Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Mi nashangaa sana ili jambo
Na naona mh makonda yeye mwenyewe analikuza hili jambo
Na najiuliza kwa nini asitoke hadharani akalimaliza ili jambo?
Tunajadili mambo ya kijinga huku mambo ya msingi tukiyapuuzia
 
Aisee kumbe wengine mmesoma kw kukariri,kwani akiwa na result slip si ni cheti pia?

Nyinyi mnawajua watumishi wote wanaosali kwa gwajima je kama wamempelekea ushahidi huo wa kuprint hata kama ni document sio cheti?pascally wewe nina wasi wasi utakuwa ni mhanga kama daudi bashite.

Yaani we mkuu acha tu,huyu pascal mimi binafsi nilikuwa namkubali sana,lakini tokea aanze kumkingia kifua mr David siba hamu naye tenaa
 
Mkuu paschal mayala mabandiko yako hivi sasa inaonesha wazi kuwa ubongo wako umehamia kwenye tumbo. Unafikiria tumbo lako litashabaje. Sikubezi ila nimeanza kuona kama umeishiwa point kichwani mwako. Hebu tuambie hapo zamani 90's mfumo wa utoaji wa matokeo ulikjwaje?

Gwajima akileta hivyo vyeti tukupuuze ay tukudharau?
Ule ubora wake umeanza kufifia sana.
 
Pascal Mayalla,

Ndio ameshasema sasa utafanyaje.

Uzuri amesema anamsubiri Ndalichake[emoji83] na SIZONJE [emoji196] kama hawajafanya maamuzi ya ukweli basi atajitolea kumwaga mboga ili muule mkavu kama mtaweza.

DAUDI BASHITE ni tapeli na a najaribu kupitia kwa Makada wa Bakwata na Mchungaji wamuombee me sidhani kama hayo maombezi yatabalisha cheti kisomeke Makonda aslan abadan akubali tu kuminywaaaaa litoke [emoji87] [emoji108]
 
Pascal Mayalla,

Ni kweli huwezi kumfananisha mtumishi WA mungu aliye hai na uongozi WA kidunia, mtumishi WA mungu aliye hai Ni zaidi ya hao viongozi. Pili unapodai kuwa Ni kosa kumuita Daudi Bashite kwa neno " huyu kiumbe" ninakuwa na mashaka na elimu yako.

Sidhani kama Kuna mtu ambaye hastahili kuitwa kiumbe, sisi sote tumeumbwa kwa mfano wa mungu na kama hii dunia Kuna mtu anaishi ambaye hajaumbwa " yaani yeye si kiumbe" basi mayala mtaje tumjue tokea leo. Binadamu yuko kundi la wanyama na katika viumbe hai. Kwa hiyo Mimi, wewe, wao na yeye sote Ni viumbe.
 
Sijaelewa paschali ni kipi unatetea, kama suala la vyeti ni gumzo, kama makonda kweli anasingiziwa jambo hili kwanini kashindwa kuthibitisha kuwa wanamsingizia kwa kuleta ukweli wake?
 
Mtumishi wa Mungu ni mtu mwenye kumtumikia Mungu Kwa manufaa au malipo baada ya Kifo.

Kazi inayohitaji kujitoa Kwa dhati kwani malipo yake ni baadaye tofauti na Ubunge, Uwaziri na URAIS ambao wote malipo Yao hapa hapa duniani!

Pascal hii kazi ni ya kiroho zaidi na wachache wenye taqwa ya Hali ya juu wanaweza fanya ndio maana Mimi na wewe hatuwezi tumebaki kuwa waumini wa kawaida.
 
Back
Top Bottom