Mwaka 2022 ni mwaka ambalo nilipoteza kazi biashara na uchumi kuwa chini sana. Tulikubaliana na wife ku-join moja ya kanisa kubwa lene matawi kote nchini. Nilianza kuona dalili mbaya kwa mchungaji kwa mke wangu, simu haziishi kwake mara kampa vitengo kanisani.
Kazi ya Mungu haichezewi niliingia katika mfungo na kuomba sana nakumbuka siku moja nilienda na rafiki yangu church, baada ya ibada akanambia huyu jamaa siyo mchungaji ni mfanyabiashara. But ile issue ya kumtaka wife sikumwambia. Aliendelea kumtafuta sana wife. Siku moja naangalia tv nikaliona kanisa x na mchugaji x anahubiri nilitamani kuhudhuria.
Nilimwelekeza wife kwa kuwa akiba yangu ilikuwa ndogo na wife ni mwl wa day care kipato kilikuwa kidogo, aliungana na mimi kwenda huko.
Nakiri Mungu yupo kwani zilikuja interview nne za baraka na kupata kazi ambayo ni mara mbili ya mshahara wa kwanza. Nirifurahi sana.
Kwa kuwa nilimheshimu sana mchungaji lakini aliendelea kumpigia mke wangu simu. Kuna siku nikampigia nikamwambia nakuomba usimpigie tena wife, ukiendelea na ushaidi ninao but tulindiane heshima. Una familia inakutegemea na umechagua kazi ya Mungu mtumikie. Alikoma kuanzia hapo. Nimesikia hata kile kituo wamemwamisha na kila muumini anamsimulia la kwake.
Ujumbe Mungu yupo anza wewe kwanza kumwomba anajibu. Yeremia 33.3. Niiteni nami nitaitika nitawaonesha mambo mkubwa msiyounajua.