Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,844
Leta reference ulikotoa haya manenoAnaefikiri kuwa yeye si kiumbe aseme na kisha atuambie yeye ni nani, kama ni jiwe tujue kwa maana vitu vyote hai na visivyokuwa hai ni viumbe kwa maana ya kuwa vyote vilivyoumbwa na mwenyezi Mungu hata shetani nae ni kiumbe
Ndiyo myaka ya nyuma hata zero walikuwa wanapata vyetiHajasema ana matokeo, amesema ana vyeti mezani kwake, hivi kweli kuna cheti cha divisheni 0 ya miaka hiyo?.
Paskali
Mzaz, nmemueleza huyo jamaa huwez kutenga siasa na maisha, siasa na dini.....ovaWanasiasa wanawachokonoa wachungaji kwenye TV unataka wao wakae kimya?
Mkuu wa mkoa hana mamlaka ya kufuta kanisa na hata likifutwa yy atafaidika na nini? akumbuke ni makonda alianza kumchokonoa Gwajma na sasa Gwajma kaamua kujihami iweje mtu kaamua kujihami wapige hesabu ya kufuta kanisa lake? ina maana walikuwa wanamtafutia sababu tu.Kwa nini sasa lifutwe???
Aliekwambia pascal kasoma ni nan mkuu? Hawa waandishi Si ndo wale form four failures.??Aisee kumbe wengine mmesoma kw kukariri,kwani akiwa na result slip si ni cheti pia?
Nyinyi mnawajua watumishi wote wanaosali kwa gwajima je kama wamempelekea ushahidi huo wa kuprint hata kama ni document sio cheti?pascally wewe nina wasi wasi utakuwa ni mhanga kama daudi bashite.
Ni rahisi sana muumini wa kawaida kuingia mbinguni kuliko mchungaji kuingia mbinguni. Trust me
Pasco mayala sasa anaongozwa na njaa kaamua kujitoa fahamu kama Steven Nyerere tu.Aliekwambia pascal kasoma ni nan mkuu? Hawa waandishi Si ndo wale form four failures.??
Hawa bure kabisa
Mkuu ukirudia kusoma thread ya Paschal ndiyo utaelewa anamaanisha nini! hata mimi mwanzoni niliingia chaka nikaanza kumtuhumu Paschal, siku hizi amebadilisha mashambulizi anatumia ndege zisizo na rubani, jamaa mjanja sana huyu.Kabla ya kuanza kumchambua huyo Nduguyo Msukuma mwenzio Mchungaji Gwajima naomba kwanza tuanze na Wewe kwa kukuuliza kwamba mbona siku hizi hueleweki halafu naona kama vile kuna Vitisho umevipata au Maslahi yako yameshaanza kuguswa kwani baada ya ujio wako ndani ya miezi miwili ya kuisema Serikali ya Awamu ya Tano ( 5 ) kuanzia Rais na Watendaji wake akiwemo Daud Albert Bashite ( sasa Paul Christian Makonda ) kwa wiki hizi mbili tatu naona na Wewe umeamua tena kubadili gia angani ghafla kwa kuanza kujikosha kama siyo kujipendekeza kama siyo kujikolombweza kwa Utawala ule ule uliokuwa na naamini bado unauchukia.
Najitahidi kukutofautisha Wewe na Steve Nyerere lakini ninashindwa sijui kwanini.
Unaumia sana Gwajima kuwa mhubiri? Umemuelewa anamaanisha nini anaposema yupo juu ya Rais?Ni kiwewe tu! Nani alimpa utumishi wa MUNGU. Kila anayehubiri anajiita mtumishi wa Mungu. Kila mtu anataka aitwe mtumishi wa Mungu. yeye aseme ni mchungaji, muhubiri.
Sasa naona nasema ni zaidi ya Rais. Hata Yesu alikataa kuambiwa ni zaidi ya Kaizari.
Rudia kusoma thread yake ndiyo utaelewa ameegemea upande gani?Pasco mayala sasa anaongozwa na njaa kaamua kujitoa fahamu kama Steven Nyerere tu.
Gwajma anajihami baada ya kuchokozwa na makonda, cha ajabu eti wapo watu wanabariki uchokozi wa makonda huku wakitaka Gwajma akae kiimya!Hivi mnamuabudu sana Makonda eeh? Aliropoka upuuzi na kwa Gwajima kamjibu upuuzi. Tatizo liko wapi hapo?
Acheni kumtetea huyu mjinga anaechafua watu
Mkuu Paskali,Swali ni jee huu ndio utendaji wa watu wa Mungu, kuwatakia wenzao mabaya?, kuwazushia uongo mchana kweupe tena madhabahuni kwenye mimbari ya Mungu?!. Huyu ni mchungaji wa Mungu au mungu. Hili la kudai anavyo vyeti vya Daudi Bashite na Paul Christian, Jee hii inaweza kuwa kweli?!. Nijuavyo mimi, mtu ulikuwa ukipata Div. 0 hupewi cheti chochote na NECTA zaidi ya Leaving Certificate, sasa hicho cheti cha Daudi Bashite alichonacho Mchungaji Gwajima, kimetoka wapi?. Gwajima kama mtu wa Mungu wa kweli, anaweza kweli kusema uwongo madhabahuni, jee huyu ni mchungaji wa kweli anayemtumikia Mungu, au ndio hawa wachungaji wanaomtumikia mungu?!.
Pasco anauma na kupuliza tunamjua vizuri lakini hii ya leo haina balance upande mkubwa anamtetea makonda.Rudia kusoma thread yake ndiyo utaelewa ameegemea upande gani?