Ubena Zomozi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,608
- 1,286
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WameshindaDar es Salaam. Shangwe na nderemo vimetawala katika Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama wakati wa ibada ya asubuhi (morning Glory) baada ya mchungaji, Dk Eliona Kimaro ambaye kurudi kutoka likizo aliyopewa.
Usiku wa Januari 16, 2023 ilisambaa video ikimuonyesha mchungaji Kimaro akiwaeleza waumini wake kuwa amepewa likizo ya siku 60 baada ya kuitwa katika ofisi ya msaidizi wa askofu na kufanya kikao na mkuu wa jimbo.
Dk Kimaro ambaye ni mchungaji kiongozi wa Usharika huo ameripoti usharikani hapo leo Ijumaa Machi 17, 2023 baada ya kumalizika kwa likizo ya siku 60 na kuibua furaha alipowasalimia waumini na kuwashukuru.
Hata hivyo Februari 19 Askofu wa KKKT, Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk Alex Malasusa alitangaza kumsamehe mchungaji Kimaro.
Akizungumza baada ya kumalizika kwa ibada hiyo Dk Kimaro amewashukuru waumini wa usharika huo kwa uvumilivu kwa kipindi chote alichokuwa kwenye nyumba ya malezi huku akitangaza ratiba za ibada ya Kwaresma kwa siku zilizobaki.
Waumini walioshiriki ibada hiyo wameshindwa kujizuia kwa furaha walizokuwa nazo kila alipokuwa akizungumza walinyanyuka na kushangilia na wengine kurusha maua.
Credit: Mwananchi
Ukiangalia matukio namna mgogoro ulivyoanza na ulivyoisha; una uhakika hayakuwa maigizo? Tuacheni maigizo nchi hiii!Dar es Salaam. Shangwe na nderemo vimetawala katika Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama wakati wa ibada ya asubuhi (morning Glory) baada ya mchungaji, Dk Eliona Kimaro ambaye kurudi kutoka likizo aliyopewa.
Usiku wa Januari 16, 2023 ilisambaa video ikimuonyesha mchungaji Kimaro akiwaeleza waumini wake kuwa amepewa likizo ya siku 60 baada ya kuitwa katika ofisi ya msaidizi wa askofu na kufanya kikao na mkuu wa jimbo.
Dk Kimaro ambaye ni mchungaji kiongozi wa Usharika huo ameripoti usharikani hapo leo Ijumaa Machi 17, 2023 baada ya kumalizika kwa likizo ya siku 60 na kuibua furaha alipowasalimia waumini na kuwashukuru.
Hata hivyo Februari 19 Askofu wa KKKT, Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk Alex Malasusa alitangaza kumsamehe mchungaji Kimaro.
Akizungumza baada ya kumalizika kwa ibada hiyo Dk Kimaro amewashukuru waumini wa usharika huo kwa uvumilivu kwa kipindi chote alichokuwa kwenye nyumba ya malezi huku akitangaza ratiba za ibada ya Kwaresma kwa siku zilizobaki.
Waumini walioshiriki ibada hiyo wameshindwa kujizuia kwa furaha walizokuwa nazo kila alipokuwa akizungumza walinyanyuka na kushangilia na wengine kurusha maua.
Credit: Mwananchi
Huu ndio uzuri wa binadamu kukubalika watu wanakufurahia siyo sawa na lile shetani ibilisi la Kirundi lililokufa tarehe kama ya leo.
Atulie sasa atii maagizo na miongozo ya kanisa lake.Dar es Salaam. Shangwe na nderemo vimetawala katika Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama wakati wa ibada ya asubuhi (morning Glory) baada ya mchungaji, Dk Eliona Kimaro ambaye kurudi kutoka likizo aliyopewa.
Usiku wa Januari 16, 2023 ilisambaa video ikimuonyesha mchungaji Kimaro akiwaeleza waumini wake kuwa amepewa likizo ya siku 60 baada ya kuitwa katika ofisi ya msaidizi wa askofu na kufanya kikao na mkuu wa jimbo.
Dk Kimaro ambaye ni mchungaji kiongozi wa Usharika huo ameripoti usharikani hapo leo Ijumaa Machi 17, 2023 baada ya kumalizika kwa likizo ya siku 60 na kuibua furaha alipowasalimia waumini na kuwashukuru.
Hata hivyo Februari 19 Askofu wa KKKT, Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk Alex Malasusa alitangaza kumsamehe mchungaji Kimaro.
Akizungumza baada ya kumalizika kwa ibada hiyo Dk Kimaro amewashukuru waumini wa usharika huo kwa uvumilivu kwa kipindi chote alichokuwa kwenye nyumba ya malezi huku akitangaza ratiba za ibada ya Kwaresma kwa siku zilizobaki.
Waumini walioshiriki ibada hiyo wameshindwa kujizuia kwa furaha walizokuwa nazo kila alipokuwa akizungumza walinyanyuka na kushangilia na wengine kurusha maua.
Credit: Mwananchi
Siku hizi hadi wao wana masista, wameanza kurudi taratibu walipotokaKumbe hadi KKKT wana kwaresma!
Nilijua RC pekee,nani wengine?
Kwahiyo bila yeye Huduma zinasimama?Bila Mchg Kimaro Kijitonyama ilikuwa taabani.
Comment ya kwanza uzi ushaingiliwa na upuuzi.Bila Mchg Kimaro Kijitonyama ilikuwa taabani.
Inasemekana hata zaka na sadaka ziliporomokaBila Mchg Kimaro Kijitonyama ilikuwa taabani.
Kwahiyo bila yeye mbinguni hatuendi??Bila Mchg Kimaro Kijitonyama ilikuwa taabani.