Mchungaji auawa na kikundi cha Waislam wenye itikadi kali baada ya Waislam watatu kuwa Wakristo

Hivi tatzo huwa ni nini hasa, Mbona mkristo akisilimu hakuna tatizo ?

Juzi hapo Harmonize kaombewa tu, imekuwa ishu nzito sana
Misingi yao ni kuuua ili wapate swawabu,yaani wanaamini kuuua aliyesilimu ni ibda kwa
 
Bado tuna amini Mungu wa Wakristo ndio mungu wa waislamu? Sidhani, nakataa. Kuna mmoja ana mwamini shetani na mwingine ana amini Mungu
 
Bado tuna amini Mungu wa Wakristo ndio mungu wa waislamu? Sidhani, nakataa. Kuna mmoja ana mwamini shetani na mwingine ana amini Mungu
Hii mada ni ya muda mrefu. Huu ufukuaji makaburi una inda kama siyo gubu!
 
Na hutasikia wa imani hiyo wakikemea. Hapa ndipo unagundua kuwa dini ndiye shetani mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…