Mchungaji amekataa tusioane kwakuwa mimi na binti ni madhehebu tofauti, nifanyeje?

Mwanamke hana dini wala dhehebu sasa atengwaje nahuku akiolewa nawewe atakuwa mlutherani eti ??
hiyo ni kwenu ninyi wapagani, ati mwanamke hana dini. kwa walokole, wanawake wana dini na dhehebu ndio maana wanaoana wao kwa wao na hakuna ulazima kumfuata mwanaume hata kama mwanaume baadaye ataamua kufuata dhehebu lingine, ni hiari kwa sababu kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe siku ya mwisho na kila mtu atasimama binafsi mbele za Mungu hamtasimama wawili wawili.
 
Makanisa yakipentecoste mengi ni yakishetani mnajazana ujinga na hamna mwelekeo wa maisha ya kiimani nyie ni kufekesha tu nakusumbua watu usiku kila siku mnafunguliwa nakufungua makanisa
 
Hii kazi ni nyepesi mkuu! Sina kipengele
Nichukue Mimi niwe kama ndugu yako afu twende kwa huyo Mchungaji.

Mimi ndo ntakuwa muongeaji mkuu, ntamuhojiii na kumpa vifungu vya Biblia

Yusufu alioa mkristo mwanzake?

Muda alioa mkushi, wakina Mariam na haruni wakaanza maneno Mungu akawaonya!

Twende baba nikakupe ndoa ... Malipo baada ya ndoa
 
Makanisa yakipentecoste mengi ni yakishetani mnajazana ujinga na hamna mwelekeo wa maisha ya kiimani nyie ni kufekesha tu nakusumbua watu usiku kila siku mnafunguliwa nakufungua makanisa
ushetani upi na ni kanisa lipi ni la kipentekoste la kishetani? siku ukiokoka utajishangaa hii kauli. okoka, katekisimo wala litulgia sio njia sahihi kumwabudu Mungu.
 
Ninyi tu 2 mnaemuabudu Mungu mmoja mnatengana kiitikadi. Mkioana si mtatenganisha namna ya kuserve hiyo ndoa. Kwa kifupi hamtaelewana. Hata watoto hawatawaelewa.

Mchungaji yupo sahihi.
 
Mwambie akupe binti yake
 
Kwakweli ukweli usemwee!!
 
ushetani upi na ni kanisa lipi ni la kipentekoste la kishetani? siku ukiokoka utajishangaa hii kauli. okoka, katekisimo wala litulgia sio njia sahihi kumwabudu Mungu.
Ni nadra sana kukutana na mlokole asiyeitaji huduma ya Milembe Hospital.
 
nipe maandiko yanayotamka kuwa mlokole lazima aoe ama aolewe na mlokole mwenzake.
 
Chagua kusuka au kunyoa. Mambo ya imani ni magumu sana.
 
Baba kiufupi mm si msomaji wa bible ila kuna andiko linasema tokeni katikati yao...msijichangnye na mataifaa...wala kufuatisha wanachokifanya...mataifa ni wanaitwa n watu wasiomwamini kristo...
Likija suala la ndoa walokole hawachangamani na yyt au dini nyngne...we kama unamtaka okoka2 utampata. ila usiokoke ili umpate utaumia sana.
nipe maandiko yanayotamka kuwa mlokole lazima aoe ama aolewe na mlokole mwenzak
 
Mpachike mimba fasta au kafungeni ndoa ya Kiserikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…