Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Gwajima ni mhuni kam wahuni wengine

Gwajima ni dealer, kakoswa tu

Gwajima hana sura ya Yesu , kama wakristo mnamjua Yesu

Gwajima haishi maisha ya Yesu

Kavunja ndoa ya Mbasha anataka kumvunja nguvu mkuu wa mkoa !!
 
Gwajima ni mhuni kam wahuni wengine

Gwajima ni dealer, kakoswa tu

Gwajima hana sura ya Yesu , kama wakristo mnamjua Yesu

Gwajima haishi maisha ya Yesu

Kavunja ndoa ya Mbasha anataka kumvunja nguvu mkuu wa mkoa !!
Toa ushahidi kama alioutoa yeye
 
Ona ulivyochanganyikiwa kama makonda mpaka unahusisha watoto wako wakati umeambiwa una hoja za "kitoto"
Hoja iliyopo hapa ni kwamba Makonda katenda kosa la jinai kutumia vyeti visivyo vyake kwa kufanya udanganyifu na wizara zinazohusika kukaa kimya lakini wafanyakazi wengine wamefukuzwa kazi kwa tuhuma kama za Makonda na wengine wamekufa kwa BP ilihali yeye yupo na ni Mhanga na anaachwa, yeye ni nani?
Gwajima amekoleza wino tu kuwa usiwanyoshee watu fulani vidole ilihali wewe mwenyewe ni wa kufoji,na Gwajima kama mtuhumiwa alifikishwa sehemu husika na akafanyiwa uchunguzi na ndomana kaachiwa na sasa ni zamu ya Makonda kufanyiwa uchunguzi kama walifanya makosa kisha abebe msalaba wake na asikubebeshe Msalaba wewe "Mgalatia" ambae unaonekana una uchungu kuliko mzazi wake aliyemzaa
 
Ni kwel mtumishi wa mungu ni zaid ya vyeo vya kidunia yaani uraisi,waziri n.k kwa sisi wakristo huyo ni Mchungaji wa kondoo wa mungu anafanya kaz za mungu
 

[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Mayalla nakuheshimu kama mwandishi Bora tz, lkn kaa ukijua ww kama mwanataaluma ya uandishi hutakiwi kuonyesha bias ya Aina yoyote, ww ulitakiwa kuleta Habari na Sio kuleta Habari ya upendeleo wa upande mmoja, Sipo upande wa gwajima lakini ikatokea gwajima akaleta hivyo vyeti na kuviweka hadharan ww utakuja jukwaan kutuambia nn? Kimsingi ulichikiandika nilitegemea RC mwenyewe Ndio angekuja kuongea ulichokisema.
Kuhusu mtumishi wa Mungu kuwa zaidi ya rais hilo ni swala la kiiman zaid, yes anaweza akawa zaid ya rais ktk ulimwengu wa kiroho, pia kuhusu suala la utajir wake alishaongelea ana waumini zaid ya sabini elfu, kwa hesabu ndogo Kila muumin akitoa elfu moja Tyr ana mil sabin mbali na elim ya udaktar wa falsafa, nje ya nchi mhadhara wake mmoja wa lisaa moja ni zaid ya mil 4 za kitz sasa utahoji utajir wake ili iweje, ww unafikr akina Irene Uwoye na Nay wamitego ni wajinga wanavotangaza kuwa Wanataka kujenga makanisa,
Wake up my brother ungeleta Habari Pande zote ningekuelewa.
 
Mtumishi wa Mungu ni zaidi ya raisi ni kweli ila kuongea maneno hayo siku ya Ibaada mazabahuni si sawa pia kakosa neno samehe 7×70 na ukuu wa mkoa si taluma hata la saba aweza kama anahekima na kipawa cha kuongonza
Mkuu, mtumishi ni mtu mkubwa sana mbele ya waumini wa kanisa lake, ametajwa hadharani kujihusisha na madawa ya kulevya unategemea aingie kanisani na kuanza kuhubiri neno la mungu bila kuongelea tuhuma zake? Ataeleweka kweli?
 
Maneno mengi hayana maana
Nimepoteza mda wangu kusoma kisicho eleweka
 
inavyoonekana hata Daud angefanya kosa gani mkulu hawezi kumwadhibu ni bora afanye maamuzi ya kuwakutanisha Gwajma na makonda wayamalize
 
Mkuu, mtumishi ni mtu mkubwa sana mbele ya waumini wa kanisa lake, ametajwa hadharani kujihusisha na madawa ya kulevya unategemea aingie kanisani na kuanza kuhubiri neno la mungu bila kuongelea tuhuma zake? Ataeleweka kweli?
Gwajma anazo haki zote za kujisafisha kwa njia yeyote.
 
Yupo katika njia za ibilisi !
 
kwa mara ya kwanza nimevutiwa na mahubiri ya Gwajima
Kweli Gwajima ni zaidi ya Omo, ni kiboko kweli kweli tehe tehe tehe
Bashite kazi anayo
 
Ha..haa....Paskali bhana,hatari
Msimsome juu juu bali kati ya mistari ndio utaelewa ana maana gani
 
Haiwezekani amuite Mkuu wa Mkoa kiumbe...ni kosa kubwa sana
Nini Maana ya kiumbe. Mimi hapa ni kiumbe kama wewe pia ulivyo kiumbe. Neno Kiumbe kinatokana na kuumbwa, sote tumeumbwa na Mwenyezi Mungu na tu viumbe wake. Nani Makonda hasiwe kiumbe ila sisi tuwe viumbe?
 
Sasa mbona Lowassa na Maalim Seif wanaulilia sana urais? Kwa nini wasiwe wachungaji?
Kuwa mtumishi wa Mungu ina maana unafocus kwenye maisha ya baada ya dunia kupita sasa iweje uyapate yote ya dunia kma urais na ufalme adu uishie jehanamu ya moto wa milele????? Je mtumishi wa Mungu atakayefika mbinguni na rais atakayefika kuzimu nani bora???
Yanayoonekana ni ya muda tu ila yaliyo Ahera ni ya milele kwahyo alaaniwe yule anaewekeza nguvu zake kuupata urais wa kidunia huku akisahau mambo ya mbinguni

ingawa kwa mfano wako naamini pia wote hao kina maalim na lowasa bado wanamuamini mungu coz maalim ni kiongozi wa kiimani pia lowasa ameonekana na wachungaji mara nyingi kwa ajili ya maombi so mfano wako hauna tija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…