Tumefikaje hapa ? Jibu hata mtoto wa darasa la 6B analijua.
Ni ccm ndiyo imetufikisha hapa, imekuwa mawazo mgando, haitaki mabadiriko ya katiba, tume Huru wala kuachia madaraka.
Kila uchaguzi wao ni mbinu za gori la mkono na majivuni ya kuiba kura.
Huyu Mch. Lusekelo ni suppota wa ccm na Sasa na yeye yafaa aongee lugha moja Kama ile ya cyprian musiba.
Watoto wanataka kujitawaka baada ya kuwa wamepevuka tayari, Halafu mzazi unaendeleza ukoloni, lazima upigwe tu, hii ni kanuni ya maisha. Usipo ikubali, kipondo kitarndelea hadi ujitambue kwamba kutawala watoto mwisho ni miaka 18, baada ya hapo ni Kila mtu kushika hatamu zake…
Viongozi wa ccm jifunzeni Kwa watoto wetu…