luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
ni kosa kubwa? Taja sheria inayozuiaHaiwezekani amuite Mkuu wa Mkoa kiumbe...ni kosa kubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kosa kubwa? Taja sheria inayozuiaHaiwezekani amuite Mkuu wa Mkoa kiumbe...ni kosa kubwa sana
Toa ushahidi kama alioutoa yeyeGwajima ni mhuni kam wahuni wengine
Gwajima ni dealer, kakoswa tu
Gwajima hana sura ya Yesu , kama wakristo mnamjua Yesu
Gwajima haishi maisha ya Yesu
Kavunja ndoa ya Mbasha anataka kumvunja nguvu mkuu wa mkoa !!
Ona ulivyochanganyikiwa kama makonda mpaka unahusisha watoto wako wakati umeambiwa una hoja za "kitoto"Hoja za kitoto! Naona umezaliwa kwenye familia ya watoto wa kiwango cha chini. Pole kama watoto wako wana hoja mbovu. Watoto wangu wako powa! Shida yako ni nini? Makonda aache mambo ya madawa? Makonda amuache Gwajima (mtumishi wa Mungu)? Makonda afukuzwe kazi?
Kila wakati fikiria usisubiri Gwajima afikiri kwa niaba yako. Makonda kwa nafasi yake alistahili kupambana na madawa ya kulevya. sasa huyo Mtumishi wa Mungu naye kazi yake ni kukamata vyeti feki? Shit!
Wanabodi,
Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje?.
Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Mchungaji Dr. Josephat Gwajima ni Nabii wa Kweli au Nabii wa Uongo?.
Hii ni thread ya swali kumhusu Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, Mchungaji, Dr. Josephat Gwajima, Jee ni Mtumishi wa Mungu wa Kweli?!, ni Nabii wa kweli au ndio wale manabii wa uonga aliowazungumza Bwana wetu Yesu Kristo?. Akiwa katika mimbari, madhabahuni, mbele ya Mungu na kondoo wake, badala ya kuihubiri Injili na neno la Mungu tuu, lenye kujenga upendo, amani na mshikamano miongoni mwa jamii, yeye anahubiri siasa kwenye nyumba ya ibada, tena mahubiri juu ya chuki dhidi ya binadamu mwingine hadi kumuita "kiumbe".Japo ni kweli Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda alimdhalilisha Mchungaji Gwajima kwa kumtaja kujihusisha na madawa ya kulevya, jee namna ambayo Mchungaji Gwajima, anavyomzungumzia Mkuu wetu wa Mkoa, ndivyo Bwana Yesu alivyofundisha namna ya kuwashughulikia wale walio tuudhi?.
Clip ya Mchungaji Gwajima Akihubiri Mambo ya Dunia Hii na Sii Mambo ya Mungu.
Baada ya Mashekhe wa Mkoa wa Dar es Salaam, kuridishwa na kazi nzuri iliyofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kuwaumbua kwa kuwataja wazi wazi, baadhi ya wabwia unga na wauza unga hadharani, hivyo wakaamua kumuombea dua maalum ya ulinzi, ili Mungu azidi kumlinda, Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda, ndipo Mchungaji Gwajima, amemuonea vivu kuwa dua zile zitazidi kumnyooshea mambo yake Makonda, yazidi kuwa mazuri na kumyookea, hivyo Yeye Gwajima,(mwenye utajiri wa ajabu ikiwemo Hammer, Helcopter, na kanisa kubwa), akaamua kumbomoa, na kumponda, na kumsingizia Makonda vitu vya uongo!.
Mahubiri ya Gwajima Kumhusu Makonda.
Katika mahubiri yake ya jana, kanisani kwake Ubungo Maji, Mchungaji Gwajima, amemuelezea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda kuwa ni mtu mhalifu wa makosa ya jinai ya fojari ya kuiba jina la mtu mwingine, na kosa la kughushi kwa vyeti vya mtu mwingine na kujipatia elimu kwa njia ya udanganyifu, na alikwenda mbali zaidi hadi kudai kuwa eti jina analotumia Paul Makonda, sii jina lake halisi, bali ni jina la wizi, jina la ku foji, na kueleza kuwa ni jina la mtu mwingine kabisa ambaye yupo!. Mchungaji Gwajima, alikwenda mbali zaidi kwa kulitaja jina halisi la Makonda ni Daudi Albert Bashite!.
Swali ninalojiuliza, huyu Mchungaji anawezaje kuusema uongo kama huu kwa waumini wake na hadi sasa hajachukuliwa hatua zozote za kisheria?!.
Jee ni Kweli Mkuu wetu wa Mkoa, Paul Makonda ni Mhalifu?.
Mkuu wa Mkoa, ni mteule wa rais, mtu huwezi kuteuliwa kushika wadhifa wowote na rais wa JMT, kwa sababu kwa kawaida, kabla mtu yoyote, hajateuliwa kushika madaraka yoyote, hufanyiwa vetting na vyombo husika, hadi kijijini kwake alikozaliwa, hivyo haiwezekani kabisa Mhe. Paul Christian Makonda, ambaye ndie Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es Salaam, akawa ni mhalifu aliyefoji vyeti, hadi yeye Gwajima akagundua na kutangaza kanisani kwake, wakati tuna vyombo vya uchunguzi na ulinzi na usalama ambavyo vilipaswa kulijua hili. Mchungaji Gwajima atakuwa ni muongo!. Kama kweli Paul Makonda ni majina bandia, na amefoji vyeti, saa hizi, asingekuwa bado ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, bali angepaswa kuwepo pale mahali wahalifu wengine wote wanapaswa wawepo!.
Mchungaji Gwajima Atamba Yeye ni Zaidi ya Mbunge, Zaidi ya Waziri, Zaidi ya Rais!.
Kwa vile Bwana wetu Yesu Kristu, ametufundisha, namna ya kuwatambua manabii wa uongo, ni kuwatambua kwa matendo yao, jee Yesu aliwahi kujitapa kuwa yeye ni zaidi ya yeyote?. Alipopelekwa kwa Pilato kwa kosa la kutaywa "Yesu Mnazareti Mfalme wa Mayahudi", licha ya Yesu kuwa ni Mfalme kweli, alinyamaza kimya, na alivyosisitizwa, akasema "wewe wasema", sasa iweje Mtumishi wa Mungu, Mchungaji akajiinua kuwa yeye ni zaidi ya rais wa nchi?, na kuwa kugombea urais kwake ni demotion!. Hivi kwa mtumishi wa Mungu wa kweli, anaweza kusema maneno kama haya madhabahuni kwa Mungu, au Mchungaji huyu, ni wale Manabii wa Uongo, Bwana wetu Yesu Kristu aliotuhusia?.
Msikilize Mchungaji Dr. Josephat Gwajima. Sikiliza Kwa sikio la roho, na sio sikio la mwili.
Mimi nimeisikiliza hii clip hii ya Mchungaji Gwajima, akimzungumzia Daudi Albert Bashite, A.K.A Paul Christian Makonda, akidai kuwa kilichomponza yeye Mchungaji Gwajima hadi kusingiziwa madawa ya kulevya, ni dhana kuwa anataka kugombea ubunge jimbo la Misungwi, kufuatia kutua kijijini Kolomije kwa Chopa, (Helcopter), hivyo Daudi Bashite, A.K.A Paul Makonda anajipanga kugombea jimbo hilo mwaka 2020!. Mchungaji Gwajima akajitapa Ubunge, Uwaziri hadi Urais kwa Mtumishi wa Mungu aliye hai ni demotion!. "Mtumishi wa Mungu ni zaidi ya Rais wa nchi!". Jee hii ni kweli?.
Daudi Albert Bashite, A.K.A Paul Christian Makonda "Kiumbe Huyu"
Akielezea kuhusu Daudi Albert Bashite, na yeye Mchungaji Gwajima, ni watu wa kabila moja na wametokea kijiji kimoja cha Kolomije. Daudi Bashite alisoma Shule Msingi ya Kolomije hadi darasa la tano, akahamia Shule ya Msingi ya Nyanza hadi akamaliza Darasa la 7, hakuchaguliwa. Akajiunga na Shule ya Sekondari Pamba, akiwa anakaa kwa mama Kamese (Gwajima ana simu yake) ambako alipata Divisheni 0, ndipo dada mmoja wa Kihaya kwa jina la Christina (Gwajima ana simu yake) akamuunganishia Daudi Albert Bashite, kwa mdogo wake, Paul Christian, hivyo Daudi Bashite akaanza kutumia cheti cha kaka yake Paul Christian ndipo akajiunga Nyegezi kusomea certificate ya uvuvi kwa jina la Paul Christian Makonda, kisha akajiunga Chuo cha Mbegani Bagamoyo kuchukua diploma ya uvuvi na kumalizia Chuo cha Ushirika kuchukua degree kwa majina ya kughushi ya Paul Christian. Huu jamani sio uongo huu?.
Katika kumuelezea Daudi Bashite, Mchungaji Gwajima amemuita "kiumbe huyu", hili sio neno zuri kwa kiongozi wa dini ya Mungu kweli, kumuita binadamu mwenzako kiumbe!.
Vyeti vya Daudi Albert Bashite na Paul Christian Makonda Mezani Kwa Gwajima.
Ila pia Mchungaji Gwajima amedai, anavyo vyeti vyote ofisini kwake tangu cha Daudi Albert Bashite alichopata Divisheni 0. hadi cheti cha Paul Christian alichounganishiwa na Christina!, na kudai kuwa ana mshitaki Makonda kwa Ndalichako na kwa Magufuli, na asipochukuliwa hatua zozote, yeye atashangaa sana na atavitoa vyeti hivyo hadharani, umma uvione. Hii naweza kuwa kweli?, huu sio uongo mwingine huu?!. Mtanisamehe, mimi ni Tomaso, na hapa namwita Mchungaji Gwajima ni muongo hadi atakapo vitoa vyeti hivi hadharani tuvione ndipo nitaamini!.
Jee Maneno na Matendo ya Mchungaji Gwajima ni Kama Yesu, ni ya KiMungu?.
Swali ni jee huu ndio utendaji wa watu wa Mungu, kuwatakia wenzao mabaya?, kuwazushia uongo mchana kweupe tena madhabahuni kwenye mimbari ya Mungu?!. Huyu ni mchungaji wa Mungu au mungu. Hili la kudai anavyo vyeti vya Daudi Bashite na Paul Christian, Jee hii inaweza kuwa kweli?!. Nijuavyo mimi, mtu ulikuwa ukipata Div. 0 hupewi cheti chochote na NECTA zaidi ya Leaving Certificate, sasa hicho cheti cha Daudi Bashite alichonacho Mchungaji Gwajima, kimetoka wapi?. Gwajima kama mtu wa Mungu wa kweli, anaweza kweli kusema uwongo madhabahuni, jee huyu ni mchungaji wa kweli anayemtumikia Mungu, au ndio hawa wachungaji wanaomtumikia mungu?!.
Jumatatu Njema.
Paskali
Binadamu ni kiumbe, tunaposema kiumbe hai hatujatenga kua digidigi na kicheche ndiyo wanastahili jina kiumbe.
Zamani hata mtu akifeli alipata cheti lakini hata result slip itaonesha matokeo pia, pengine ana result slip.
Imeandikwa kua 'Ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga' kama maisha yako unayaendesha kinafiki subiri ukutane na wanafiki wenzako.
urais ni utumishi wa wananchi ndio maana wananyimwa haki,wana ruhusu kondomu,wanatoa mimba,wanauana aya yote ni ya kaisariKwani urais sio utumishi wa Mungu?
Mkuu, mtumishi ni mtu mkubwa sana mbele ya waumini wa kanisa lake, ametajwa hadharani kujihusisha na madawa ya kulevya unategemea aingie kanisani na kuanza kuhubiri neno la mungu bila kuongelea tuhuma zake? Ataeleweka kweli?Mtumishi wa Mungu ni zaidi ya raisi ni kweli ila kuongea maneno hayo siku ya Ibaada mazabahuni si sawa pia kakosa neno samehe 7×70 na ukuu wa mkoa si taluma hata la saba aweza kama anahekima na kipawa cha kuongonza
Wanabodi,
Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje?.
Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Mchungaji Dr. Josephat Gwajima ni Nabii wa Kweli au Nabii wa Uongo?.
Hii ni thread ya swali kumhusu Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, Mchungaji, Dr. Josephat Gwajima, Jee ni Mtumishi wa Mungu wa Kweli?!, ni Nabii wa kweli au ndio wale manabii wa uonga aliowazungumza Bwana wetu Yesu Kristo?. Akiwa katika mimbari, madhabahuni, mbele ya Mungu na kondoo wake, badala ya kuihubiri Injili na neno la Mungu tuu, lenye kujenga upendo, amani na mshikamano miongoni mwa jamii, yeye anahubiri siasa kwenye nyumba ya ibada, tena mahubiri juu ya chuki dhidi ya binadamu mwingine hadi kumuita "kiumbe".Japo ni kweli Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda alimdhalilisha Mchungaji Gwajima kwa kumtaja kujihusisha na madawa ya kulevya, jee namna ambayo Mchungaji Gwajima, anavyomzungumzia Mkuu wetu wa Mkoa, ndivyo Bwana Yesu alivyofundisha namna ya kuwashughulikia wale walio tuudhi?.
Clip ya Mchungaji Gwajima Akihubiri Mambo ya Dunia Hii na Sii Mambo ya Mungu.
Baada ya Mashekhe wa Mkoa wa Dar es Salaam, kuridishwa na kazi nzuri iliyofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kuwaumbua kwa kuwataja wazi wazi, baadhi ya wabwia unga na wauza unga hadharani, hivyo wakaamua kumuombea dua maalum ya ulinzi, ili Mungu azidi kumlinda, Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda, ndipo Mchungaji Gwajima, amemuonea vivu kuwa dua zile zitazidi kumnyooshea mambo yake Makonda, yazidi kuwa mazuri na kumyookea, hivyo Yeye Gwajima,(mwenye utajiri wa ajabu ikiwemo Hammer, Helcopter, na kanisa kubwa), akaamua kumbomoa, na kumponda, na kumsingizia Makonda vitu vya uongo!.
Mahubiri ya Gwajima Kumhusu Makonda.
Katika mahubiri yake ya jana, kanisani kwake Ubungo Maji, Mchungaji Gwajima, amemuelezea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda kuwa ni mtu mhalifu wa makosa ya jinai ya fojari ya kuiba jina la mtu mwingine, na kosa la kughushi kwa vyeti vya mtu mwingine na kujipatia elimu kwa njia ya udanganyifu, na alikwenda mbali zaidi hadi kudai kuwa eti jina analotumia Paul Makonda, sii jina lake halisi, bali ni jina la wizi, jina la ku foji, na kueleza kuwa ni jina la mtu mwingine kabisa ambaye yupo!. Mchungaji Gwajima, alikwenda mbali zaidi kwa kulitaja jina halisi la Makonda ni Daudi Albert Bashite!.
Swali ninalojiuliza, huyu Mchungaji anawezaje kuusema uongo kama huu kwa waumini wake na hadi sasa hajachukuliwa hatua zozote za kisheria?!.
Jee ni Kweli Mkuu wetu wa Mkoa, Paul Makonda ni Mhalifu?.
Mkuu wa Mkoa, ni mteule wa rais, mtu huwezi kuteuliwa kushika wadhifa wowote na rais wa JMT, kwa sababu kwa kawaida, kabla mtu yoyote, hajateuliwa kushika madaraka yoyote, hufanyiwa vetting na vyombo husika, hadi kijijini kwake alikozaliwa, hivyo haiwezekani kabisa Mhe. Paul Christian Makonda, ambaye ndie Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es Salaam, akawa ni mhalifu aliyefoji vyeti, hadi yeye Gwajima akagundua na kutangaza kanisani kwake, wakati tuna vyombo vya uchunguzi na ulinzi na usalama ambavyo vilipaswa kulijua hili. Mchungaji Gwajima atakuwa ni muongo!. Kama kweli Paul Makonda ni majina bandia, na amefoji vyeti, saa hizi, asingekuwa bado ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, bali angepaswa kuwepo pale mahali wahalifu wengine wote wanapaswa wawepo!.
Kwa Magufuli ninayemfahamu mimi, kama hizi tuhuma kuhusu Makonda zingekuwa na ukweli wowote, saa hizi, zamani angeishatumbuliwa!. Kitendo cha Makonda anaendelea kudunda mpaka sasa, huu ni uthibitisho, tuhuma hizi ni uongo za kupikwa tuu na wabwia na wauza unga!.
Mchungaji Gwajima ni Zaidi ya Mbunge, Zaidi ya Waziri, Zaidi ya Rais?!.
Kwa vile Bwana wetu Yesu Kristu, ametufundisha, namna ya kuwatambua manabii wa uongo, ni kuwatambua kwa matendo yao, jee Yesu aliwahi kujitapa kuwa yeye ni zaidi ya yeyote?. Alipopelekwa kwa Pilato kwa kosa la kutaywa "Yesu Mnazareti Mfalme wa Mayahudi", licha ya Yesu kuwa ni Mfalme kweli, alinyamaza kimya, na alivyosisitizwa, akasema "wewe wasema", sasa iweje Mtumishi wa Mungu, Mchungaji akajiinua kuwa yeye ni zaidi ya rais wa nchi?, na kuwa kugombea urais kwake ni demotion!. Hivi kwa mtumishi wa Mungu wa kweli, anaweza kusema maneno kama haya madhabahuni kwa Mungu, au Mchungaji huyu, ni wale Manabii wa Uongo, Bwana wetu Yesu Kristu aliotuhusia?.
Msikilize Mchungaji Dr. Josephat Gwajima. Sikiliza Kwa sikio la roho, na sio sikio la mwili.
Mimi nimeisikiliza hii clip hii ya Mchungaji Gwajima, akimzungumzia Daudi Albert Bashite, A.K.A Paul Christian Makonda, akidai kuwa kilichomponza yeye Mchungaji Gwajima hadi kusingiziwa madawa ya kulevya, ni dhana kuwa anataka kugombea ubunge jimbo la Misungwi, kufuatia kutua kijijini Kolomije kwa Chopa, (Helcopter), hivyo Daudi Bashite, A.K.A Paul Makonda anajipanga kugombea jimbo hilo mwaka 2020!. Mchungaji Gwajima akajitapa Ubunge, Uwaziri hadi Urais kwa Mtumishi wa Mungu aliye hai ni demotion!. "Mtumishi wa Mungu ni zaidi ya Rais wa nchi!". Jee hii ni kweli?.
Daudi Albert Bashite, A.K.A Paul Christian Makonda "Kiumbe Huyu"
Akielezea kuhusu Daudi Albert Bashite, na yeye Mchungaji Gwajima, ni watu wa kabila moja na wametokea kijiji kimoja cha Kolomije. Daudi Bashite alisoma Shule Msingi ya Kolomije hadi darasa la tano, akahamia Shule ya Msingi ya Nyanza hadi akamaliza Darasa la 7, hakuchaguliwa, lakini akajiunga na Shule ya Sekondari Pamba ambayo ni ya serikali kwa jina jingine, akiwa anakaa kwa mama Kamese (Gwajima ana simu yake) ambako alipata Divisheni 0, ndipo dada mmoja wa Kihaya kwa jina la Christina (Gwajima ana simu yake) akamuunganishia Daudi Albert Bashite, kwa mdogo wake, Paul Christian, hivyo Daudi Bashite akaanza kutumia cheti cha kaka yake Paul Christian ndipo akajiunga Nyegezi kusomea certificate ya uvuvi kwa jina la Paul Christian Makonda, kisha akajiunga Chuo cha Mbegani Bagamoyo kuchukua diploma ya uvuvi na kumalizia Chuo cha Ushirika kuchukua degree kwa majina ya kughushi ya Paul Christian. Huu jamani sio uongo huu?.
Katika kumuelezea Daudi Bashite, Mchungaji Gwajima amemuita "kiumbe huyu", hili sio neno zuri kwa kiongozi wa dini ya Mungu kweli, kumuita binadamu mwenzako kiumbe!.
Vyeti vya Daudi Albert Bashite na Paul Christian Makonda Mezani Kwa Gwajima.
Ila pia Mchungaji Gwajima amedai, anavyo vyeti vyote ofisini kwake tangu cha Daudi Albert Bashite alichopata Divisheni 0. hadi cheti cha Paul Christian alichounganishiwa na Christina!, na kudai kuwa ana mshitaki Makonda kwa Ndalichako na kwa Magufuli, na asipochukuliwa hatua zozote, yeye atashangaa sana na atavitoa vyeti hivyo hadharani, umma uvione. Hii naweza kuwa kweli?, huu sio uongo mwingine huu?!. Mtanisamehe, mimi ni Tomaso, na hapa namwita Mchungaji Gwajima ni muongo hadi atakapo vitoa vyeti hivi hadharani tuvione ndipo nitaamini!.
Jee Maneno na Matendo ya Mchungaji Gwajima ni Kama Yesu, ni ya KiMungu?.
Swali ni jee huu ndio utendaji wa watu wa Mungu, kuwatakia wenzao mabaya?, kuwazushia uongo mchana kweupe tena madhabahuni kwenye mimbari ya Mungu?!. Huyu ni mchungaji wa Mungu au mungu. Hili la kudai anavyo vyeti vya Daudi Bashite na Paul Christian, Jee hii inaweza kuwa kweli?!. Nijuavyo mimi, mtu ulikuwa ukipata Div. 0 hupewi cheti chochote na NECTA zaidi ya Leaving Certificate, sasa hicho cheti cha Daudi Bashite alichonacho Mchungaji Gwajima, kimetoka wapi?. Gwajima kama mtu wa Mungu wa kweli, anaweza kweli kusema uwongo madhabahuni, jee huyu ni mchungaji wa kweli anayemtumikia Mungu, au ndio hawa wachungaji wanaomtumikia mungu?!.
Jumatatu Njema.
Paskali
inavyoonekana hata Daud angefanya kosa gani mkulu hawezi kumwadhibu ni bora afanye maamuzi ya kuwakutanisha Gwajma na makonda wayamalizeOna ulivyochanganyikiwa kama makonda mpaka unahusisha watoto wako wakati umeambiwa una hoja za "kitoto"
Hoja iliyopo hapa ni kwamba Makonda katenda kosa la jinai kutumia vyeti visivyo vyake kwa kufanya udanganyifu na wizara zinazohusika kukaa kimya lakini wafanyakazi wengine wamefukuzwa kazi kwa tuhuma kama za Makonda na wengine wamekufa kwa BP ilihali yeye yupo na ni Mhanga na anaachwa, yeye ni nani?
Gwajima amekoleza wino tu kuwa usiwanyoshee watu fulani vidole ilihali wewe mwenyewe ni wa kufoji,na Gwajima kama mtuhumiwa alifikishwa sehemu husika na akafanyiwa uchunguzi na ndomana kaachiwa na sasa ni zamu ya Makonda kufanyiwa uchunguzi kama walifanya makosa kisha abebe msalaba wake na asikubebeshe Msalaba wewe "Mgalatia" ambae unaonekana una uchungu kuliko mzazi wake aliyemzaa
Gwajma anazo haki zote za kujisafisha kwa njia yeyote.Mkuu, mtumishi ni mtu mkubwa sana mbele ya waumini wa kanisa lake, ametajwa hadharani kujihusisha na madawa ya kulevya unategemea aingie kanisani na kuanza kuhubiri neno la mungu bila kuongelea tuhuma zake? Ataeleweka kweli?
Acha maneno weka ukweli.Acha maneno ya uchochezi....
Wanabodi,
Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje?.
Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Mchungaji Dr. Josephat Gwajima ni Nabii wa Kweli au Nabii wa Uongo?.
Hii ni thread ya swali kumhusu Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, Mchungaji, Dr. Josephat Gwajima, Jee ni Mtumishi wa Mungu wa Kweli?!, ni Nabii wa kweli au ndio wale manabii wa uonga aliowazungumza Bwana wetu Yesu Kristo?. Akiwa katika mimbari, madhabahuni, mbele ya Mungu na kondoo wake, badala ya kuihubiri Injili na neno la Mungu tuu, lenye kujenga upendo, amani na mshikamano miongoni mwa jamii, yeye anahubiri siasa kwenye nyumba ya ibada, tena mahubiri juu ya chuki dhidi ya binadamu mwingine hadi kumuita "kiumbe".Japo ni kweli Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda alimdhalilisha Mchungaji Gwajima kwa kumtaja kujihusisha na madawa ya kulevya, jee namna ambayo Mchungaji Gwajima, anavyomzungumzia Mkuu wetu wa Mkoa, ndivyo Bwana Yesu alivyofundisha namna ya kuwashughulikia wale walio tuudhi?.
Clip ya Mchungaji Gwajima Akihubiri Mambo ya Dunia Hii na Sii Mambo ya Mungu.
Baada ya Mashekhe wa Mkoa wa Dar es Salaam, kuridishwa na kazi nzuri iliyofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kuwaumbua kwa kuwataja wazi wazi, baadhi ya wabwia unga na wauza unga hadharani, hivyo wakaamua kumuombea dua maalum ya ulinzi, ili Mungu azidi kumlinda, Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda, ndipo Mchungaji Gwajima, amemuonea vivu kuwa dua zile zitazidi kumnyooshea mambo yake Makonda, yazidi kuwa mazuri na kumyookea, hivyo Yeye Gwajima,(mwenye utajiri wa ajabu ikiwemo Hammer, Helcopter, na kanisa kubwa), akaamua kumbomoa, na kumponda, na kumsingizia Makonda vitu vya uongo!.
Mahubiri ya Gwajima Kumhusu Makonda.
Katika mahubiri yake ya jana, kanisani kwake Ubungo Maji, Mchungaji Gwajima, amemuelezea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda kuwa ni mtu mhalifu wa makosa ya jinai ya fojari ya kuiba jina la mtu mwingine, na kosa la kughushi kwa vyeti vya mtu mwingine na kujipatia elimu kwa njia ya udanganyifu, na alikwenda mbali zaidi hadi kudai kuwa eti jina analotumia Paul Makonda, sii jina lake halisi, bali ni jina la wizi, jina la ku foji, na kueleza kuwa ni jina la mtu mwingine kabisa ambaye yupo!. Mchungaji Gwajima, alikwenda mbali zaidi kwa kulitaja jina halisi la Makonda ni Daudi Albert Bashite!.
Swali ninalojiuliza, huyu Mchungaji anawezaje kuusema uongo kama huu kwa waumini wake na hadi sasa hajachukuliwa hatua zozote za kisheria?!.
Jee ni Kweli Mkuu wetu wa Mkoa, Paul Makonda ni Mhalifu?.
Mkuu wa Mkoa, ni mteule wa rais, mtu huwezi kuteuliwa kushika wadhifa wowote na rais wa JMT, kwa sababu kwa kawaida, kabla mtu yoyote, hajateuliwa kushika madaraka yoyote, hufanyiwa vetting na vyombo husika, hadi kijijini kwake alikozaliwa, hivyo haiwezekani kabisa Mhe. Paul Christian Makonda, ambaye ndie Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es Salaam, akawa ni mhalifu aliyefoji vyeti, hadi yeye Gwajima akagundua na kutangaza kanisani kwake, wakati tuna vyombo vya uchunguzi na ulinzi na usalama ambavyo vilipaswa kulijua hili. Mchungaji Gwajima atakuwa ni muongo!. Kama kweli Paul Makonda ni majina bandia, na amefoji vyeti, saa hizi, asingekuwa bado ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, bali angepaswa kuwepo pale mahali wahalifu wengine wote wanapaswa wawepo!.
Kwa Magufuli ninayemfahamu mimi, kama hizi tuhuma kuhusu Makonda zingekuwa na ukweli wowote, saa hizi, zamani angeishatumbuliwa!. Kitendo cha Makonda anaendelea kudunda mpaka sasa, huu ni uthibitisho, tuhuma hizi ni uongo za kupikwa tuu na wabwia na wauza unga!.
Mchungaji Gwajima ni Zaidi ya Mbunge, Zaidi ya Waziri, Zaidi ya Rais?!.
Kwa vile Bwana wetu Yesu Kristu, ametufundisha, namna ya kuwatambua manabii wa uongo, ni kuwatambua kwa matendo yao, jee Yesu aliwahi kujitapa kuwa yeye ni zaidi ya yeyote?. Alipopelekwa kwa Pilato kwa kosa la kutaywa "Yesu Mnazareti Mfalme wa Mayahudi", licha ya Yesu kuwa ni Mfalme kweli, alinyamaza kimya, na alivyosisitizwa, akasema "wewe wasema", sasa iweje Mtumishi wa Mungu, Mchungaji akajiinua kuwa yeye ni zaidi ya rais wa nchi?, na kuwa kugombea urais kwake ni demotion!. Hivi kwa mtumishi wa Mungu wa kweli, anaweza kusema maneno kama haya madhabahuni kwa Mungu, au Mchungaji huyu, ni wale Manabii wa Uongo, Bwana wetu Yesu Kristu aliotuhusia?.
Msikilize Mchungaji Dr. Josephat Gwajima. Sikiliza Kwa sikio la roho, na sio sikio la mwili.
Mimi nimeisikiliza hii clip hii ya Mchungaji Gwajima, akimzungumzia Daudi Albert Bashite, A.K.A Paul Christian Makonda, akidai kuwa kilichomponza yeye Mchungaji Gwajima hadi kusingiziwa madawa ya kulevya, ni dhana kuwa anataka kugombea ubunge jimbo la Misungwi, kufuatia kutua kijijini Kolomije kwa Chopa, (Helcopter), hivyo Daudi Bashite, A.K.A Paul Makonda anajipanga kugombea jimbo hilo mwaka 2020!. Mchungaji Gwajima akajitapa Ubunge, Uwaziri hadi Urais kwa Mtumishi wa Mungu aliye hai ni demotion!. "Mtumishi wa Mungu ni zaidi ya Rais wa nchi!". Jee hii ni kweli?.
Daudi Albert Bashite, A.K.A Paul Christian Makonda "Kiumbe Huyu"
Akielezea kuhusu Daudi Albert Bashite, na yeye Mchungaji Gwajima, ni watu wa kabila moja na wametokea kijiji kimoja cha Kolomije. Daudi Bashite alisoma Shule Msingi ya Kolomije hadi darasa la tano, akahamia Shule ya Msingi ya Nyanza hadi akamaliza Darasa la 7, hakuchaguliwa, lakini akajiunga na Shule ya Sekondari Pamba ambayo ni ya serikali kwa jina jingine, akiwa anakaa kwa mama Kamese (Gwajima ana simu yake) ambako alipata Divisheni 0, ndipo dada mmoja wa Kihaya kwa jina la Christina (Gwajima ana simu yake) akamuunganishia Daudi Albert Bashite, kwa mdogo wake, Paul Christian, hivyo Daudi Bashite akaanza kutumia cheti cha kaka yake Paul Christian ndipo akajiunga Nyegezi kusomea certificate ya uvuvi kwa jina la Paul Christian Makonda, kisha akajiunga Chuo cha Mbegani Bagamoyo kuchukua diploma ya uvuvi na kumalizia Chuo cha Ushirika kuchukua degree kwa majina ya kughushi ya Paul Christian. Huu jamani sio uongo huu?.
Katika kumuelezea Daudi Bashite, Mchungaji Gwajima amemuita "kiumbe huyu", hili sio neno zuri kwa kiongozi wa dini ya Mungu kweli, kumuita binadamu mwenzako kiumbe!.
Vyeti vya Daudi Albert Bashite na Paul Christian Makonda Mezani Kwa Gwajima.
Ila pia Mchungaji Gwajima amedai, anavyo vyeti vyote ofisini kwake tangu cha Daudi Albert Bashite alichopata Divisheni 0. hadi cheti cha Paul Christian alichounganishiwa na Christina!, na kudai kuwa ana mshitaki Makonda kwa Ndalichako na kwa Magufuli, na asipochukuliwa hatua zozote, yeye atashangaa sana na atavitoa vyeti hivyo hadharani, umma uvione. Hii naweza kuwa kweli?, huu sio uongo mwingine huu?!. Mtanisamehe, mimi ni Tomaso, na hapa namwita Mchungaji Gwajima ni muongo hadi atakapo vitoa vyeti hivi hadharani tuvione ndipo nitaamini!.
Jee Maneno na Matendo ya Mchungaji Gwajima ni Kama Yesu, ni ya KiMungu?.
Swali ni jee huu ndio utendaji wa watu wa Mungu, kuwatakia wenzao mabaya?, kuwazushia uongo mchana kweupe tena madhabahuni kwenye mimbari ya Mungu?!. Huyu ni mchungaji wa Mungu au mungu. Hili la kudai anavyo vyeti vya Daudi Bashite na Paul Christian, Jee hii inaweza kuwa kweli?!. Nijuavyo mimi, mtu ulikuwa ukipata Div. 0 hupewi cheti chochote na NECTA zaidi ya Leaving Certificate, sasa hicho cheti cha Daudi Bashite alichonacho Mchungaji Gwajima, kimetoka wapi?. Gwajima kama mtu wa Mungu wa kweli, anaweza kweli kusema uwongo madhabahuni, jee huyu ni mchungaji wa kweli anayemtumikia Mungu, au ndio hawa wachungaji wanaomtumikia mungu?!.
Jumatatu Njema.
Paskali
Nini Maana ya kiumbe. Mimi hapa ni kiumbe kama wewe pia ulivyo kiumbe. Neno Kiumbe kinatokana na kuumbwa, sote tumeumbwa na Mwenyezi Mungu na tu viumbe wake. Nani Makonda hasiwe kiumbe ila sisi tuwe viumbe?Haiwezekani amuite Mkuu wa Mkoa kiumbe...ni kosa kubwa sana
Haiwezekani amuite Mkuu wa Mkoa kiumbe...ni kosa kubwa sana
Kuwa mtumishi wa Mungu ina maana unafocus kwenye maisha ya baada ya dunia kupita sasa iweje uyapate yote ya dunia kma urais na ufalme adu uishie jehanamu ya moto wa milele????? Je mtumishi wa Mungu atakayefika mbinguni na rais atakayefika kuzimu nani bora???Sasa mbona Lowassa na Maalim Seif wanaulilia sana urais? Kwa nini wasiwe wachungaji?