Mchungaji Atuganile Mwakyosa aanika machafu yote ya Martha Mwaipaja akidai anafanya matendo machafu kinyume na tamaduni za Tanzania

Mbona mimi sijamsikia akitaja jina la huyo mwimbaji uliyemtaja wewe ndugu mleta tuhuma?
 
Huyu mjinga kweli..yaani tupo.kwenye nyakati za hatari kisa watu wanasagana?? Na wanaotifuana mitaro je??Majambazi?Hawa wanawaweka watu tindikali, hawa wanaopoteza watu watawekwa kundi gani??Huyu anaesagana atajijua yeye na Mungu wake as long anafanya sirini- yaani ajisage mtu mwingine aumie mtu mwingine.
 
Mama Abdoul " Umbea wa wanaume ni mbaya Sana "
 
In short mafanikio yoyote kwa mwanamke yanampa uwendawazimu,siyo rahisi kukuta wanawake wengi waliofanikiwa wakibaki kama walivyokuwa mwanzo,kwanza hamna kabisa
Iwe amesoma, awe amezaliwa familia bora, awe mzuri sana. Mwanamke akifanikiwa ujue kauza utu wake kwanza.

Asikudanganye sijui nafanya ni i oooh nafanye vile.

Unakumbuka enzi za kina UwoyaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…