Mchungaji Eliona Kimaro arejea KKKT Kijitonyama

Atulie sasa aache maneno yanayoleta ukakasi kwa mabosi wake.

Rule number UNo aifuate.
 
Hakuwa na kosa lolote, ningeshangaa Sana.
SANA.

KIMARO ni wale Watu wa black n White.
Sio Watu wakupepesa maneno.
Tabia hiyo Kwa Watu Wanafiki humuona kama anajifanya au anakiburi.
 
Wameshinda
 
Ukiangalia matukio namna mgogoro ulivyoanza na ulivyoisha; una uhakika hayakuwa maigizo? Tuacheni maigizo nchi hiii!
 
Jambo jema halishabikiwi kama jambo baya[emoji2827]
 
Atulie sasa atii maagizo na miongozo ya kanisa lake.
MUNGU amsimamie katika huduma yake.
 
Kumbe hadi KKKT wana kwaresma!

Nilijua RC pekee,nani wengine?
 
Hakika Mwenye Enzi Mungu ni mkubwa sana !
Hongera sana mchungaji vita umepigana na amani umeitunza!
Mwenye Enzi Mungu awe nawe milele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…