Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Jamaa amepotoka sana. Unaposhirikiana na manabii wanaolambisha asali manake na wewe unakubaliana nao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaana hujui kuwa Maboya ndiye baba wa kihuduma wa huyo Makondeko na Mwamposa?Jamaa amepotoka sana. Unaposhirikiana na manabii wanaolambisha asali manake na wewe unakubaliana nao
Wakati Maboya anainukia kwenye huduma miaka ile ya 80, watumishi wenzake ndani ya EAGT walimsema kuwa anatumia nguvu za kipepo. Yeye akawa anakataa.Inamaana hujui kuwa Maboya ndiye baba wa kihuduma wa huyo Makondeko na Mwamposa?
Mh, Bujibuji mbona huyo ni Joshua Makondeko ndio mwenye hilo kanisa kulingana na kipeperushi. Soma vizuri, hapo Maboya kawekwa kama chambo kuvuta nyomi.Miongoni mwa wahubiri NGULI na mahiri kabisa kupata kukaa miguuni mwa Mwinjilisti wa kweli wa Mungu Mch. Moses Kulola, Basi ni Dustan Maboya.
Maboya mwenye sauti nzito na swaggz za kufa mtu, miaka ile ya mwishoni ya 80 alikuwa akitisha kwa namna alivyokuwa akizivuta roho nyingi kwa Yesu.
Leo katika pitapita yangu mitaa ya Ubungo Riverside, katikati ya foleni, jua Kali na joto jingi, nimeshusha kioo Cha gari, ili hewa inipooze, maana air conditioner isije nimalizia wese langu maana tuna karibia saa nzima tumeganda hapa. Anatokea kijana mmoja, ananipa kipeperushi, yerewiiiiiiiii.......
Yaani Maboya amekuwa kama mganga wa jadi, anawakanyagisha watu asali Kisha huwanyweshwa ili wapokee miujiza yao.
Cha hatari zaidi kanisa linatoa huduma zake usiku wa manane kuanzia Jumatatu Hadi Jumapili, siku Saba kwa wiki.
Usiku ni muda wa wanandoa kufurahia ndoa yao.
Usiku ni hatari kwa kutembea, kwenda na kurudi kanisani kwani unaweza kukutana na vibaka, wabakaji etc.
Polisi hebu walimulike hili kanisa Kama lipo kisheria na linafuata taratibu za nchi.
[SUP]View attachment 1581238[/SUP]
Duh.....Inamaana hujui kuwa Maboya ndiye baba wa kihuduma wa huyo Makondeko na Mwamposa?
Mpuuzi kweli hyu jamaaKukanyaga asali na kulamba asali.
Hahahaha, pale kiwanja Cha NMC. Nikiwa Arusha sec, Yani umenikunbusha mbaliiiNikiwa nasoma arusha secondary miaka ya tisini alikuwa anakuja kuhubir akiona vikundi vya wanafunzi alikuwa chakaramu kama mchungaji mashimo choka mbaya anahubiri kwa matusi tunamshangilia utasikia dah yesu akaona hawa wasenge wanafanya biashara hekaluni Leo nawalawiti...sitanii alikuwa anahubiri hivyooo
NmcSiyo utani uliza wanafunzi Wa arusha seko miaka hiyo alikuwa anakuja pale kwenye parking ya magari ya verani
Jane naomba uje nikanyage asali yako,nimeambiwa ni tiba ya kipururuWakati Maboya anainukia kwenye huduma miaka ile ya 80, watumishi wenzake ndani ya EAGT walimsema kuwa anatumia nguvu za kipepo. Yeye akawa anakataa.
Baadaye akajitenga na kuanzisha Calvary Assemblies of God. Kanisa lilikua vizuri hasa miaka ile ya 90. Watu walianza kuamini kuwa jamaa ni mtumishi wa kweli wa Mungu.
Kumbe anatumia hill dhehebu kama kichaka cha kuzalisha manabii na walimu wa uongo ili waendelee kupotosha yamkini hata wateule wa Mungu. Hakika tupo nyakati zilizoongelewa kwenye maandiko 2Petro 2:1-11, Yuda 1:1-15, 1Yoh 4:1-3
Bottom line: Si kila anayejiita mtumishi wa Mungu ni mtumishi kweli wa Mungu. Wakristo wanapaswa kuwa macho kutofautisha mtumishi wa kweli na wa uongo na njia sahihi ni kupitia kujifunza maandiko. Vinginevyo, watu wataendelea kuburuzwa kwenda upotevuni.
Huyu Maboya ndiyo yupo na Makundi na yule dogo wa kuuza mapazia pale corner ya SUA - Moro?Kwanza katika Mitume wa Kipentekoste huyu ndiye ninayemsikiliza na kumuelewa. Hulihubiri na kulifundisha neno kama lilivyo. Hapo kaitwa ili awalete Kondoo wasio na zizi wa Nyumba ya Israel.
Pili nina hakika hapo kaalikwa tu. Mwenye shughuli ni huyo Makondeko.
Ministry yake inaitwa CALVARY ASSEMBLIES.
Mrumi Mkatoliki
Wa pale anaitwa Ryoba. Lakini ni dhehebu moja Maboya ndiye askofu mkuuHuyu Maboya ndiyo yupo na Makundi na yule dogo wa kuuza mapazia pale corner ya SUA - Moro?
Mkuu umeuaNikiwa nasoma arusha secondary miaka ya tisini alikuwa anakuja kuhubir akiona vikundi vya wanafunzi alikuwa chakaramu kama mchungaji mashimo choka mbaya anahubiri kwa matusi tunamshangilia utasikia dah yesu akaona hawa wasenge wanafanya biashara hekaluni Leo nawalawiti...sitanii alikuwa anahubiri hivyooo
Kanisa ndio hilo la njia panda ya SUA?Wa pale anaitwa Ryoba. Lakini ni dhehebu moja Maboya ndiye askofu mkuu
Halafu usiku wa manane, isije ikawa asalo ya viungo vya uzaziJamaa amepotoka sana. Unaposhirikiana na manabii wanaolambisha asali manake na wewe unakubaliana nao
Hzo pipi za miujiza ndo kaniacha hoi kabisa!Miongoni mwa wahubiri NGULI na mahiri kabisa kupata kukaa miguuni mwa Mwinjilisti wa kweli wa Mungu Mch. Moses Kulola, Basi ni Dustan Maboya.
Maboya mwenye sauti nzito na swaggz za kufa mtu, miaka ile ya mwishoni ya 80 alikuwa akitisha kwa namna alivyokuwa akizivuta roho nyingi kwa Yesu.
Leo katika pitapita yangu mitaa ya Ubungo Riverside, katikati ya foleni, jua Kali na joto jingi, nimeshusha kioo Cha gari, ili hewa inipooze, maana air conditioner isije nimalizia wese langu maana tuna karibia saa nzima tumeganda hapa. Anatokea kijana mmoja, ananipa kipeperushi, yerewiiiiiiiii.......
Yaani Maboya amekuwa kama mganga wa jadi, anawakanyagisha watu asali Kisha huwanyweshwa ili wapokee miujiza yao.
Cha hatari zaidi kanisa linatoa huduma zake usiku wa manane kuanzia Jumatatu Hadi Jumapili, siku Saba kwa wiki.
Usiku ni muda wa wanandoa kufurahia ndoa yao.
Usiku ni hatari kwa kutembea, kwenda na kurudi kanisani kwani unaweza kukutana na vibaka, wabakaji etc.
Polisi, hebu walimulike hili kanisa Kama lipo kisheria na linafuata taratibu za nchi.
[SUP]View attachment 1581238[/SUP]
Hawa jamaa ni wachangiaji wazuri wa chama, ndio maana hawagusiki kirahisiHawa watu huwa hawachukuliwi hatua kwa sababu mafundisho yao ya imani yamepumbaza watu wengi ambao mwisho wa siku watu huwa wanatumika kama mtaji wa kisiasa kwa wanasiasa .... So hautokuja kusikia huyo jamaa akiguswa na mamlaka yoyote yale labda aende kinyume na matakwa ya wenye nchi ....refer yale ya mwamposa kukanyagisha mamia yawatu mafuta na watu hao baadhi wakafa lakini mpaka leo yupo uraiani anapeta tu
naam ndio hivyo..wa connection kubwa na hao watuHawa jamaa ni wachangiaji wazuri wa chama, ndio maana hawagusiki kirahisi