Shemasi Jimmy
Member
- Apr 23, 2021
- 93
- 104
endelea kubarikiwa ndugu yangu, ukue na ukaongezeke katika jina la YesuHakuna jipya uliloandika zaidi ya tuliyoyasikia tangu sakata hilo lianze.Hayo ya wanawake kuvaa suruali za kubana umecopy humu JF kwa wenzio waliotangulia kuweka mada za Mchungaji. Kipya hapo ni number zako za simu tu basi.
Nakuona unavyokwenda bampa to bampa na shemasi. Heri ya mwaka mpya na kwako pia
USIHUKUMU USIJE KUHUKUMIWA the Bible saysNa Shemasi Jimmy 0659 611 252
Naomba kutia neno juu ya kile kinachoendelea mitandaoni juu ya mchungaji Kimaro.
Binafsi naona kama Kiburi kimemzamisha akiwa kati kati ya jahazi la utumishi. Alitumia madhabahu ya Mungu kujijenga yeye binasfi na sio MWILI WA KRISTO...
Ahsante rafiki. Usijifiche sana bhana. Maisha ni hayahaya.Nakuona unavyokwenda bampa to bampa na shemasi. Heri ya mwaka mpya na kwako pia
Hapana sijajichanganya ndugu isipokua hujaelewa mahala fulaniKama yesu alikuja kwaajili wa watu ambao sio wakamilifu kama hao wavaa suruali za kubana waliobeba mabango iweje ushangae?
Shemasi unajichanganya
Gauge gani hiyo umeitumia kujua kuwa amejijenga yeye binafsi zaidi ya Kristo .....!!?Na Shemasi Jimmy 0659 611 252
Naomba kutia neno juu ya kile kinachoendelea mitandaoni juu ya mchungaji Kimaro.
Binafsi naona kama Kiburi kimemzamisha akiwa kati kati ya jahazi la utumishi. Alitumia madhabahu ya Mungu kujijenga yeye binasfi na sio MWILI WA KRISTO. Ndio maana yeye akawa maarufu kuliko utakatifu wa waumini wake. kumbuka kipimo cha kazi ya mwaadamu aliyeitwa na Mungu ni matunda aliyoweza kuzalisha.
Nimeona video ya waumini wake wakiwa na mabango, huku wale wa kike wakiwa wamevalia suruali za kubana makalio.biblia imezuia watu wa Mungu kuvaa mavazi ya aina ile ya waumini wa mchungaji kimaro. Mavazi ya kubana makalio yanachochea matamanio kwa baadhi ya waamini ndio maana biblia ikazuia. Lakini mchungaji kimaro hakuliona hilo. Naomba kunukuu maandiko matakatifu kutoka katika kitabu cha kumbukumbu la torati 22:5 Kumbukumbu la Torati 22:5 SRUV’’Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako’’
Alizungukwa na wana wa wanadamu wengi kuliko wana wa Mungu. Ndio maana kundi kubwa linalomtetea ni la WANA WA WANADAMU. Yaani makundi ya wanasiasa na wafanya kazi wa injili za biashara kuliko wateule wa Mungu.
Amenukuliwa katika video clip akilalama kua vijana wa kiislam ni waaminifu na vijana wa kikristo wengi ni wezi. Hii ni ajabu kwa mchungaji aliyeaminiwa aifanye kazi ya Mungu. Hii ni kukiri kua biblia haitoshi kubadili tabia na mwenendo wa wafuasi wa Yesu ispokua qurani, kitu ambacho kinaacha maswali katika aina ya utumishi wake. Wenye hekima wanasema nioneshe mchungaji wako nikwambie tabia yako. Tabia ya mchungaji ndio tabia ya waumini wake. Kama waumini wake ni wezi basi ni wazi kua yeye ni mahili kwenye eneo hilo pia.
Nani kakwambia kwamba wale wamempokea yesu?Hapana sijajichanganya ndugu isipokua hujaelewa mahala fulani
Yesu alikuja duniani kutafta waliopotea, ukiisha mpokea Yesu unafanyika mwana wa Mungu(HADHI ya juu sana). wale wamekwisha mpokea YESU. tabia na mienendo yao inapaswa kutofautiana na watu ambao hawajampokea Mungu. huwezi kua mwana wa Mungu kisha ukarudi tena kuvaa mavazi ya kikahaba, huwezi kua mwana wa Mungu kisha ukawa na mwenendo sawa na mwana wa shetani.
yesu anasema
Mathayo 11:28 BHN
Njoni kwangu nyinyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
mizigo ni pamoja na mavazi ya kikahaba, uzinzi, uasherati n.k
Na Shemasi Jimmy 0659 611 252
Nimeona video ya waumini wake wakiwa na mabango, huku wale wa kike wakiwa wamevalia suruali za kubana makalio.biblia imezuia watu wa Mungu kuvaa mavazi ya aina ile ya waumini wa mchungaji kimaro. Mavazi ya kubana makalio yanachochea matamanio kwa baadhi ya waamini ndio maana biblia ikazuia. Lakini mchungaji kimaro hakuliona hilo. Naomba kunukuu maandiko matakatifu kutoka katika kitabu cha kumbukumbu la torati 22:5 Kumbukumbu la Torati 22:5 SRUV’’Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako’’
shetani ndani ya ufalme wa Mungu, hii ni ajabu. tabia za waumini ni tabia za mchungaji wao
Sijamwelewa alitaka kutuambia niniHivi anafikiri Durex inauzwa 200 au 300?
Hananja namkubali sanaHuyo Hananja nae [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
KKKT mna waalimu aiseee
Hananja hana njaa [emoji1783][emoji1783] anahubiria stareheNi kma yule Mstaafu Hananja ameshalewa sifa' hadi wakati mwingine anaongea upuuzi!
Weka unyakyusa wake pembeni, afu uendelee na hoja zakoHuyu Mnyakyusa yupo after power tu...
Yupo kimaslahi for everything ndio mana alinunuliwa na Marehemu. Hamna utumishi pale kuna maslah yake tu na chuki
Duh [emoji1783][emoji1783] CV ya kimaro ni kubwa asee..Niseme tu, hakuna marefu yasiyo na ncha.
Kilichokuwa kinatakiwa kufanyika ni kum demolish Kimaro tangu akiwa Usharika wa Kariakoo.
Kwa miaka mingi tumefanya mbinu na njama mbalimbali kumuondoa lakini hazikuwq na matokeo tuliyo yatarajia. Hivyo tukajaribu mbinu nyingine na nyingine tena, hatimaye leo mbuyu haujaanguka ila umemwagika.
Mara ya kwanza tulipofanya yetu akiwa pale Kariakoo alikimbia usharika na kwenda kujificha kwa Mapadre, na mapadre ndio waliofanya jitihada hadi akarudi tena usharikani, ila hii ya sasa harudi, na akirudi basi itakuwa zamu yetu kusalimu amri.
Kimaro alipokuwa Kariakoo, sio kwamba aliharibu taratibu za ibada hapana, hii ni cover tu, tunayoitumia.
Kimaro alipokuwa Kariakoo aliharibu biashara za wengi kwenye ulimwengu wa roho.
Watu walikuwa na madhabahu zao kubwa ambazo ziliprovide ulinzi wa pesa na mali, pia zikikuwa zikivuta mali kutoka kwa maboya wengine.
Alipofika Kimaro, wale ambao tulikuwa tukizivuta mali zao, wakaanza kumiminika kule kila alfajiri, ulinzi wa mali zao ukaanza kuongezeka, na zile biashara zao ambazo tulizifanya zisionekane na wateja zikaanza kuonekana, na taratibu taratibu wakaanza kukua na kutupora wateja wetu.
Kwa msio na ufahamu wa biashara, hamna biashara isiyo na madhabahu (iwe ya asili au hizo kama za Kimaro), hamna biashara isiye na kuhani, na wala hamna biashara isiyotolewa sadaka/kafara.
Watu wakaanza kufundishwa kutoa sadaka za maneneo na manuizi kwa ajili ya biashara zao, tukapata upinzani sana.
Kwa kushirikiana na wenzetu ndani ya kanisa, tukaanza figisu. Ibada hizo mpya zifutwe na ikiwezekana Kimaro ahamishwe Kariakoo.
Tukafanya Kimaro apitie magumu, tukakausha kabisa hali ya utoaji wa sadaka hadi kanisa likashindwa kulipia umeme na maji, tukahakikisha wanapitia kwenye hali ya ugumu kweli kweli.
Baadae Kimaro anajua alichokifanya, akapindua meza, hali ya uchumi wa kanisa ikaimarika sana, likawa pigo lingine kwetu.
Kipindi kile mkuu wa kanisa alikuwa yule jamaa wa Mbeya, tukafanya kila liwezekanalo ahamishwe. Ndipo akapelekwa Kijitonyama.
Zama zile Kijitonyama alikuwepo dogo mmoja anaitwa Kinyaha, hayo mambo ya ibada za asubuhi yalikuwa hayapo au yamekufa kabisa.
Ibada ilikuwa ikihudhuriwa na vizee vienne, wakizidi sana sita. Sasa alipokuja Kimaro sijajua alikuja na mguu upi, akaleta ibada za asubuhi na usiku.
Watu wakaanza kufurika, akaanza kununua nyumba za watu wetu na kuzifanya kuwa za kanisa. Kijitonyama yote ilikuwa ni ngome yetu.
Kata ya Kijitonyama ndio kata ina vijiji viwili mjini kati Dar es Salaam. Kijiji cha Mwenge na Kijiji cha Makumbusho. Jina na asili Kijitonyama sitaki kulielezea leo, lakini kaa ukijua kuwa ile ni ngome yetu na sehemu yetu ya kulia nyama na vitu vyetu vya kutuongezea nguvu. Kijitonyama ndiko kwenye madhabahu ya kuteketeza, ndio maana hata Wahindi miili yao huchomewa Kijitonyama.
Pale tulijaribu mbinu za kishushu, kuna kipindi tulitaka kumfitinisha na serikali kwa kupitia kijana aliyejinyonga kwa madeni aliyokuwa nayo, lakini alikwepa vihunzi kwa namna ya ajabu kabisa.
Kwetu sisi ni furaha, watu waharibifu aina ya KIMARO hawafai, wakakae huko vyuoni wafundishe. Na tutammaliza kwa njia hiyo.
HahahaWazee wa vilinge mmehakikisha mwamba kang'oka maana anatibua mitikasi yenu [emoji3]
Jamaa taiz zilikua mingi ngoja atulie kidogo [emoji3]Hapo tatizo ni lile lile tu la ngozi nyeusi, wivu, majungu na fitina. Jamaa nyota yake imewaka na anakubalika sana na ukishakubalika na jamii hela lazma upate nyingi tu kupitia hao hao unaowahudumia. Sasa naona wamejaribu kumbana bana wamemshindwa wameona anafaidi sana bora wamuondoe kisiasa.
Hiyo official religion umeitoa wapi..? Wa Vatican banaNdio ukweli wenyewe hata kama hautaki, its either uwe RC ama Muislamu ndio dini zinazotambulika kitaifa. Official religions of the nation.
Ameharibu reputation ya wafanyakazi wa kikristo kwenye taasisi na mashirika mengi sana, ni vile hajui madhara ya kutamka maneno kama hayo kwenye hadharaKimaro hakuwa specific yeye ali generalize kitu ambacho mimi naona siyo kweli huwezi ukasema wakristo wote ni wezi,basi hata magereza nafikiri yangejaaa Christian tuu