Mchungaji Atuganile Mwakyosa aanika machafu yote ya Martha Mwaipaja akidai anafanya matendo machafu kinyume na tamaduni za Tanzania

Hivi kwa nini mnaziita hadithi?hadithi si ni simulizi za kutunga na kufikirika?
Katika muktadha wa lugha ya Kiarabu, neno "hadithi" lina maana ya "simulizi," "kisa," "hadithi," au "masimulizi." Linapotumika, mara nyingi linahusiana na maelezo ya kisa au masimulizi kuhusu tukio, mtu, au jambo fulani.

Kwa mfano:

Katika fasihi, linaweza kumaanisha masimulizi ya kawaida au visa vya kubuniwa.

Katika muktadha wa Kiislamu, "hadithi" ni rekodi za matamshi, vitendo, na idhini za Mtume Muhammad (SAW), ambazo ni chanzo cha pili cha sheria na mwongozo wa maisha ya Kiislamu baada ya Qur'ani.

Kwa Kiarabu, neno hili linaandikwa kama حديث (hadith).
 
Kongole kwa ufafanuzi mkuu
 
yaani kabinti kadogo kana nguvu kwa martha utafikiri mwanaume wake? hivi mbona maswali mengi tunayo?
 
Kongole kwa ufafanuzi mkuu
Hadith ni neno la kiarabu na sisi tumelipata kwao
Ila kwa wengi wanajua kuwa hadithi ni za Ali Nacha tu
Utasikia hadithi na ukweli njoo na uongo njoo 😄 🤣
Ila lina maana pana sana na sio moja tu
Asante
 
Katika muktadha wa lugha ya Kiarabu, neno "hadithi" lina maana ya "simulizi," "kisa," "hadithi," au "masimulizi." Linapotumika, mara nyingi linahusiana na maelezo ya kisa au masimulizi kuhusu tukio, mtu, au jambo fulani.

Kwa mfano:

Katika fasihi, linaweza kumaanisha masimulizi ya kawaida au visa vya kubuniwa.

Katika muktadha wa Kiislamu, "hadithi" ni rekodi za matamshi, vitendo, na idhini za Mtume Muhammad (SAW), ambazo ni chanzo cha pili cha sheria na mwongozo wa maisha ya Kiislamu baada ya Qur'ani.

Kwa Kiarabu, neno hili linaandikwa kama حديث (hadith).
Okay...nimeelewa
 
kuna wakati unaweza kuwa na siri nzito sana, na kuna mtu mmoja tu anaifahamu, na amekuweka mateka atakuendesha apendavyo kwa mkwara kwamba, usiponisikiliza na mwaga mboga. kuna watu wengi sana wanaishi na hiki kifungo. ni silaha kubwa shetani anatumia. walionielewa wamenielewa, huyo mtoto hizo nguvu alizo nazo si bure, ana siri nzito na dada wa watu ametekwa au la mboga itamwagwa. dawa yake ni kujitoa ufahamu bora aibu ila upone na uwe huru, ikiendelea sana unaweza kujitoa uhai kwa sababu kadiri unavyoendelea kifungoni akili inabadilika na kuwa gonjwa.
 
Mchungaji aanika machafu yote ya Martha Mwaipaja katika ukurasa wa Facebook

Mchungaji anadai Martha Mwaipaja anajihusisha na vitendo vichafu vya usa**ji) visivyokubalika ndani ya jamii ya Tanzania na kwa Africa kwa ujumla

Ushahidi: Tembelea Page hii Atuganile Mwakosya

Dada wa ICU aweka yake ya moyoni

Ushahidi wa Catherine:
View: https://www.instagram.com/reel/DDq7sjfNS9j/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==

Tazama Video hii

ephen_ naomba uzifanyie uchunguzi hizi shutuma za mchungaji! Maana zinashtua. Ukijumlisha na ile picha, naona mauza uza tu 😱 hapa kwenye kichwa changu.
 
Mimi siwashangai sababu sote tunatenda dhambi tofauti ni kwamba za kwetu zipo sirini.
Au wewe huna maovu yako?
Sasa mimi si babu yako! Nitajie hayo maovu yangu kama yapo! Halafu huko kwingine tunahisi tu. Shida hapa ni Martha kulalamikiwa kumtelekeza mama, mtoto na mdogo wake! Huku wakimtuhumu kushikiliwa masikio na sister Joan!
 
Naona mama angetumia hekima kukaa kimya kama kulia angemlilia Mungu kwa kumpa mtoto ambaye ni Martha.

Maneno huwa hayarudi, vipi aibu watakayoipata pindi watakapopatana?
 
kuna wakati unaweza kuwa na siri nzito sana, na kuna mtu mmoja tu anaifahamu, na amekuweka mateka atakuendesha apendavyo kwa mkwara kwamba, usiponisikiliza na mwaga mboga. kuna watu wengi sana wanaishi na hiki kifungo. ni silaha kubwa shetani anatumia. walionielewa wamenielewa, huyo mtoto hizo nguvu alizo nazo si bure, ana siri nzito na dada wa watu ametekwa au la mboga itamwagwa. dawa yake ni kujitoa ufahamu bora aibu ila upone na uwe huru, ikiendelea sana unaweza kujitoa uhai kwa sababu kadiri unavyoendelea kifungoni akili inabadilika na kuwa gonjwa.
Umenena vyema sana hoja nzito mno
 
Martha anajulikana tangu kitambo kama mraibu wa ngono za kusagana, na hicho kibinti (Joan) anachosema ni mtoto wake ndio wameshibana katika huo ushenzi, kibinti kimekubuhu. Hiyo video ya huyo pastor yenye kutoa hizo Code ipo tangu miaka miwili iliyopita, wengine waliipuuzia (labda kwa sababu hakutaja jina) lakini wenye akili walimuelewa huyo Pastor kwa kuwa huwa amenyooka katika mahubiri yake.

Yote kwa yote, kwa wale wanaompenda Martha basi watafute njia ya kumsaidia tu (na njia rahisi ni kumtenganisha na huyo binti kwa akili kubwa), tofauti na hivyo kutoka hapo labda kwa miujiza tu. Umakini ukikosekana, mambo yatazidi kuwa mabaya zaidi huko mbeleni, na gharama ya kutoka hapo itakuwa kubwa sana huenda hata maisha ya mmoja wapo yakapotea.

Naandika haya kwa uhakika na umakini mkubwa, ipo siku tutarejea hapa kuyasoma haya.
 
Back
Top Bottom