Dola ya kirumi ni porojo tu mkuu na hila za mzungu kuwaaminisha Warumi wamelaaniwa. Uliwahi jiulliza kama kusingekuwa na ukoloni Afrika tungekuwa na Dini gani?Kuna vitu majibu yake hutokea baadaye .Sio lazima hapo hapo
Mfano Yesu alihukumiwa na Warumi kupitia Ponsio Pilato
Na Askari wa Dola ya Kirumi si.kuwa tu walimpiga kipigo Cha nguvu Yesu Bali waliua kabisa
Yesu hakuita moto ushuke uwameze askari wa Kirumi
Wakati ule ,Yesu anasulibiwa Dola ya Kirumi ndio ilikuwa inatawala Dunia nzima Warumi wakitawala Bara lote la Ulaya na Asia huko
Kisasi kilikuja baadaye Sasa hivi hakuna Taifa kubwa lenye nguvu la Dola ya Kirumi .Italia palipokuwa makao makuu ya Dola ya Kirumi Italia Haina nguvu Tena ya kijeshi Wala Nini ipo ipo tu
Moto kushuka sio lazima wakati huo huo mwingine hufuata baadaye na huo Huwa mkali hasa.Mfano Yuda Iskariote alimsaliti Yesu na Yesu akamwambia wewe Yuda utanisalituli.Wala hakuita moto umtafune akamsaliti kweli moto ulimfuata Yuda baadaye ukakatisha uhai wake
Hiyo inaitwa kisasi ni Cha Bwana
Huyo mchungaji kapigwa sana,kachomewa Mali zake Mleta mada usimdhihaki Huwa Kuna moto huja nyuma baada ya tukio la mtu wa Mungu kuonewa na kulba walioonea na washabiki wa kuonewa Kwake utakukuta na wewe shauri Yako.Yeye mchungaji hajaita motokamwachia Mungu ndiye alipe kisasi kwani kisasi ni Cha Mungu..Mleta mada unajiingiza kwenye 18 za kisasi Cha Mungu utakiona live kikifanyoka kwako bila chenga na ndipo utajua kuwa kukrbehi watu wa Mungu wanapoonewa iwe na kamchape au yeyote ni hatari Kwa anayekebehi
Kisasi Cha Mungu na kiwr juu Yako Kwa Jina la Yesu
Mungu atakapokuwa akimwaga gadhabu yake Kwa hao kamchape asikusahau na wewe Kwa Jina Yesu
Mkuu wanavyosema wataalam wa dini ni kuwa yaliyotokea enzi hizo yalitokea kwa wakati wake na sasa ni nyakati nyingine zenye matukio mengine. Kusema ukweli hata mimi siyo mjuzi.Kisa cha Eliya na Jezebel unakijua mkuu?
Mkuu wanavyosema wataalam wa dini ni kuwa yaliyotokea enzi hizo yalitokea kwa wakati wake na sasa ni nyakati nyingine zenye matukio mengine. Kusema ukweli hata mimi siyo mjuzi.
Dhehebu hutoka kwenye dini Fulani hayo yalianza yenyewe hayakuvunjika Toka dini FulaniWalokole, Wasabato na Baptist sio dini hayo ni madhehebu
Dhehebu hutoka kwenye dini Fulani hayo yalianza yenyewe hayakuvunjika Toka dini Fulani
Mfano wa Sabato hawaamini kuwa Yesu ni Mungu huwezi sema wamevunjika Toka dini ya Roma hao wako kivyao sababu Roma Wanaamini Yesu ni Mungu wao hawaamini
Ukija Kwa walokole wao Imani Yao ilianzia uyahudi balo wao huamimi.kanisa la kwanza lilianzia pale Yesu alipozaliwa akahubiri akatenda miujiza alafa na akafufuka Sio sehemu ingine.Wao chamzo Cha Imani Yao Sio kanisa la Roma liloanzia Roma Italia wao lao liloanzia siku ya pentecoste kule Israel wakati mitume walipokuwa pamoja
Dhehebu humeguka Toka dini moja kuwa branch zake
Sawa alikuwa mbaptist lakini Imani aliloanzisha sio ya kibaptist sababu wabaptist huamini Yesu ni Mungu wakati wasabato hawaaminiMadhehebu yote ya kikristo yamegeuka kutokea Toka.
Mwanzilishi wa Usabato alikuwa ni mbaptist
Sawa alikuwa mbaptist lakini Imani aliloanzisha sio ya kibaptist sababu wabaptist huamini Yesu ni Mungu wakati wasabato hawaamini
Ni Sawa na angetoka kwenye ubaptistinhalafu akasnzisha Imani ya Kiislamu kuwa Mohamed alliamuru watu wasali ijumaa.Huwezi sema Hilo ni dhehebu la Baptist
Yeye alianza chake tofauti na baptist sio dhehebu la Baptist Hilo hiyo ni dini yake mpya ya Sabato
Jibu wewe hili swali tuoje jibu lako kabla hatujachangiaSasa mkuu Yesu alikufa kwa ajili ya wenye kama wazungu walivyosema, kwa hiyo wala hakulaani waliomsulubu kwa sababu ndio sababu ya kuzaliwa kwake. Hizo mambo za Dola ya kirumi ni porojo tu mkuu na hila za mzungu kuwaaminisha Warumi wamelaaniwa. Uliwahi jiulliza kama kusingekuwa na ukoloni Afrika tungekuwa na Dini gani?
Kwa kukusaidia mtu kama Zumaridi sio mkristo hatumii Biblia na Hana mpango nayo yeye anajiita Mungu chini ya jua na alishasema Mungu hana Kitabu na hatumii Kitabu anaongea yeye kama yeye kuwa watu wamsikilize tu yeye kama munguMwishowe utasema kina Zumaridi, Gwajima, Kuhani Musa wameanzisha Dini zao jambo ambalo sio sahihi.
Ukristo ni mmoja ambao ni ukatoliki, madhehebu ndio yanaweza kutofautiana.
Ni kama uislamu ni mmoja ila kuna madhehebu mengi katika huo uislamu.
Kitabu kinachotumika kwenye ukristo ambacho ni Biblia ni kitabu cha Wakatoliki.
Wasabato, walutheri, wabaptist, na madhehebu mengine hawana kitabu cha muongozo zaidi ya hiyo Biblia ya Wakatoliki.
Kwa kukusaidia mtu kama Zumaridi sio mkristo hatumii Biblia na Hana mpango nayo yeye anajiita Mungu chini ya jua na alishasema Mungu hana Kitabu na hatumii Kitabu anaongea yeye kama yeye kuwa watu wamsikilize tu yeye kama mungu
Sio kweliU kristo ulianzia kabla ya ukatoliki
Ukatoliki ulianzia miaka ya baadaye sana
Ukristo ulianzishwa na Kristo mwenyewe Israel alikozaliwa.Ukristo chanzo chake ni Israel sio Roma.
Pili Biblia hii tuliyonayo waanzilishi sio katoliki kama hujui Historia ya Biblia
Biblia imegewanyika sehemu mbili agano la kale na agano jipya
Biblia ya agano la kale ni Biblia inayotumiwa na Wayahudi Hadi Leo hiyo Biblia inaitwa Jewish Bible Ina vitabu 39 .Kanisa lili.copy na kupaste yote kama ilivyo kwenye Jewish bible.Iko hata kwenye simu download Jewish Bible uione
Agano jipya zilichukuliwa kwenye kanisa la kale kama lilivyo na kuingizwa kwenye Biblia kama agano jipya havikuchukuliwa kanisa katoliki