Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Sikujuaga km Kuna wakristoo wana chuki Kali hivi na wanamchukia Kimaro hivii Tena live live daah...kweli Dunia Ina wanafiki wengi sana
Anyway hayanihusu lakini ila kupitia Kimaro nimejifunza kitu
Yaani Bina usije kushangaa huko motoni wengi wakawa wakristo, tena viongozi na hawa wenye makasiriko na mtu aliyeinuliwa na Mungu.
 
Yaani Bina usije kushangaa huko motoni wengi wakawa wakristo, tena viongozi na hawa wenye makasiriko na mtu aliyeinuliwa na Mungu.
Daahhhh nimechoka sana Bina maana ukiona comments za humu za chuki za wazi wazi as if alikua anazibia watu riziki,amekula wake za watu au ametukana watu,au ameiba pesa
Mapungufu madogo yakibinidamu Ndo yananyomfanya humu watu wamshambulie looh
 
imeisha hiyo
 
Daahhhh nimechoka sana Bina maana ukiona comments za humu za chuki za wazi wazi as if alikua anazibia watu riziki,amekula wake za watu au ametukana watu,au ameiba pesa
Mapungufu madogo yakibinidamu Ndo yananyomfanya humu watu wamshambulie looh
Ukiwauliza wengi wanafata tu mkumbo kumchukua baba wa watu [emoji1787]
Ila Mungu alishamuinua, watazidi kudhalilika tu.

Makanisani huku unafiki ni mwingi.. unakuta mtumishi badala ahubiri injili yake, unakuta yupo busy kumsagia kunguni mtumishi mwingine wa dhehebu jingine.
 
Mwanangu nikupendae sana, jihadhari sana kuwadhihaki hawa wanaomtumikia Mungu hasa wakati wao wa mapito magumu
 
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]duhhh kuna shida mahala baasi
Halafu anatokea mtu anakuambia ooh Kimaro ana kiburi
Kwanini apost picha imeandikwa from bitter to better[emoji16]

Kitendo tu cha kumpa likizo katikati ya semina ni kitendo Cha kijuha na kishetani.
Wakristo wengi tunaelewa, namna maandalizi ya semina yalivyo..
Mtu anakatishwa ghafla tu
Wamewazuilia watu ambao pengine wangeokoka na wangepiga hatua kwenye hiyo semina.
Wallah watatoa hasabu yake.
 
Mimi msema kweli, si majungu. BAADA YA KUSIMAMISHWA ETI akapost"FROM BITTER TO BETTER" na ka picha ka uchokozi.Huyu ni mchungaji au ni mission town Tu?Vijembe kwa kwenda mbele mfyuuuuuuu.
Pole sana.
Hii itakulipa kwa wakati wake.
Huwezi kufurahia mateso ya mtumishi wa Mungu akubaki salama.
Mambo haya ni magumu bora ukabaki nyutro kuliko kujifanya unajua
 
Wanaweza kufurahia kuwa wamemuweza lakini siku zitaongea
 
Halafu anatokea mtu anakuambia ooh Kimaro ana kiburi
Kwanini apost picha imeandikwa from bitter to bette...
Kibri kipi bwana ukweli chuki tu ukweli usemwe Kimaro Ndo habari ya mjini tukubali tukatae Mimi ujue sikosagi vipindi vyake nikipata nafasi anatia faraja yule anafundisha nadhani wameogopa anawaoutshine Sanaa viongozi.

Kuhusu picha ni vitu vidogo tafsiri zao Ndo zao yeye ukute hamaanishi wanavomaanisha. Ni wivu tu hakuna lingine wanadamu wanaangalia kitu kidogo sana Ndo wanakibeba kuliko mema yake

Si wangesubiri amalize semina kama wao Wana hofu na Mungu kweli!mtu amejipanga halafu mnamkatisha palipo na riziki hapakosi fitna.

KKKT wamefeli Kwa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…