Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ametaja jina pale ???Dini zote zinakataza kueneza uchafu na aibu za watu
Je huyu ni mchungaji kweli?
Mbona mafundisho yanakataza huu unafiki na adhabu yake ni kali sana?
Mchungaji aanika machafu yote ya Martha Mwaipaja katika ukurasa wa Facebook
Mchungaji anadai Martha Mwaipaja anajihusisha na vitendo vichafu vya usa**ji) visivyokubalika ndani ya jamii ya Tanzania na kwa Africa kwa ujumla
Ushahidi: Tembelea Page hii Atuganile Mwakosya
Ushahidi wa Catherine:
View: https://www.instagram.com/reel/DDq7sjfNS9j/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Tazama Video hii
Kuna jitihada za kumchafua huyu dada, sijui wanapata nini na hizo harakati..?
Kwa swali hili jibu ni ndioAmetaja jina pale ???
Sio kidogo mkuu,,Aisee!, hataro sana.
alimtengeneza ameanza kujiharibu, hivi Martha ana mtoto?Ipo neema inayotufanya Leo tumebadilikaaa
Amenitengeneza babaa...
Amenibadilisha babaa
Iwe amesoma, awe amezaliwa familia bora, awe mzuri sana. Mwanamke akifanikiwa ujue kauza utu wake kwanza.In short mafanikio yoyote kwa mwanamke yanampa uwendawazimu,siyo rahisi kukuta wanawake wengi waliofanikiwa wakibaki kama walivyokuwa mwanzo,kwanza hamna kabisa
hee kumbe hana, kwani hakufanikiwa kupata mtoto kwa mume wake mchungaji?Si mpaka awe nae sasa
Yule binti yake alimtelekeza uswahilini kule Arusha, baada ya kuona watoto wamefukuziwa mbali na pwi twu akamfata mengine tumuachie mchungaji mwakosya 😀😀...hivi Martha ana mtoto?