Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Miongoni mwa wahubiri NGULI na mahiri kabisa kupata kukaa miguuni mwa Mwinjilisti wa kweli wa Mungu Mch. Moses Kulola, Basi ni Dustan Maboya.
Maboya mwenye sauti nzito na swaggz za kufa mtu, miaka ile ya mwishoni ya 80 alikuwa akitisha kwa namna alivyokuwa akizivuta roho nyingi kwa Yesu.
Leo katika pitapita yangu mitaa ya Ubungo Riverside, katikati ya foleni, jua Kali na joto jingi, nimeshusha kioo Cha gari, ili hewa inipooze, maana air conditioner isije nimalizia wese langu maana tuna karibia saa nzima tumeganda hapa. Anatokea kijana mmoja, ananipa kipeperushi, yerewiiiiiiiii
Yaani Maboya amekuwa kama mganga wa jadi, anawakanyagisha watu asali Kisha huwanyweshwa ili wapokee miujiza yao.
Cha hatari zaidi kanisa linatoa huduma zake usiku wa manane kuanzia Jumatatu Hadi Jumapili, siku Saba kwa wiki.
Usiku ni muda wa wanandoa kufurahia ndoa yao.
Usiku ni hatari kwa kutembea, kwenda na kurudi kanisani kwani unaweza kukutana na vibaka, wabakaji etc.
Polisi, hebu walimulike hili kanisa Kama lipo kisheria na linafuata taratibu za nchi.
[SUP]
[/SUP]