Mchungaji amvisha pete mjane msibani kabla ya kumzika mumewe

Mchungaji amvisha pete mjane msibani kabla ya kumzika mumewe

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Africa ya Kusini Huko,

Pastor Aliamua Kum propose Mjane pale pale msibani kabla hata ya msiba kuisha. Amedai Hiyo itamsaidia pia ku heal kutoka kwa majonzi.

Pastor alisikia akimshukuru Mungu haswa kwa kuwa karibu na mjane katika wakati mgumu Akimuuguza Aliyekuwa mme wake, Shirika la habari CEN liliripoti.

Lieni na wanao lia.

 
Back
Top Bottom