Mchungaji anamtaka mke wangu

Mchungaji anamtaka mke wangu

Quaty

Member
Joined
Oct 12, 2022
Posts
46
Reaction score
146
Mwaka 2022 ni mwaka ambalo nilipoteza kazi biashara na uchumi kuwa chini sana. Tulikubaliana na wife ku-join moja ya kanisa kubwa lene matawi kote nchini. Nilianza kuona dalili mbaya kwa mchungaji kwa mke wangu, simu haziishi kwake mara kampa vitengo kanisani.

Kazi ya Mungu haichezewi niliingia katika mfungo na kuomba sana nakumbuka siku moja nilienda na rafiki yangu church, baada ya ibada akanambia huyu jamaa siyo mchungaji ni mfanyabiashara. But ile issue ya kumtaka wife sikumwambia. Aliendelea kumtafuta sana wife. Siku moja naangalia tv nikaliona kanisa x na mchugaji x anahubiri nilitamani kuhudhuria.

Nilimwelekeza wife kwa kuwa akiba yangu ilikuwa ndogo na wife ni mwl wa day care kipato kilikuwa kidogo, aliungana na mimi kwenda huko.

Nakiri Mungu yupo kwani zilikuja interview nne za baraka na kupata kazi ambayo ni mara mbili ya mshahara wa kwanza. Nirifurahi sana.

Kwa kuwa nilimheshimu sana mchungaji lakini aliendelea kumpigia mke wangu simu. Kuna siku nikampigia nikamwambia nakuomba usimpigie tena wife, ukiendelea na ushaidi ninao but tulindiane heshima. Una familia inakutegemea na umechagua kazi ya Mungu mtumikie. Alikoma kuanzia hapo. Nimesikia hata kile kituo wamemwamisha na kila muumini anamsimulia la kwake.

Ujumbe Mungu yupo anza wewe kwanza kumwomba anajibu. Yeremia 33.3. Niiteni nami nitaitika nitawaonesha mambo mkubwa msiyounajua.
 
Kuna CK nikampigia Nika Mwambia nakuomba ucmpigie tena wife... Ukiendelea Na ushaidi ninao but tulindiane heshima... Una familia inakutegemea Na umechagua Kazi ya Mungu mtumikie..... Alikoma Kwanzia hapo....

Hapo na kichwa mmmmmh!!!!
 
Mi ninge mwambia pastor, ni kazi ya Mungu kuwa chukua Waja wake.

Ila ni majukumu yangu kuwa peleka mandezi Kama wewe kwake.
Aisee ange kuogopa Sana.
 
Mke wako Mtamu mnoo broo ndio maana nilikuwa namsumbua nirudie tena na tena,,Lakini ni Ya ulimwengu Tu Huwaga yanapita na Maisha yanaendelea kwa Baraka zake Mnyazi Mungu,,Nilkuwa naomba Nikutake Radhi Mnoo Kwa Hilo,,Kwa kuwa umefika kulisema humu nami muhusika halisi wa tukio hilo kwa bahati mbaya kama si nzuri limenigusa na nimeliona Sina budi kurudia tena Kaka naomba nikutake Radhi mnoo,,Maisha Yaendelee ndugu yangu,,Wasalimie Nyumbani,,Nashukuru Mungu ni Bukheri wa Afya,,,Tunaendeleza Utumishi uliotukuka na Changamoto zake.
 
Mwaka 2022 ni mwaka ambalo nilipoteza kazi biashara na uchumi kuwa chini sana. Tulikubaliana na wife ku-join moja ya kanisa kubwa lene matawi kote nchini. Nilianza kuona dalili mbaya kwa mchungaji kwa mke wangu, simu haziishi kwake mara kampa vitengo kanisani...
Mwambie wife mhame kanisa

Akikataa kashaliwa tayari
 
Nilimtukana kiongozi wa kanisa
Mwaka 2022 ni mwaka ambalo nilipoteza kazi biashara na uchumi kuwa chini sana. Tulikubaliana na wife ku-join moja ya kanisa kubwa lene matawi kote nchini. Nilianza kuona dalili mbaya kwa mchungaji kwa mke wangu, simu haziishi kwake mara kampa vitengo kanisani...
Wachungaji nao wana nyege mi nimeshampiga marufuku kwanza kusogeleana na hao kenge
 
Back
Top Bottom