Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Ngwajima wenda kasema uongo, kwa sababu anasema hakuchaguliwa kuingia shule za serikali huyo Daud Bashite na wakati huohuo anasema alijiunga na shule ya Pamba.
KWa kumbukumbu zangu mwaka 1997 pamba ilikuwa shule ya Serikali. Sasa hakuchaguliwa kujiunga na shule ya serikali vipi?
JE ka leo kamsemo kanaweza apply kwamba once a liar always liar? Hii stori ya Gwajima inahitaji uthibitisho zaidi.
 
Itakua pamba ya jioni, yale masomo ya watu wazima
 
Jamani huku tunakoelekea ni pabaya mno, kweli nyakati tulizopo ni za mwisho , nimesikitishwa na kitendo cha gwajima kugeuza kanisa kama kijiwe cha kurushiana maneno na watu wa mataifa, akae ajue kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu(kama anavyojiita) na makonda ni wa mataifa tu kama watu wengine, kitendo cha kumchafua kwa maneno ya kashfa sio tu anajishushia heshima Bali ni analichafua kanisa ,kama mtumishi wa Mungu hakupaswa kufanya vile, Mara mia angetumia sheria zaidi kuliko anachokifanya, gwajima hana hekima za kimungu, nina mashaka na cheo chake.

Huwezi kutumia madhabahu ya Mungu kutoa maneno machafu kwa watu wa kimataifa,akumbuke watu wamefuata Neno la Mungu,Neno la uzima ili wapone kiroho,unapitumia kanisa kuhubiri habari za mtu tena kiongozi wako kwa maneno machafu,hii dhambi itamtafuna gwajima na ni zaidi ya laana katika kanisa lake.

Gwajima anahitaji maombi,gwajima anaitaji hekima ya ki mungu zaidi ili apone,nawaonea sana huruma waumini wa gwajima wanaonekana kuwa vipofu,hawaoni wala kuambiwa kitu.Mungu amsaidie sana gwajima.
 
e6a03b8b2af891c9f9eca67dfb8a133f.jpg
 
Ndio yy ni zaid ya rais maana yy ni mtumish wa Mungu na mungu ni zaid rais ..kwanza wenye mamlaka ni wananchi na siyo rais
 
Itakua pamba ya jioni, yale masomo ya watu wazima

Sawa, Pamba ya watu wazima ngumbalu hawafukuzwi shule nafikiri maana hawako chini ya sheria yoyote. Sasa alifanya nini pamba mwanafunzi wa jioni akafukuzwa shule ya ngumbalu? Kuna maswali ktk hiyo hekaya ya Ngwajima, naamini.
 
1.Gwajima ni Mtumishi wa Mungu
(Japo ana madhaifu yake,lakini hayamwondolei sifa ya kuwa mtumishi wa Mungu)
2.Hata result slip nayo ni cheti pia,zaidi hata nakala ya matokeo nayo inaweza kuwa cheti.
3.Mtumishi wa Mungu ni zaidi ya Rais wa nchi.
 
Back
Top Bottom