Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Katika muktadha wa lugha ya Kiarabu, neno "hadithi" lina maana ya "simulizi," "kisa," "hadithi," au "masimulizi." Linapotumika, mara nyingi linahusiana na maelezo ya kisa au masimulizi kuhusu tukio, mtu, au jambo fulani.Hivi kwa nini mnaziita hadithi?hadithi si ni simulizi za kutunga na kufikirika?
Kongole kwa ufafanuzi mkuuKatika muktadha wa lugha ya Kiarabu, neno "hadithi" lina maana ya "simulizi," "kisa," "hadithi," au "masimulizi." Linapotumika, mara nyingi linahusiana na maelezo ya kisa au masimulizi kuhusu tukio, mtu, au jambo fulani.
Kwa mfano:
Katika fasihi, linaweza kumaanisha masimulizi ya kawaida au visa vya kubuniwa.
Katika muktadha wa Kiislamu, "hadithi" ni rekodi za matamshi, vitendo, na idhini za Mtume Muhammad (SAW), ambazo ni chanzo cha pili cha sheria na mwongozo wa maisha ya Kiislamu baada ya Qur'ani.
Kwa Kiarabu, neno hili linaandikwa kama حديث (hadith).
Hadith ni neno la kiarabu na sisi tumelipata kwaoKongole kwa ufafanuzi mkuu
Okay...nimeelewaKatika muktadha wa lugha ya Kiarabu, neno "hadithi" lina maana ya "simulizi," "kisa," "hadithi," au "masimulizi." Linapotumika, mara nyingi linahusiana na maelezo ya kisa au masimulizi kuhusu tukio, mtu, au jambo fulani.
Kwa mfano:
Katika fasihi, linaweza kumaanisha masimulizi ya kawaida au visa vya kubuniwa.
Katika muktadha wa Kiislamu, "hadithi" ni rekodi za matamshi, vitendo, na idhini za Mtume Muhammad (SAW), ambazo ni chanzo cha pili cha sheria na mwongozo wa maisha ya Kiislamu baada ya Qur'ani.
Kwa Kiarabu, neno hili linaandikwa kama حديث (hadith).
Yawezekana Joan na Martha ni mtu na mpenzi wakeAuu Martha mwaipaja anataka kutoa wimbo mpya,kaandaa maigizo ili atrendi kibongofrevafreva 😄😄
Kwemaaaa? umepotea sana aiseee.....kuna mtu kakutuhumu hapo juu wewe na Martha ni mtu na mpenzi wake, hii ni kwelii au chai?Okay...nimeelewa
Na angekuwepo hii ishu ingeibua mengiMange mmbea wa taifa alishasemaga hili kitambo sana.
😂😂😂😂Oi jombaa mbona umekomaa sana na huyo dada? Au kakuchukulia demu wako?
ephen_ naomba uzifanyie uchunguzi hizi shutuma za mchungaji! Maana zinashtua. Ukijumlisha na ile picha, naona mauza uza tu 😱 hapa kwenye kichwa changu.Mchungaji aanika machafu yote ya Martha Mwaipaja katika ukurasa wa Facebook
Mchungaji anadai Martha Mwaipaja anajihusisha na vitendo vichafu vya usa**ji) visivyokubalika ndani ya jamii ya Tanzania na kwa Africa kwa ujumla
Ushahidi: Tembelea Page hii Atuganile Mwakosya
Dada wa ICU aweka yake ya moyoni
Ushahidi wa Catherine:
View: https://www.instagram.com/reel/DDq7sjfNS9j/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Tazama Video hii
Mimi siwashangai sababu sote tunatenda dhambi tofauti ni kwamba za kwetu zipo sirini.ephen_ naomba uzifanyie uchunguzi hizi shutuma za mchungaji! Maana zinashtua. Ukijumlisha na ile picha, naona mauza uza tu 😱 hapa kwenye kichwa changu.
Sasa mimi si babu yako! Nitajie hayo maovu yangu kama yapo! Halafu huko kwingine tunahisi tu. Shida hapa ni Martha kulalamikiwa kumtelekeza mama, mtoto na mdogo wake! Huku wakimtuhumu kushikiliwa masikio na sister Joan!Mimi siwashangai sababu sote tunatenda dhambi tofauti ni kwamba za kwetu zipo sirini.
Au wewe huna maovu yako?
Naona mama angetumia hekima kukaa kimya kama kulia angemlilia Mungu kwa kumpa mtoto ambaye ni Martha.Sasa mimi si babu yako! Nitajie hayo maovu yangu kama yapo! Halafu huko kwingine tunahisi tu. Shida hapa ni Martha kulalamikiwa kumtelekeza mama, mtoto na mdogo wake! Huku wakimtuhumu kushikiliwa masikio na sister Joan!
Mi hizi mambo za love affairs Huwa siamini harakaharakaYawezekana Joan na Martha ni mtu na mpenzi wake
Rebecca mambo? Nimekumis Fanya kuja inbox tuyamalizeKuna jitihada za kumchafua huyu dada, sijui wanapata nini na hizo harakati..?
Umenena vyema sana hoja nzito mnokuna wakati unaweza kuwa na siri nzito sana, na kuna mtu mmoja tu anaifahamu, na amekuweka mateka atakuendesha apendavyo kwa mkwara kwamba, usiponisikiliza na mwaga mboga. kuna watu wengi sana wanaishi na hiki kifungo. ni silaha kubwa shetani anatumia. walionielewa wamenielewa, huyo mtoto hizo nguvu alizo nazo si bure, ana siri nzito na dada wa watu ametekwa au la mboga itamwagwa. dawa yake ni kujitoa ufahamu bora aibu ila upone na uwe huru, ikiendelea sana unaweza kujitoa uhai kwa sababu kadiri unavyoendelea kifungoni akili inabadilika na kuwa gonjwa.