Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Nchi hii ina watu wajinga sana. Mtu anapoongelea matokeo ya mitihani na akasema Nina cheti cha mtu Fulani ina maana nyingi sana.

Inawezekana ana result slip, inawezekana ana copy tu hata ya vyeti vya shule vya kumaliza form four. Inawezekana ana list ya matokeo ya wanafunzi husika.
Ili mchungaji aelewke kiurahisi katumia neno Nina vyetu vya wahusika. Hajasrma ana vyeti vya Necta. Huo ni msemo tu.
 
GWAJIMA muongo mnafiki mfinishaji na tabia mbaya zote zake hauwez kumuamini huyu mtu na kama adhabu yake achomwe moto adharani kama umemfuatilia zamani je unakumbuka kile ambacho alitaka kusema lakin mwaka wa ngapi yupo kimya?
Sasa wewe na Gwajima yupi kamzidi mwenzie kwa unafiki na uzandiki?
 
Hawa watu kumbe ni kabila moja na wanatoka kijiji kimoja? huko hakuna wazee wa kusuluhisha hii mambo? busara inahitajika zaidi.

Hakuna cha kusuluhisha. Kuna suala la kupata ukweli kama kuna mtu zamani aliitwa Daud Bashite...
 
Nchi hii ina watu wajinga sana. Mtu anapoongelea matokeo ya mitihani na akasema Nina cheti cha mtu Fulani ina maana nyingi sana.

Inawezekana ana result slip, inawezekana ana copy tu hata ya vyeti vya shule vya kumaliza form four. Inawezekana ana list ya matokeo ya wanafunzi husika.
Ili mchungaji aelewke kiurahisi katumia neno Nina vyetu vya wahusika. Hajasrma ana vyeti vya Nacte. Huo ni msemo tu.
NECTA
 
Pascal Mayalla,

Wapo marais wengi Rais wa TFF nae ni Rais wapo mpaka marais wa manzese akina madii, pasco naona GSM na makonda wamejisogeza karibu umepigwa mpunga kwa style ile ile ya Steven Nyerere, hii sinema bado mbichi sana, Tambueni kuwa kila mtu ni Rais akiwa kwenye anga zake hata ww pasco ni Rais wa familia yako.
 
Gwajima hajasema yeye ni zaidi ya rais ,kasema mtumishi wa Mungu aliye hai ni zaidi ya rais, cheo cha mtumishi wa Mungu ni zaidi rais which is true kabisa.
Naunga mkono hoja kwa 100% huyo pasco kaamua kujitoa fahamu kama Steven Nyerere njaa mbaya sana.
 
Kumbe wewe kilaza hata kumsikiliza vizuri Gwajima umeshindwa .
Kasikilize tena utajua jina Makonda limeingiaje hapo.
Zamani enzi za mkoloni tukimaliza shule tulikuwa tunapewa leaving certificate,
sasa si hicho nacho ni cheti,au siku hizi hamna leaving certificate?,

mi kinachonitia shaka huyu makonda atakuaje Daud Bashije wakati bashije sidhani kama ni jina la kisukuma?,
hapa kuna watu wataumbuka wakifanya mchezo,kama makonda ni DAUD ALBERT BASHIJE na alichukua cheti cha PAUL CHRISTIAN,then jina makonda lilitoka wapi?,

babake na huyu mkuu wa mkoa anaitwa ALBERT BASHIJE au anaitwa MAKONDA?,

So mimi kuamini hii hekaya mpaka nilipate jina la babake na huyu mkuu wa mkoa,vinginevyo hapa kuna usanii
 
Ni kweli huwezi kumfananisha mtumishi WA mungu aliye hai na uongozi WA kidunia, mtumishi WA mungu aliye hai Ni zaidi ya hao viongozi. Pili unapodai kuwa Ni kosa kumuita Daudi Bashite kwa neno " huyu kiumbe" ninakuwa na mashaka na elimu yako. Sidhani kama Kuna mtu ambaye hastahili kuitwa kiumbe, sisi sote tumeumbwa kwa mfano wa mungu na kama hii dunia Kuna mtu anaishi ambaye hajaumbwa " yaani yeye si kiumbe" basi mayala mtaje tumjue tokea leo. Binadamu yuko kundi la wanyama na katika viumbe hai. Kwa hiyo Mimi, wewe, wao na yeye sote Ni viumbe.
Hata hivyoo kuitwa KIUMBE si kudhalilishwa. ifahamike kwa wasiojielewa
cc: pascal mayalla
 
Kabla ya kuanza kumchambua huyo Nduguyo Msukuma mwenzio Mchungaji Gwajima naomba kwanza tuanze na Wewe kwa kukuuliza kwamba mbona siku hizi hueleweki halafu naona kama vile kuna Vitisho umevipata au Maslahi yako yameshaanza kuguswa kwani baada ya ujio wako ndani ya miezi miwili ya kuisema Serikali ya Awamu ya Tano ( 5 ) kuanzia Rais na Watendaji wake akiwemo Daud Albert Bashite ( sasa Paul Christian Makonda ) kwa wiki hizi mbili tatu naona na Wewe umeamua tena kubadili gia angani ghafla kwa kuanza kujikosha kama siyo kujipendekeza kama siyo kujikolombweza kwa Utawala ule ule uliokuwa na naamini bado unauchukia.

Najitahidi kukutofautisha Wewe na Steve Nyerere lakini ninashindwa sijui kwanini.
Mkuu pasco kwa sasa amevaa viatu vya Steven Nyerere njaa zao wamezipenyeza humo humo kwenye kufa kufaana.
 
Back
Top Bottom