Mchungaji Gwajima acha kupotosha, huwezi sema Maalim Seif muda wake wa kuishi umetosha, binadamu anaweza kuishi miaka zaidi ya 100

Tafsiri mbovu ya biblia. Katika hiyo zaburi kuna jambo Musa alikuwa anajadili. Miaka ya uhai kwa binadamu ni 120. Someni biblia kwa usahihi.
Mungu anamkataza Shetani asiguse roho ya Ayubu. Bila katazo angeweza kuinyofoa. Mungu anajua kuwa huo uwezo anao. Soma maandiko!
 
Nilitaka kumjibu
Nashukuru umemjibu vyema!
 
Mwanzo 6:3
Bwana akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini.
 
Ni kweli muda wa Maalim kufariki ulikuwa umefika lakini ameshindwa kupresent hiyo hoja vizuri! Hakutumia hekima kulisema hilo.
Wakati watu bado wana machungu ya kuondokewa na Maalifu ulikuwa siyo muda wa kuhubiri hivyo.
Ndicho kinachoibua hasira ya watu ambao wanaona alipata Ubunge kwa njia ya wizi na kusahau jinsi Maalim alivyonyimwa Ushindi na Chama tawala kwa takribani kila uchaguzi ulipofanyika.
Hekima ni Muhimu katika kusema au kutenda!
 
Wewe kichaa akikunyanganya nguzo zako ukaanza kukimbizana nae sisi watazamaji tutadhani nyie wote ni vichaa....
 
Sasa hayo anayosema si kwa mujibu wa Kitabu anachokiamini yeye....asilazimishe kila Mtu aamini Kitabu cha imani yake.
 
Wewe ni mjinga tena usiyeelewa maana ya unachokisema, inaonekana ni mmoja wa wale aliyefufuliwa na Gwaji boy. Mungu amependa wewe punda ufariki lini? Acha uzoba, ukitaka kufariki hata kesho unaweza, uamuzi wa kufa au kutokufa unao wewe wala usimsingizie ujinga wako wa kupanga vifo kwa mwenyezi Mungu. Nenda kakae kwenye njia ya train ya kati inayotoka huko kwenu Mwanza uone kama hujafa?
Maalimu Seif hakupaswa kufa kwa umri ule aliokuwa nao na ugonjwa mwepesi kwa kutofuata tahadhari. Mungu amekupa akili za kujilinda ila ukileta akili zako za kipunda punda...Utaondoka kabla ya muda wako.
 
Wasukuma wanajitahidi kwa kila hali kulinda upumbavu wa Meko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…