That's true mkuu!!Kuna tofauti kubwa sana kati ya UZINZI na UASHERATI. Kama mchungaji alikutwa akizini, ina maana mchungaji ana mke. Geoff, Xpin na Kaizer wanazini, Fidel na GP wanafanya uasherati!
Uasherati maana yake ni uzinifu baina ya watu wawili ambao hawakuoana kisheria
Watu wengine bana!Kama wamebariki ushoga miongoni mwao, uzinzi si ishu kwao. Watazidi kuumbuka daily. Man made religion SENZ
hehehehehe!Mjadala unaisha kwa assumptions!
Bila assumptions tutakuwa makreze.
Hata kwenye Imani tunaassume
Let UZINZI = UASHERATI
Amri ya sita ina sema USIZINI
But uzinzi = uasherati
Therefore Amri ya sita inasema usifanye uasherati............Case closedππ
Mjadala unaisha kwa assumptions!
Bila assumptions tutakuwa makreze.
Hata kwenye Imani tunaassume
Let UZINZI = UASHERATI
Amri ya sita ina sema USIZINI
But uzinzi = uasherati
Therefore Amri ya sita inasema usifanye uasherati............Case closedππ
hehehehehe!
HENCE:X-pin,Kaizer na Geoff WAKITOKA NJE YA NDOA ZAO WATAKUWA WANAFANYA UASHERATI!hahahahahaπππ
invisible funga sredi baba!ASSUMPTIONS ZIMEFUNGA MJADALA
mjadala umefikia patamu sasa!nakuunga n'kono mpwaaz.NA SENKSI JUU LOL!haaa hommie bana!
sa si umesema kuwa uzinzi sio sawa na usaherati?
kwa hiyo ukilet kibangi bangi utaishia na jibu hilo hilo.....
So, If amri ya sita inasema USIZINI, na hakuna neno Uasherati, na
If KUZINI ni among amrried couples, na UASHERATI ni among unmarried couples,
It follows that UZINZI na UASHERATI are not equal.
Hence, kama mchungaji alikuwa ANAZINI, ina maana alikuwa na mke, na assumption ya kwamba ni mjane inakuwa discarded for good, tunabaki na swali kwamba alikuwa ANAZINI na nani?
lol
kwa assumption yako hakuna utofauti wa kuzini -na uasherati.Hapana! Suala la kuzini lina mke na mme tu Basi! Kinyume cha hapo ni UASHERATI. Kuna tofauti kubwa sana kati ya UZINZI na UASHERATI. Kama mchungaji alikutwa akizini, ina maana mchungaji ana mke. Geoff, Xpin na Kaizer wanazini, Fidel na GP wanafanya uasherati!
NEXT LEVEL!
HIVI kuna tofauti gani kato ya HAMU na USONGO?kwa assumption yako hakuna utofauti wa kuzini -na uasherati.
Hehehe!I think Now you know kwanini KUDUMISHA MILA is there to Stay!
hehehe!wewe kaizer weweeeeeeeeeeeeeee!haya tu.nitakushtaki kwa x-pin.yaani hommie ulikuwa unaderive ili kuarrive to that conclusion inayomhusu sana Geoff! dah we balaa
Usongo =kukamiaHIVI kuna tofauti gani kato ya HAMU na USONGO?
hehehe!wewe kaizer weweeeeeeeeeeeeeee!haya tu.nitakushtaki kwa x-pin.
Ndiyo maana ikaitwa assumptions. Ila Ukineglect Assumptions Uzinzi si sawa na uasherati. Therefore Mchungaji alikuwa na mke!kwa assumption yako hakuna utofauti wa kuzini -na uasherati.
we haya tu!ππππ hiyo kesi ya nyani unapeleka wapi mpwa?
kwani ukioa ndo humegi nje?