Mchungaji asema Mbowe ni tapeli hawezi kupigania Katiba Mpya itakayoleta ukomo wa uongozi wakati yeye miaka 20 na hana Mpango wa kuachia Uongozi

Mchungaji asema Mbowe ni tapeli hawezi kupigania Katiba Mpya itakayoleta ukomo wa uongozi wakati yeye miaka 20 na hana Mpango wa kuachia Uongozi

Sisi tuliomwelewa, kamanda anasema amerudi mzigoni. Kama yupo yeyote anayewania uenyekiti, basi wakakutane naye kwa boksi.

Hoja ya msingi hapa ni kwa boksi hiyo tarehe 21 Jan. 2025. Mbona nyie ni wagumu sana kuelewa?!

Maridhiano hamjayaona pamoja na matunda yake kedekede?

^If you don't want him, heck! Don't vote for him!^ (In Hilary Clinton's virgin voice)
 
Mimi nadhani ingekuwa heri sana kwa Mbowe kuachia nafasi hiyo ya Uongozi ndani ya CHADEMA kabla ya UCHAGUZI.

Ajabu ni kuwa leo CHADEMA mpaka makanisa na Watumishi wa Mungu wameanza kuonesha mashaka na nia zetu,

Tusipuuze haya maonyo ipo siku tutalia na kusaga memo.

View attachment 3186331
Ktk matapeli wakubwa nchi hii ni wachungani.
Hebu angalieni maisha yao vs ya waumini wao
 
Back
Top Bottom