Mchungaji amekataa tusioane kwakuwa mimi na binti ni madhehebu tofauti, nifanyeje?

Habari za jioni mabibi na mabwana
natumaini hamjambo nyoote,
Mimi nimekuja kuomba ushauri natambua humu kwenye jukwaa kuna watu tofauti tofauti kwanzia kiumri, kidini, nitatuma, nk.

Mimi ni kijana wa miaka 28 katika kutafuta maisha kwangu nimeamua kuchukua maamuzi magumu ya kuachana na uzinzi nataka kuoa, sasa nimepata mchumba huko kijijini kwetu na kwa jinsi alivyo nimemuelewa na nilitaka nitoe kishika uchumba kabisa ili mwezi wa 12 tufunge ndoa.

Pia soma: Alidanganywa na Mwanaume wake kuwa ni Askari sasa limemkuta Jambo. Tumuombee

Jumapili tulikua tumepanga ndio nipeleke kishika uchumba lakini cha kushangaza leo nimepewa taarifa kwamba mama mkwe mtarajiwa alikwenda kwa mchungaji wao kuwapa taarifa kuhusu binti yao kupata mchumba na tunahitaji kufunga ndoa, chaajabu mchungaji wao amegoma kwa sababu ya dhehebu langu (KKKT) kwamba sio la kiroho coz wao ni wa Pentecostal Eti na kama watakaidi na kutengwa.

Sasa kwa haraka haraka nikagundua nia yao watataka mimi nifuate dhehebu la binti japokua hawataki kunyoosha maelezo, na mimi siko tayari kwa hilo. naomba maoni yenu.
Dhehebu halimpeleki mtu yoyote mbinguni.ni mahusiano yako na Mungu kwa njia ya Kristo Yesu ndiyo yanayoamua kwamba unaingia mbinguni au unabaki jehanamu FULL STOP.Naelewa madhehebu kupoteza waaumini maana yake ni kupoteza sadaka ambazo kwa wachungaji wa sasa ndiyo kitu cha kwanza wanachakitazamia.Unaruhusiwa kuhama dhehebu kama unadhani ulipo linafundisha upotofu na lina imani za kipinga kristo.Vinginevyo kuhama dhehebu kwa sababu ya mke haileti mantinki.Ila pia kung'ang'ania sehemu ambayo wanakuingiza chaka siyo jambo la maana.Hata kama ni pentecost au dhehebu gani maana madhahebu siku hiz kama vioski hiv.usipoangalia unaishia kwa matapeli.
 
Habari za jioni mabibi na mabwana
natumaini hamjambo nyoote,
Mimi nimekuja kuomba ushauri natambua humu kwenye jukwaa kuna watu tofauti tofauti kwanzia kiumri, kidini, nitatuma, nk.

Mimi ni kijana wa miaka 28 katika kutafuta maisha kwangu nimeamua kuchukua maamuzi magumu ya kuachana na uzinzi nataka kuoa, sasa nimepata mchumba huko kijijini kwetu na kwa jinsi alivyo nimemuelewa na nilitaka nitoe kishika uchumba kabisa ili mwezi wa 12 tufunge ndoa.

Pia soma: Alidanganywa na Mwanaume wake kuwa ni Askari sasa limemkuta Jambo. Tumuombee

Jumapili tulikua tumepanga ndio nipeleke kishika uchumba lakini cha kushangaza leo nimepewa taarifa kwamba mama mkwe mtarajiwa alikwenda kwa mchungaji wao kuwapa taarifa kuhusu binti yao kupata mchumba na tunahitaji kufunga ndoa, chaajabu mchungaji wao amegoma kwa sababu ya dhehebu langu (KKKT) kwamba sio la kiroho coz wao ni wa Pentecostal Eti na kama watakaidi na kutengwa.

Sasa kwa haraka haraka nikagundua nia yao watataka mimi nifuate dhehebu la binti japokua hawataki kunyoosha maelezo, na mimi siko tayari kwa hilo. naomba maoni yenu.
Piga chini tafuta wa dhehebu lako hao wachawi watakuharibia maisha
 
Ulikosea tangu mwanzo wa mahusiano yenu!,inaonekana binti hakujua familia yao vizuri ata wewe hukumuulizia vizuri juu ya maisha yao ya kiroho,angelikwambia hayo mapema kabla ya kwenda kwao wala kuhaidi kupeleka kishika uchumba.
Mambo mawili naweza kukushauru 1. Fuata matakwa yao.
2. Sikiliza moyo wako,ikiwa uwezi kumfuata mwanamke achana naye!
 
Mchungaji siyo mzazi, wa kuamua na hata hao wazazi kwa ulimwengu wa sasa hawana nguvu hiyo, bali inapotokea hivyo, mzazi mwenye busara ni kumnasihi mwanawe, akaishi kwa kumuogopa Mungu, uzuri wote wakristu nenda mkafunge ndoa kupitia kanisa lingine.
 
Habari za jioni mabibi na mabwana
natumaini hamjambo nyoote,
Mimi nimekuja kuomba ushauri natambua humu kwenye jukwaa kuna watu tofauti tofauti kwanzia kiumri, kidini, nitatuma, nk.

Mimi ni kijana wa miaka 28 katika kutafuta maisha kwangu nimeamua kuchukua maamuzi magumu ya kuachana na uzinzi nataka kuoa, sasa nimepata mchumba huko kijijini kwetu na kwa jinsi alivyo nimemuelewa na nilitaka nitoe kishika uchumba kabisa ili mwezi wa 12 tufunge ndoa.

Pia soma: Alidanganywa na Mwanaume wake kuwa ni Askari sasa limemkuta Jambo. Tumuombee

Jumapili tulikua tumepanga ndio nipeleke kishika uchumba lakini cha kushangaza leo nimepewa taarifa kwamba mama mkwe mtarajiwa alikwenda kwa mchungaji wao kuwapa taarifa kuhusu binti yao kupata mchumba na tunahitaji kufunga ndoa, chaajabu mchungaji wao amegoma kwa sababu ya dhehebu langu (KKKT) kwamba sio la kiroho coz wao ni wa Pentecostal Eti na kama watakaidi na kutengwa.

Sasa kwa haraka haraka nikagundua nia yao watataka mimi nifuate dhehebu la binti japokua hawataki kunyoosha maelezo, na mimi siko tayari kwa hilo. naomba maoni yenu.
mali ya mchungaji hiyo
 
nipe maandiko yanayotamka kuwa mlokole lazima aoe ama aolewe na mlokole mwenzake.
2KORINTHO 6:14-18; Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza? Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini? Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha. Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike, asema Bwana Mwenyezi.
 
elew

elewa vizuri maandiko,hapo anazungumzia wasioamini ktk Kristo,Walutheri hawaamini ktk Kristo isipokuwa Walokole tu?
Andiko hilo halithibitishi kuwa Walokole waoe walokole wenzao.
Tafuta andiko jingingine.
 
walutheri hawajaamini ndugu. jua hilo. wanaabudu dini na mapokeo.
 
Mark 10:25,

Ni Rahisi ngamia kupita TUNDU la sindano kuliko tajiri kuingia Ufalme wa Mungu

Mathew 6:24
Huwezi kumtumikia Mungu na Mali.

Halafu Kila mtu huzaliwa na utajiri, yanini kutafuta?

Na ikiwa Mbinguni hakuna maskini, utajiri pia Si sifa njema.

Tafsiri ya utajiri ni nini Hasa, mleta mada afafanue.
 
Back
Top Bottom