kumbe zaman ukipata zero wanakuzawadia na cheti?
Gwajima vimwage hadharani!
Anaweza kuwa anamaana hata ya cheti cha shule. Ukimaliza form 4, shule inakuzawadia cheti hata kabla hujapata matokeo ya form 4..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe zaman ukipata zero wanakuzawadia na cheti?
Gwajima vimwage hadharani!
Kuna watu wanapenda kuongoza na wengine wanapenda kutawala, kumbuka kazi ya Mungu ni karama.Haiwezekani amuite Mkuu wa Mkoa kiumbe...ni kosa kubwa sana
Sasa wewe na Gwajima yupi kamzidi mwenzie kwa unafiki na uzandiki?GWAJIMA muongo mnafiki mfinishaji na tabia mbaya zote zake hauwez kumuamini huyu mtu na kama adhabu yake achomwe moto adharani kama umemfuatilia zamani je unakumbuka kile ambacho alitaka kusema lakin mwaka wa ngapi yupo kimya?
Hawa watu kumbe ni kabila moja na wanatoka kijiji kimoja? huko hakuna wazee wa kusuluhisha hii mambo? busara inahitajika zaidi.
NECTANchi hii ina watu wajinga sana. Mtu anapoongelea matokeo ya mitihani na akasema Nina cheti cha mtu Fulani ina maana nyingi sana.
Inawezekana ana result slip, inawezekana ana copy tu hata ya vyeti vya shule vya kumaliza form four. Inawezekana ana list ya matokeo ya wanafunzi husika.
Ili mchungaji aelewke kiurahisi katumia neno Nina vyetu vya wahusika. Hajasrma ana vyeti vya Nacte. Huo ni msemo tu.
Kwahiyo ana copy au originalHajasema ana matokeo, amesema ana vyeti mezani kwake, hivi kweli kuna cheti cha divisheni 0 ya miaka hiyo?.
Paskali
Naunga mkono hoja kwa 100% huyo pasco kaamua kujitoa fahamu kama Steven Nyerere njaa mbaya sana.Gwajima hajasema yeye ni zaidi ya rais ,kasema mtumishi wa Mungu aliye hai ni zaidi ya rais, cheo cha mtumishi wa Mungu ni zaidi rais which is true kabisa.
Hapana ni aibu kubwa sana kugombana kabila moja na wote mnatoka sehemu moja, Rais angewaita wote na kuwasuluhisha. OverHakuna cha kusuluhisha. Kuna suala la kupata ukweli kama kuna mtu zamani aliitwa Daud Bashite...
Zamani enzi za mkoloni tukimaliza shule tulikuwa tunapewa leaving certificate,
sasa si hicho nacho ni cheti,au siku hizi hamna leaving certificate?,
mi kinachonitia shaka huyu makonda atakuaje Daud Bashije wakati bashije sidhani kama ni jina la kisukuma?,
hapa kuna watu wataumbuka wakifanya mchezo,kama makonda ni DAUD ALBERT BASHIJE na alichukua cheti cha PAUL CHRISTIAN,then jina makonda lilitoka wapi?,
babake na huyu mkuu wa mkoa anaitwa ALBERT BASHIJE au anaitwa MAKONDA?,
So mimi kuamini hii hekaya mpaka nilipate jina la babake na huyu mkuu wa mkoa,vinginevyo hapa kuna usanii
Gwajima angejiekeleza kuhuburi injili kuliko kuingia vita binafsi na wanasiasa.
Kiburi cha pesa kinazidi kumjaa gwajima...
Kumbuka Paschal naye ni binadamu anamadhaifu yake, tusimuhukumu jamani.Naunga mkono hoja kwa 100% huyo pasco kaamua kujitoa fahamu kama Steven Nyerere njaa mbaya sana.
Hata hivyoo kuitwa KIUMBE si kudhalilishwa. ifahamike kwa wasiojielewaNi kweli huwezi kumfananisha mtumishi WA mungu aliye hai na uongozi WA kidunia, mtumishi WA mungu aliye hai Ni zaidi ya hao viongozi. Pili unapodai kuwa Ni kosa kumuita Daudi Bashite kwa neno " huyu kiumbe" ninakuwa na mashaka na elimu yako. Sidhani kama Kuna mtu ambaye hastahili kuitwa kiumbe, sisi sote tumeumbwa kwa mfano wa mungu na kama hii dunia Kuna mtu anaishi ambaye hajaumbwa " yaani yeye si kiumbe" basi mayala mtaje tumjue tokea leo. Binadamu yuko kundi la wanyama na katika viumbe hai. Kwa hiyo Mimi, wewe, wao na yeye sote Ni viumbe.
Hapana ni aibu kubwa sana kugombana kabila moja na wote mnatoka sehemu moja, Rais angewaita wote na kuwasuluhisha. Over
Mkuu pasco kwa sasa amevaa viatu vya Steven Nyerere njaa zao wamezipenyeza humo humo kwenye kufa kufaana.Kabla ya kuanza kumchambua huyo Nduguyo Msukuma mwenzio Mchungaji Gwajima naomba kwanza tuanze na Wewe kwa kukuuliza kwamba mbona siku hizi hueleweki halafu naona kama vile kuna Vitisho umevipata au Maslahi yako yameshaanza kuguswa kwani baada ya ujio wako ndani ya miezi miwili ya kuisema Serikali ya Awamu ya Tano ( 5 ) kuanzia Rais na Watendaji wake akiwemo Daud Albert Bashite ( sasa Paul Christian Makonda ) kwa wiki hizi mbili tatu naona na Wewe umeamua tena kubadili gia angani ghafla kwa kuanza kujikosha kama siyo kujipendekeza kama siyo kujikolombweza kwa Utawala ule ule uliokuwa na naamini bado unauchukia.
Najitahidi kukutofautisha Wewe na Steve Nyerere lakini ninashindwa sijui kwanini.
Usuluhishi mzuri ni kumtumbua jipu Daud AlbertUmesema kweli Mkuu. Lakn sasa katika ugomvi wao, kimengia kitu chenye public interest.