Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mchungaji Antony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako atoa ujumbe wa pole kwa watanzania kwa mauaji ya mamia ya raia siku ya uchaguzi Oktoba 29 na 30 nchini Tanzania, anasema hata yeye hakuwahi kufikiria kama tunaweza kufika hapa tulipo.
Soma: Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) akiimba Kazi na Utu, Mwezi wa 10 tunatiki kwenye uzinduzi Kanisa la Mwamposa
Soma: Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) akiimba Kazi na Utu, Mwezi wa 10 tunatiki kwenye uzinduzi Kanisa la Mwamposa