Mchungaji aliyepigwa Kigoma kisa Kamchape ulikuwa wakati sahihi kuonesha nguvu za Mungu sio kupiga simu Polisi

Jambo la kiimani kufikishwa serikalini huoni walakini?
Ila jambo la serikali kupelekwa kwenye mizimu, madhabahuni, vilingeni ni ishu ya kawaida
kwa mlango wa nyuma serikali ina control dini kupitia kwa msajili wa vyama vya kijamii/NGOs. Ukianzisha dini/dhehemu ni lazima lisajiliwe wizara ya mambo ya ndani litambulike huko vinginevyo utaswekwa ndani. Hizi dini/madhehebu yapo serikalini ndio maana ikitokea migogoro ya kidini/madhehebu serikali huingilia kati kuleta suluhu
 
Absolutely true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…