bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,443
- 9,854
Tupe reference, imeandikwa kwenye kitabu gani?Ni rahisi sana muumini wa kawaida kuingia mbinguni kuliko mchungaji kuingia mbinguni. Trust me
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe reference, imeandikwa kwenye kitabu gani?Ni rahisi sana muumini wa kawaida kuingia mbinguni kuliko mchungaji kuingia mbinguni. Trust me
Nilichogundua wewe umejitosa kumsemea makonda na magu kwani nimefuatilia mtiririko wa threads zako zote tokea Daudi Bashite aanze usanii na ukilaza wake zimekuwa kwenye mlengo huo. Unazungumzia juu juu pasipo ya kuangalia mkutadha wa mongezi ya Gwajima. Pale Gwajima alimaanisha nini hasa kuwa yeye kama askofu Ni zaidi ya rais?
1: Gwajima Ni zaidi ya rais kwa kuwa yeye aweza kufanya kazi ya uaskofu zaidi ya Tanzania. Lakini magufuli hawezi akawa rais nje ya Tanzania.
2: Gwajima Ni mlezi WA watu kiroho ambapo hata rais anahitaji msaada kutoka kwake na ndo maana viongozi akiwemo magufuli wanaenda kupata maombezi kutoka kwake.
3: Gwajima kwa yeye kuitegemea kazi ya utumishi wa mungu inamuweka Karibu na Mungu zaidi kuliko yeye kuwa mbunge, waziri ama rais kitu ambacho kinamuweka mbali na Mungu.
4: mbunge Ni kiongozi/ mwakirishi wa wananchi WA eneo la Jimbo lakini Gwajima kwa yeye kubakia kuwa askofu anakuwa WA kitaifa.
5: Huwezi kulinganisha kazi ya Mungu na ya kidunia ya Mungu itakuwa juu daima.
Baada ya maelezo hayo nakuomba ujitafakari kuwa umepotea au la jirudi kabla ya kuaibika na ukabila na uroho WA vipesa kidogo unavyoahidiwa na kina Daudi Bashite vitakuponza.
Jaribu kumuelewa vizuri...nowdays soma threads zake Kwa jicho LA tatuYaani we mkuu acha tu,huyu pascal mimi binafsi nilikuwa namkubali sana,lakini tokea aanze kumkingia kifua mr David siba hamu naye tenaa
Kwahiyo wao.kuutaka uraisi ndio itafsiriwe kuwa kila mtu anautaka?Bora umesema ukweli uchungaji na ushee lakin kucha wanautaka uraisi
Na wamekariri maana hata karatasi tunayoandikiwa majibu ya malaria tu inaitwa chetiAisee kumbe wengine mmesoma kw kukariri,kwani akiwa na result slip si ni cheti pia?
Nyinyi mnawajua watumishi wote wanaosali kwa gwajima je kama wamempelekea ushahidi huo wa kuprint hata kama ni document sio cheti?pascally wewe nina wasi wasi utakuwa ni mhanga kama daudi bashite.
Wewe hujamuelewa Pasco!!Nilichogundua wewe umejitosa kumsemea makonda na magu kwani nimefuatilia mtiririko wa threads zako zote tokea Daudi Bashite aanze usanii na ukilaza wake zimekuwa kwenye mlengo huo. Unazungumzia juu juu pasipo ya kuangalia mkutadha wa mongezi ya Gwajima. Pale Gwajima alimaanisha nini hasa kuwa yeye kama askofu Ni zaidi ya rais?
1: Gwajima Ni zaidi ya rais kwa kuwa yeye aweza kufanya kazi ya uaskofu zaidi ya Tanzania. Lakini magufuli hawezi akawa rais nje ya Tanzania.
2: Gwajima Ni mlezi WA watu kiroho ambapo hata rais anahitaji msaada kutoka kwake na ndo maana viongozi akiwemo magufuli wanaenda kupata maombezi kutoka kwake.
3: Gwajima kwa yeye kuitegemea kazi ya utumishi wa mungu inamuweka Karibu na Mungu zaidi kuliko yeye kuwa mbunge, waziri ama rais kitu ambacho kinamuweka mbali na Mungu.
4: mbunge Ni kiongozi/ mwakirishi wa wananchi WA eneo la Jimbo lakini Gwajima kwa yeye kubakia kuwa askofu anakuwa WA kitaifa.
5: Huwezi kulinganisha kazi ya Mungu na ya kidunia ya Mungu itakuwa juu daima.
Baada ya maelezo hayo nakuomba ujitafakari kuwa umepotea au la jirudi kabla ya kuaibika na ukabila na uroho WA vipesa kidogo unavyoahidiwa na kina Daudi Bashite vitakuponza.
Je hizo dharau zinazidi za mweshimiwa mkuu na maneno yake aliyowaambia wana kagera?Bavicha wamechanganyikiwa Sasa hivi gwajima yuko upande Wao yoyote ambaye anapingana na serikali basi Bavicha watamtetea Sana. Pascal Umeona mbali huyu jamaa sio kabisa Ana Dharau Sana na mimi nasema mwenyezi MUNGU afanye Sawasawa na mapenzi Yake. Binadamu wa dhaifu Sana
Naweza kukubali maana tz kugushi ni kawaida tuBacj to the topic
VYETI
Inawezekana hujaelewa Pascal anataka kuleta ujumbe gani, hii inaitwa fasihi, only kwa wale wenye jicho la tatu.Paschal siku hizi anakera Sana, anatetea upande ule
Napinga kauli ya kusema utumishi wa mungu zaidi ya raisiKwahiyo wao.kuutaka uraisi ndio itafsiriwe kuwa kila mtu anautaka?
Pinga Kwa hoja...Napinga kauli ya kusema utumishi wa mungu zaidi ya raisi
Inaweza kuwa hata leaving certificate ya shule.....Hajasema ana matokeo, amesema ana vyeti mezani kwake, hivi kweli kuna cheti cha divisheni 0 ya miaka hiyo?.
Paskali