Mchungaji asema Mbowe ni tapeli hawezi kupigania Katiba Mpya itakayoleta ukomo wa uongozi wakati yeye miaka 20 na hana Mpango wa kuachia Uongozi

Sisi tuliomwelewa, kamanda anasema amerudi mzigoni. Kama yupo yeyote anayewania uenyekiti, basi wakakutane naye kwa boksi.

Hoja ya msingi hapa ni kwa boksi hiyo tarehe 21 Jan. 2025. Mbona nyie ni wagumu sana kuelewa?!

Maridhiano hamjayaona pamoja na matunda yake kedekede?

^If you don't want him, heck! Don't vote for him!^ (In Hilary Clinton's virgin voice)
 
Ktk matapeli wakubwa nchi hii ni wachungani.
Hebu angalieni maisha yao vs ya waumini wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…