Mchungaji Dkt. Kimondo: Tatizo mtu akiongelea tu utekaji anaanza kusumbuliwa na Vyombo vya dola vipo, kuna nini nyuma yake?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mchungaji Msataafu wa kanisa la KKKT Mchungaji Dkt. Steven Kimondo, amehoji ukimya wa vyombo vya usalama kuhusu matukio ya watu kutekwa, akisema kama kweli wametekwa, kungekuwa na juhudi za wazi za kuwatafuta, lakini yeye hajaona juhudi hizo.

"Katiba ya Nchi inaheshimu uhai wa Mtu, sasa kama hawa watu wamepotea na bahati mbaya pengine wameuawa ni vitendo vya kinyama ambavyo hatuwezi kuvishangilia kinyume chake sio sas hihi tunahitaji vikemea na kuwataka wale wanaosimamia Usalama wa Raia na Mali zao watimize wajibu wao, tungetegemea tunasikia juhudi tukia-'assume' kwamba kweli kwamba wametekwa na watu wasiojulikana, tungetegemea vile vyombo vionyeshe juhudi ya kutafuta, lakini mtanisamehe mimi sijaona."

"Na hii inaeleta wasiwasi zaidi na inasahangaza zaidi kwamba wanapojitokeza Watu wanasemea mambo haya wanatiwa misukosuko, sasa unajiuliza huyu mtu ameeleza juu ya hali ya kweli ambayo inayotokea ambayo ni yakusikitisha alafu anatishiwa, kuna nini nyuma yake?"

"Vyombo vya Usalama wanapata taarifa lakini hatuoni hatua zinazochukuliwa, kina Sativa, Soka Mdude walichukuliwa lakini kuko kimya, kwangu mimi sioni ni jambo la kawaida, utafikiri kuna katimu kanafanya makusudi na viongozi tuliowaweka madarakani wamenyamaza kama vile hakuna kinachotokea."

"Ni wajibu kama Viongozi wa Dini kukemea mambo haya, kwasababu kupotea kwa Watu, kuteswa kwa watu wasiokuwa na hatia na kuuawa kwao sio mapenzi ya Mungu. Hawa watu tunaosema wasiojulikana, nadhani wanajulikana na watu fulani ndio maana hazifanyiki juhudi za kuwatafuta"

Mchungaji amehoji ukimya wa vyombo vya usalama kuhusu matukio ya watu kutekwa, akisema kama kweli wametekwa, kungekuwa na juhudi za wazi za kuwatafuta, lakini yeye hajaona juhudi hizo.

"Wanaosimamia Usalama wa Raia na Mali zao watimize wajibu wao, tungetegemea tunasikia juhudi tukia-'assume' kwamba kweli kwamba wametekwa na watu wasiojulikana, tungetegemea vile vyombo vionyeshe juhudi ya kutafuta, lakini mtanisamehe mimi sijaona."

"Nahii inaeleta wasiwasi zaidi na inasahangaza zaidi kwamba wanapojitokeza Watu wanasemea mambo haya wanatiwa misukosuko, sasa unajiuliza huyu mtu ameeleza juu ya hali ya kweli ambayo inayotokea ambayo ni yakusikitisha alafu anatishiwa, kuna nini nyuma yake?"

kwa sababu wanateka wao!
 
Mchungaji Msataafu wa kanisa la KKKT Mchungaji Dkt. Steven Kimondo, amehoji ukimya wa vyombo vya usalama kuhusu matukio ya watu kutekwa, akisema kama kweli wametekwa, kungekuwa na juhudi za wazi za kuwatafuta, lakini yeye hajaona juhudi hizo.

"Katiba ya Nchi inaheshimu uhai wa Mtu, sasa kama hawa watu wamepotea na bahati mbaya pengine wameuawa ni vitendo vya kinyama ambavyo hatuwezi kuvishangilia kinyume chake sio sas hihi tunahitaji vikemea na kuwataka wale wanaosimamia Usalama wa Raia na Mali zao watimize wajibu wao, tungetegemea tunasikia juhudi tukia-'assume' kwamba kweli kwamba wametekwa na watu wasiojulikana, tungetegemea vile vyombo vionyeshe juhudi ya kutafuta, lakini mtanisamehe mimi sijaona."

"Na hii inaeleta wasiwasi zaidi na inasahangaza zaidi kwamba wanapojitokeza Watu wanasemea mambo haya wanatiwa misukosuko, sasa unajiuliza huyu mtu ameeleza juu ya hali ya kweli ambayo inayotokea ambayo ni yakusikitisha alafu anatishiwa, kuna nini nyuma yake?"

"Vyombo vya Usalama wanapata taarifa lakini hatuoni hatua zinazochukuliwa, kina Sativa, Soka Mdude walichukuliwa lakini kuko kimya, kwangu mimi sioni ni jambo la kawaida, utafikiri kuna katimu kanafanya makusudi na viongozi tuliowaweka madarakani wamenyamaza kama vile hakuna kinachotokea."

"Ni wajibu kama Viongozi wa Dini kukemea mambo haya, kwasababu kupotea kwa Watu, kuteswa kwa watu wasiokuwa na hatia na kuuawa kwao sio mapenzi ya Mungu. Hawa watu tunaosema wasiojulikana, nadhani wanajulikana na watu fulani ndio maana hazifanyiki juhudi za kuwatafuta"

huyu mchungaji alindwe asije kutoweka!
 
Wiki iliyopita nikiwa kwenye eneo langu la kazi kuna tukio moja lilitokea, hili tukio limenifanya niamini kuwa wanautulinda ndio wanaoteka na kuua watu.
 
Itapendeza kama ukielezea hilo tukio lilikuaje
 
Back
Top Bottom