Mchungaji amvisha pete mjane msibani kabla ya kumzika mumewe

Kama mzuri hatutamuacha
Kila mtu ana mzuri wake mkuu.
Usimfanye jamaa akaoa manzi ambe yeye anamuona mbaya akidhani akifa wahuni hawatambandua kisa yeye kamuona mbaya.

Mbaya kwako ni pisi kali kwa mwingine, kama ni mwanamke atabanduliwa tu labda awe kazeeka.
 
For me, that's not ok , why wasisuburi msiba upite, yaani msiba wa mume kabisa.😪 Hapana na inaonesha walikua wanadate hata kabla hajafa, siyo vizuri
 
For me, that's not ok , why wasisuburi msiba upite, yaani msiba wa mume kabisa.😪 Hapana na inaonesha walikua wanadate hata kabla hajafa, siyo vizuri
Sasa mume alikuwa anasumbuliwa na sukari ya muda mrefu unafanyaje hap
 
Mjane analipa she look so fine with that ass
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…