Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Pascal Mayalla,

Nilichogundua wewe umejitosa kumsemea makonda na magu kwani nimefuatilia mtiririko wa threads zako zote tokea Daudi Bashite aanze usanii na ukilaza wake zimekuwa kwenye mlengo huo. Unazungumzia juu juu pasipo ya kuangalia mkutadha wa mongezi ya Gwajima. Pale Gwajima alimaanisha nini hasa kuwa yeye kama askofu Ni zaidi ya rais?
1: Gwajima Ni zaidi ya rais kwa kuwa yeye aweza kufanya kazi ya uaskofu zaidi ya Tanzania. Lakini magufuli hawezi akawa rais nje ya Tanzania.

2: Gwajima Ni mlezi WA watu kiroho ambapo hata rais anahitaji msaada kutoka kwake na ndo maana viongozi akiwemo magufuli wanaenda kupata maombezi kutoka kwake.

3: Gwajima kwa yeye kuitegemea kazi ya utumishi wa mungu inamuweka Karibu na Mungu zaidi kuliko yeye kuwa mbunge, waziri ama rais kitu ambacho kinamuweka mbali na Mungu.

4: mbunge Ni kiongozi/ mwakirishi wa wananchi WA eneo la Jimbo lakini Gwajima kwa yeye kubakia kuwa askofu anakuwa WA kitaifa.

5: Huwezi kulinganisha kazi ya Mungu na ya kidunia ya Mungu itakuwa juu daima.
Baada ya maelezo hayo nakuomba ujitafakari kuwa umepotea au la jirudi kabla ya kuaibika na ukabila na uroho WA vipesa kidogo unavyoahidiwa na kina Daudi Bashite vitakuponza.
 
Mtumishi wa Mungu wa ukweli ni zaidi ya RAIS kwa maoni yangu Mimi . Kwa hapa duniani unaweza kusema RAIS Lkn kwa Sisi tunaoamini kuna maisha baada ya kufa basi kuwa karibu Na Mungu ( kufanya kazi ya kuwaongoza watu kumjua Mungu Na kumuabudu) ni bora kuliko utajiri au madaraka yoyote ya hapa duniani.

Kumwita binadamu kiumbe sijaona kosa lake Kwani Sisi sote ni viumbe wake Mungu.
Na mchungaji hajadanganya mpaka mtuhumiwa alete (makonda) alete ushahidi kuwa Si kweli alipata zero (sio kosa kupata zero Kama ilivyokuwa sio kosa kuwa mfupi) kosa ni kutumia vyeti vya mtu mwengine.

Cha kushangaza kweli mtu apate division 1 akasome Certificate ya uvuvi kama Si uoga wa kwenda kidato cha tano ? Aliona atagundulika kirahisi Na watu wanaojua alizungusha Kwahiyo akienda kufanya certificate hawatahoji sana Labda watasema Alirudia mtihani.
 
Kama ni kweli Gwajima ni mtumishi wa MUNGU basi haongozwi na roho anahubiri kwa kutumia mawazo yake. Inawezekana asemayo ni kweli lakini kwann aseme mbele ya watu maana yake anataka ahukumu,zaidi ya dakika 15 za hiyo clip hakuna hata neno la MUNGU alilohubiri zaidi ya story sina shaka anaweza kumaliza ibada nzima asihubiri kinachopaswa kuhubiriwa zaid ya kujivuna.
 
Mayalla, rais gani unaweza kumfananisha na mfalme suleman,rais gani unamfananisha na daud,petro,yohana,abel? Aliposema ni demotion hakukosea angalia petro alikuwa nani,daud alikuwa nani. Kutumia neno kiumbe hakukosea au sababu ni jamaa yako. Wanadamu wote ni viumbe. Mbona mnapenda kujitukuza sana?
Wote ni viumbe wa Mungu, sioni tatizo.
 
Mtumishi wa Mungu wa ukweli ni zaidi ya RAIS kwa maoni yangu Mimi . Kwa hapa duniani unaweza kusema RAIS Lkn kwa Sisi tunaoamini kuna maisha baada ya kufa basi kuwa karibu Na Mungu ( kufanya kazi ya kuwaongoza watu kumjua Mungu Na kumuabudu) ni bora kuliko utajiri au madaraka yoyote ya hapa duniani.

Kumwita binadamu kiumbe sijaona kosa lake Kwani Sisi sote ni viumbe wake Mungu.
Na mchungaji hajadanganya mpaka mtuhumiwa alete (makonda) alete ushahidi kuwa Si kweli alipata zero (sio kosa kupata zero Kama ilivyokuwa sio kosa kuwa mfupi) kosa ni kutumia vyeti vya mtu mwengine.

Cha kushangaza kweli mtu apate division 1 akasome Certificate ya uvuvi kama Si uoga wa kwenda kidato cha tano ? Aliona atagundulika kirahisi Na watu wanaojua alizungusha Kwahiyo akienda kufanya certificate hawatahoji sana Labda watasema Alirudia mtihani.
Nakuunga mkono
 
Mkuu paschal mayala mabandiko yako hivi sasa inaonesha wazi kuwa ubongo wako umehamia kwenye tumbo. Unafikiria tumbo lako litashabaje. Sikubezi ila nimeanza kuona kama umeishiwa point kichwani mwako. Hebu tuambie hapo zamani 90's mfumo wa utoaji wa matokeo ulikjwaje?

Gwajima akileta hivyo vyeti tukupuuze ay tukudharau?
 
Si dhani Kama Gwajima kafanya kosa lolote kwa kujiita kuwa yeye ni zaidi ya Rais wa nchi kwa kuwa hata Rais mwenyewe amesikika Mara kadhaa akiwaomba watumishi wa Mungu wa muombee iliaendelee kufanya vizuri kwa kuwa Rais mwenyewe ana tambua kuwa Kuna watu wanaomzidi ambao wanaweza wakamuombea akafanya kazi zaidi ya pale.
 
Safi sana gwajima! Tunataka viongozi wa dini kama nyie sio tunakua na viongozi wa dini waoga waoga wa kujipendekeza
 
Back
Top Bottom