Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe haeleweki kabisa na ummaIla maneno ya much ni kweli tupu 🤣🤣🤣
YeahNa bado hadi akili zimkae sawa
Sisi tuliomwelewa, kamanda anasema amerudi mzigoni. Kama yupo yeyote anayewania uenyekiti, basi wakakutane naye kwa boksi.
FactIla maneno ya much ni kweli tupu 🤣🤣🤣
Ukweli mchungu huuMimi nadhani ingekuwa heri sana kwa Mbowe kuachia nafasi hiyo ya Uongozi ndani ya CHADEMA kabla ya UCHAGUZI.
Ajabu ni kuwa leo CHADEMA mpaka makanisa na Watumishi wa Mungu wameanza kuonesha mashaka na nia zetu,
Tusipuuze haya maonyo ipo siku tutalia na kusaga memo.
View attachment 3186331
Ktk matapeli wakubwa nchi hii ni wachungani.Mimi nadhani ingekuwa heri sana kwa Mbowe kuachia nafasi hiyo ya Uongozi ndani ya CHADEMA kabla ya UCHAGUZI.
Ajabu ni kuwa leo CHADEMA mpaka makanisa na Watumishi wa Mungu wameanza kuonesha mashaka na nia zetu,
Tusipuuze haya maonyo ipo siku tutalia na kusaga memo.
View attachment 3186331
SAWA kabisa. Katiba ya Kanisa lake Lina Demokrasia? Mbona wao hawana uchaguzi?Wachungaji was mchongo
🤣🤣Ila maneno ya much ni kweli tupu 🤣🤣🤣