Mchungaji asimamishwa kwa uzinzi

Mchungaji asimamishwa kwa uzinzi

Kuna tofauti kubwa sana kati ya UZINZI na UASHERATI. Kama mchungaji alikutwa akizini, ina maana mchungaji ana mke. Geoff, Xpin na Kaizer wanazini, Fidel na GP wanafanya uasherati!
That's true mkuu!!
Uasherati maana yake ni uzinifu baina ya watu wawili ambao hawakuoana kisheria
 
Kama wamebariki ushoga miongoni mwao, uzinzi si ishu kwao. Watazidi kuumbuka daily. Man made religion SENZ
Watu wengine bana!
Si tunajadili Uzinzi wengine wanazungumzia ushoga. Tutawatambua kwa matendo yao.......!
 
Mjadala unaisha kwa assumptions!
Bila assumptions tutakuwa makreze.
Hata kwenye Imani tunaassume
Let UZINZI = UASHERATI
Amri ya sita ina sema USIZINI
But uzinzi = uasherati
Therefore Amri ya sita inasema usifanye uasherati............Case closed😀😀
hehehehehe!
HENCE:X-pin,Kaizer na Geoff WAKITOKA NJE YA NDOA ZAO WATAKUWA WANAFANYA UASHERATI!hahahahaha😀😀😀
invisible funga sredi baba!ASSUMPTIONS ZIMEFUNGA MJADALA
 
haaa hommie bana!

sa si umesema kuwa uzinzi sio sawa na usaherati?

kwa hiyo ukilet kibangi bangi utaishia na jibu hilo hilo.....

So, If amri ya sita inasema USIZINI, na hakuna neno Uasherati, na
If KUZINI ni among amrried couples, na UASHERATI ni among unmarried couples,

It follows that UZINZI na UASHERATI are not equal.

Hence, kama mchungaji alikuwa ANAZINI, ina maana alikuwa na mke, na assumption ya kwamba ni mjane inakuwa discarded for good, tunabaki na swali kwamba alikuwa ANAZINI na nani?

lol
 
hehehehehe!
HENCE:X-pin,Kaizer na Geoff WAKITOKA NJE YA NDOA ZAO WATAKUWA WANAFANYA UASHERATI!hahahahaha😀😀😀
invisible funga sredi baba!ASSUMPTIONS ZIMEFUNGA MJADALA

Hehehe!I think Now you know kwanini KUDUMISHA MILA is there to Stay!
 
haaa hommie bana!

sa si umesema kuwa uzinzi sio sawa na usaherati?

kwa hiyo ukilet kibangi bangi utaishia na jibu hilo hilo.....

So, If amri ya sita inasema USIZINI, na hakuna neno Uasherati, na
If KUZINI ni among amrried couples, na UASHERATI ni among unmarried couples,

It follows that UZINZI na UASHERATI are not equal.

Hence, kama mchungaji alikuwa ANAZINI, ina maana alikuwa na mke, na assumption ya kwamba ni mjane inakuwa discarded for good, tunabaki na swali kwamba alikuwa ANAZINI na nani?

lol
mjadala umefikia patamu sasa!nakuunga n'kono mpwaaz.NA SENKSI JUU LOL!
 
Hapana! Suala la kuzini lina mke na mme tu Basi! Kinyume cha hapo ni UASHERATI. Kuna tofauti kubwa sana kati ya UZINZI na UASHERATI. Kama mchungaji alikutwa akizini, ina maana mchungaji ana mke. Geoff, Xpin na Kaizer wanazini, Fidel na GP wanafanya uasherati!

NEXT LEVEL!
kwa assumption yako hakuna utofauti wa kuzini -na uasherati.
 
Ni bahati mbaya amebambwa lakini hayo mambo hufanywa na wachungaji wengi [hata kuzaa nje] na sisi waumini ndiyo usiseme. Lakini kwa unafiki wetu tutaanza kumlani huyo aliyebambwa kama vile sisi ni wasafi-Kesho kuna kazi kweli kweli maana hata zile dhambi zitokanazo na unafiki zitadhihirishwa. Mungu atusamehe wote kwa mitihani tunayopitia
 
Hehehe!I think Now you know kwanini KUDUMISHA MILA is there to Stay!

yaani hommie ulikuwa unaderive ili kuarrive to that conclusion inayomhusu sana Geoff! dah we balaa
 
yaani hommie ulikuwa unaderive ili kuarrive to that conclusion inayomhusu sana Geoff! dah we balaa
hehehe!wewe kaizer weweeeeeeeeeeeeeee!haya tu.nitakushtaki kwa x-pin.
 
kwa assumption yako hakuna utofauti wa kuzini -na uasherati.
Ndiyo maana ikaitwa assumptions. Ila Ukineglect Assumptions Uzinzi si sawa na uasherati. Therefore Mchungaji alikuwa na mke!
 
Kuna mtu amepata jina la huyu mchunga kondoo za bwana aliyehamishia machunga geshti?
 
Siku za mwisho kila uovu utatanda!!! Kwa utashi wangu naamini wachungaji/mapadre/makatekista/watawa wa kike na kiume/mabruda/and the like wale hasa walikuwa wanashika taratibu za makundi yao hasa biblia ni wale wa miaka ya end of 1960s. A bit in 1970s, and a few in mid 1980s. Baada ya hapo ni kasheshe tupu? Je unafahamu ni kwa nini mabadiliko hayo ya ukosefu wa maadili yalitokea??

Hebu tushirikiane kupeana elimu hapa. Na Dr. Fr. Joseph Tumaini kama ni member hapa tujuze vizuri!!!! Tumechoka na uzinzi, uasherati, umalaya wa watumishi wa Mungu, and sorry to say mapadre wanaogoza ila ni wajanja hawakamatiki kirahisi sana!!!!.
 
Back
Top Bottom