Mimi nakubaliana na huyu mchungaji kabisa,Mchungaji huyu akitoa msoni yake juu ya watoto wa marehemu kugombea mali ameponda vikali.
Amesema watoto ni mifugo/ mali ya marehemu hivyo hawana chao kabisa kwenye mali za marehemu. Mifugo inadai urithi wa mifugo wenzie? Amehoji mchungaji huyo
Kuna watoto wanaacha kutafuta zao wanasubiria za baba zaoJapokuwa ni haki watoto wa marehemu kurithi mali za wazazi wao lakini ikitokea mzazi wako akakunyima mali
zake siyo haki kuzigombania.
Na wewe hujaweka hicho kifungu cha Sheria au maandiko?!?!Huyo mchungaji hajasindikiza hata na reference moja ya Biblia? Labda sio Taaluma yake. Na hapo ndipo Waislam wanapowapiga Gap Wakristo Kwa Hoja.
Ishu ya Urithi ipo Kisheria na kiimani.
Kugombea Urithi ni lazima na wajibu kwani ni Haki ya Watoto.
Hata hii nchi tumeirithi kutoka Kwa Mababu zetu. Bila Urithi hakuna maisha. Aache akili za mkumbo
Na wewe hujaweka hicho kifungu cha Sheria au maandiko?!?!
Mchungaji yupo sahihiMimi sio mtoa hoja.
Alafu huwezi pinga hoja Kwa reference wakati hoja haina reference. Hayo ni matumizi mabaya ya hoja
Mchungaji yupo sahihi
Kugombania kitu ambacho hujakitafuta Ni upuuzi mkubwa.
Sawa Mkuu kwanza waafrika Wana Mali ? Gani mkuu za -kurithiWaafrika mmeshachanganywa tayari.
Hamjui hata haki zenu ni zipi.
Ni upuuzi Kama hujui kuwa Kitu cha Baba yako unahaki ya kurithi. Labda yeye ndiye asitake na awe na sababu za msingi
Sawa Mkuu kwanza waafrika Wana Mali ? Gani mkuu za -kurithi
Kama hajawakwekwa kwenye mgao ndani ya wosia aloauacha maana yake hataki. Inashangaza kuona watoto wanaenda mahakamani.Labda yeye ndiye asitake na awe na sababu za msingi
Kama hajawakwekwa kwenye mgao ndani ya wosia aloauacha maana yake hataki. Inashangaza kuona watoto wanaenda mahakamani.