Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Nilichogundua wewe umejitosa kumsemea makonda na magu kwani nimefuatilia mtiririko wa threads zako zote tokea Daudi Bashite aanze usanii na ukilaza wake zimekuwa kwenye mlengo huo. Unazungumzia juu juu pasipo ya kuangalia mkutadha wa mongezi ya Gwajima. Pale Gwajima alimaanisha nini hasa kuwa yeye kama askofu Ni zaidi ya rais?

1: Gwajima Ni zaidi ya rais kwa kuwa yeye aweza kufanya kazi ya uaskofu zaidi ya Tanzania. Lakini magufuli hawezi akawa rais nje ya Tanzania.

2: Gwajima Ni mlezi WA watu kiroho ambapo hata rais anahitaji msaada kutoka kwake na ndo maana viongozi akiwemo magufuli wanaenda kupata maombezi kutoka kwake.

3: Gwajima kwa yeye kuitegemea kazi ya utumishi wa mungu inamuweka Karibu na Mungu zaidi kuliko yeye kuwa mbunge, waziri ama rais kitu ambacho kinamuweka mbali na Mungu.

4: mbunge Ni kiongozi/ mwakirishi wa wananchi WA eneo la Jimbo lakini Gwajima kwa yeye kubakia kuwa askofu anakuwa WA kitaifa.

5: Huwezi kulinganisha kazi ya Mungu na ya kidunia ya Mungu itakuwa juu daima.

Baada ya maelezo hayo nakuomba ujitafakari kuwa umepotea au la jirudi kabla ya kuaibika na ukabila na uroho WA vipesa kidogo unavyoahidiwa na kina Daudi Bashite vitakuponza.

Mkuu nakuunga mkono [emoji817] % mchungaji na rais ni vitu viwili tofauti. Kwan magufuri humwomi akienda kwa wachungaji kumwombea?? Kama yeye yuko juu ya maaskofu kwa nini wasiende wao kupeleka shida zao? Yeye kanisan ndio sehem anaenda kulia. Padri nisaidie ni matatizo haya na haya!!
 
Mh, mkuu wa mkoa alianza yeye kutaja watu bila evidence kwa hiyo Gwajima anahaki kusema anachokiona dhidi ya mkuu kwa sababu kachokozwa waswahili wanamsemo akuanzae mmalize Mkuu hatopumzika atachafuka sana so gwajima tu hata wengine waliotajwa NA hawana ushahidi.
 
Aisee kumbe wengine mmesoma kw kukariri,kwani akiwa na result slip si ni cheti pia?

Nyinyi mnawajua watumishi wote wanaosali kwa gwajima je kama wamempelekea ushahidi huo wa kuprint hata kama ni document sio cheti?pascally wewe nina wasi wasi utakuwa ni mhanga kama daudi bashite.
Na wamekariri maana hata karatasi tunayoandikiwa majibu ya malaria tu inaitwa cheti
 
Nilichogundua wewe umejitosa kumsemea makonda na magu kwani nimefuatilia mtiririko wa threads zako zote tokea Daudi Bashite aanze usanii na ukilaza wake zimekuwa kwenye mlengo huo. Unazungumzia juu juu pasipo ya kuangalia mkutadha wa mongezi ya Gwajima. Pale Gwajima alimaanisha nini hasa kuwa yeye kama askofu Ni zaidi ya rais?

1: Gwajima Ni zaidi ya rais kwa kuwa yeye aweza kufanya kazi ya uaskofu zaidi ya Tanzania. Lakini magufuli hawezi akawa rais nje ya Tanzania.

2: Gwajima Ni mlezi WA watu kiroho ambapo hata rais anahitaji msaada kutoka kwake na ndo maana viongozi akiwemo magufuli wanaenda kupata maombezi kutoka kwake.

3: Gwajima kwa yeye kuitegemea kazi ya utumishi wa mungu inamuweka Karibu na Mungu zaidi kuliko yeye kuwa mbunge, waziri ama rais kitu ambacho kinamuweka mbali na Mungu.

4: mbunge Ni kiongozi/ mwakirishi wa wananchi WA eneo la Jimbo lakini Gwajima kwa yeye kubakia kuwa askofu anakuwa WA kitaifa.

5: Huwezi kulinganisha kazi ya Mungu na ya kidunia ya Mungu itakuwa juu daima.

Baada ya maelezo hayo nakuomba ujitafakari kuwa umepotea au la jirudi kabla ya kuaibika na ukabila na uroho WA vipesa kidogo unavyoahidiwa na kina Daudi Bashite vitakuponza.
Wewe hujamuelewa Pasco!!

Pasco anachochea kuni tu ........ hapa target ni Daud Bashite siyo Gwajima!!
 
Bavicha wamechanganyikiwa Sasa hivi gwajima yuko upande Wao yoyote ambaye anapingana na serikali basi Bavicha watamtetea Sana. Pascal Umeona mbali huyu jamaa sio kabisa Ana Dharau Sana na mimi nasema mwenyezi MUNGU afanye Sawasawa na mapenzi Yake. Binadamu wa dhaifu Sana
Je hizo dharau zinazidi za mweshimiwa mkuu na maneno yake aliyowaambia wana kagera?
 
Pascal ukisoma Biblia Zaburi 105:15 inasema Do not touch my anointed ones nor harm my prophets. ( Maana yake Msiwaguse masihi wangu wala msiwadguru nabii zangu). Unapomgusa mtumishi aliye na agano na Mungu kwa kumwita mwongo, ujue umejitafutia laana ya Mungu maana yeye anamjua mtumishi wake. Yule ana agano na Mungu na Mungu anamjua he we we una agano gani na Mungu? Pia kama siyovmtumishi was Mungu Gwajima asingekuwa na kibali kikubwa hivyo mbele za Mungu.Be careful with the servants of God.
 
Pascal Mayalla,

Paskali naona unatetea sana hii issue. Aise hiv cheti ni nin mkuu!? Ukiwa na result slip haisimami kama cheti cha matokeo.. Daaah we jamaa wewe. Hata Kumaliza utata kujua Mtumishi wa Mungu kadanganya ni kutoka mbele na matokeo basi tutajua alidanganya. Ila hizi porojo zako hazina mantiki. Focus mzee.
 
Ni jambo la kuhuzunisha mtu akijinadi ya kwamba yeye ni Mkristo lakini akasahau maandiko haya.

Matthew 7:1-5
7 ¹Judge not, that ye be not judged.

2 For with what judgment ye judge, ye shall be judged: and with what measure ye mete, it shall be measured to you again.

3 And why beholdest thou the mote that is in thy brother's eye, but considerest not the beam that is in thine own eye?

4 Or how wilt thou say to thy brother, Let me pull out the mote out of thine eye; and, behold, a beam is in thine own eye?

5 Thou hypocrite, first cast out the beam out of thine own eye; and then shalt thou see clearly to cast out the mote out of thy brother's eye.

Mleta mada umesahau kama vile mkristo mwenzio Makonda alivyo lisahau hili neno...
 
Nashukuru kwa kutufafanulia alichosema gwajima,, bila shaka wanaohusika watachukua hatua.. ubarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom