black chinese
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,148
- 1,228
Kwa dunia ya sasa siasa ndio mfumo na mzunguko wa maisha yote... "Siasa ni sayansi"(Dr. Slaa) sio kama unavyofikiria wewe, kila kitu ni siasa... Hivyo basi ni vigumu wachungaji, mapadri mashehe kutozungumzia siasa.. Siasa ikivuruga amani, uhuru wa kuabudu unapotea......Mkuu unataka Kiongozi wa kidini (kiroho) awe sawa na Hawa wanasiasa??? Wanasiasa ndio zao.. Je Hawa wachungaji ni sahihi?
Mkuu hawa wote ni viongozi mmoja wa kiroho na mwingine wa umma na wote wapo Dsm hivyo siyo busara kugombana waziwazi, busara za wazee zitumike, hawa wazee wakina Warioba, Paul Bomani, Mangula ndiyo kazi zao hizi.Umesema kweli Mkuu. Lakn sasa katika ugomvi wao, kimengia kitu chenye public interest.....
Mtu akipata zero(akizungusha),hua anapewa vyeti?,Ngwajima kasema anavyeti vya makonda alivyopata ziroNadhani anayo matokeo ya shule aliyosoma BASHITE akapata zero, Pamoja na vyeti vya MAKONDA.
Hawa ni watu wawili tofauti.
Tulieni anyoooshwe,Gwajima kasema,ukinijia kwa mbwembwe unazo zijua ww,mimi nikikupiga unapotea mazima.Mr David ndo kiama chake.
Wanasiasa wanawachokonoa wachungaji kwenye TV unataka wao wakae kimya?Kwa dunia ya sasa siasa ndio mfumo na mzunguko wa maisha yote... "Siasa ni sayansi"(Dr. Slaa) sio kama unavyofikiria wewe, kila kitu ni siasa... Hivyo basi ni vigumu wachungaji, mapadri mashehe kutozungumzia siasa.. Siasa ikivuruga amani, uhuru wa kuabudu unapotea......
Tumsamehe amejikwaa.Pasco mayala tunajua una njaa sana lakini jaribu kuficha njaa yako kwenye hili sakata maana huenda na ww ukajikuta unadhalilika bure.
Hivi unaposema tuache unafiki unamaanisha kweli???Jamani, pamoja na vyeti nk, lakini vita iliyopo mbele yetu ni madawa ya kulevya.tafadhali hata kama makonda aliishia chekechea,kama ana dhati ya kusaidia taifa liondokane na huu uchafu tafadhali apewe nguvu.kabla bw makonda hajaingia kwenye hii vita hatukusikia habari hii ya kufoji vyeti. Twaona magenge ya walanguzi na madalali wa unga sasa wameungana kumshughulikia kila eneo.tuacha unafiki tutokomeze hiili baa linaharibu vijana
Na mimi mwanzoni nilikuwa nimeingia chaka lakini baada ya kurudia kusoma ndiyo nikaelewa vizuri.Wewe hujamuelewa Pasco!!
Pasco anachochea kuni tu ........ hapa target ni Daud Bashite siyo Gwajima!!
Sasa ni nani, roboti?
futa hili kanisa,Magufuli
Pasco mayala katumia fursa hii kujipatia vicent toka kwa GSM na makonda ili awatetee lakini kasahau kuwa wana JF wengi siku hizi ni Wajanja wanajua kuwa kuna Timu ya majungu na uongo itaenda kwa makonda kuchukua pesa kisha wajidai kumtetea lakini moyoni wanajisuta.Mtu akipata zero(akizungusha),hua anapewa vyeti?,Ngwajima kasema anavyeti vya makonda alivyopata ziro
Anaefikiri kuwa yeye si kiumbe aseme na kisha atuambie yeye ni nani, kama ni jiwe tujue kwa maana vitu vyote hai na visivyokuwa hai ni viumbe kwa maana ya kuwa vyote vilivyoumbwa na mwenyezi Mungu hata shetani nae ni kiumbeSafari hii mliopewa hela mmsafishe Makonda mtaumbuka sana.
Gwajima huwa anapiga panapouma siku zote na aliyepigwa huwa haachi kuweweseka
Mkuu unamaanisha RC ni jiwe ? au ni mungu wa Dar? Ninavyojua mimi bidamu wote ni viumbe, tena haiHaiwezekani amuite Mkuu wa Mkoa kiumbe...ni kosa kubwa sana
Ni kiwewe tu! Nani alimpa utumishi wa MUNGU. Kila anayehubiri anajiita mtumishi wa Mungu. Kila mtu anataka aitwe mtumishi wa Mungu. yeye aseme ni mchungaji, muhubiri.Ni kweli utumishi wa Mungu ni zaidi ya Rais