miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Mungu WA kweli kwako ni Daudi na JPM tu !Ukweli Gwajima sidhani kama ni mtumishi wa Mungu wa kweli, labda kuna mungu mwigine anayemtumikia. Haingii akilini unatumia kanisa kueneza uongo
Kukaa kimya ni ushahidi wa kuthibitisha jambo?Mi mwenyewe nilikuwa namtazamo kama wako but nilivyoona kimya nikaanza kuamini kuwa alichozungumza gwajima dhidi ya elimu ya makonda ni kweli
Engekuwa kazushiwa ata magu anavyompenda mwanae angeingilia na mchungaji angejuta
Naamini hana kosa mpk mahakama itakapothibisha hivyo.ukiona hajakamatwa basi ujue hajafanya kosa lolote
Asipoweka itakuwaje?Sasa nani kamchafua mwenzie kati ya makonda na ngwajima hivi wewe unadhani tuhuma za kuuza madawa ya kulevya ni ndogo?
Unajua popularity ya ngwajima duniani ?unafananisha na ya makonda ? ngwajima asibitishe tuhuma za makonda kufoji vyeti na makonda asibitishe tuhuma za ngwajima kuuza au kutumia madawa ya kulevya.
msimtetee makonda kwa kigezo cha ukuu wa mkoa mwacheni yeye mwenyewe atoke aweke vyeti hadharani kwanza yeye sio wa kwanza kutuhumia iweje iwe ngumu kwake wenzie wote waweze
Awekwe ndani bila ushahidi?Mlifeli pale mlipomuita ngwajima central halafu mkawa hamna kidhibiti za kumuweka ndani?
Hapo zimekutoka fa fa fa fa fa wala hujaweka sababu kwanini akamatwe...!
Makonda awekwe ndani naye kwa kutumia jina la mtu kwenye vyeti...
Ngwajima ana vyeti yeye mwenzenu
Kasema ukweli kwa ushahidi upi?Freedom of press. Hajamchafua Bali kaongea ukweli. Kamata halafu uoneshwe nyaraka uone aibu na umlipe fidia.
Think twice
Sahihi kwa ushahidi gani?Gwajima ni ka "institution" flani hivi. Anajua analolifanya na analolinena. Bashite hawezi kumkamata kwa kuwa Gwajima aliongea vitu sahihi.
Mkuu vipi ?Salaam humu, nina hasira sana na Gwajima...
Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..
Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..
HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake la kishetani. I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh
Vyeti vionyeshwe wapi?Kumkamata sio suluhisho muhimu vyeti vionyeshwe mambo yaishe.Mbona yy alichafuliwa kuwa anajihusisha na madawa.Acheni kutetea upuuzi vilaza wa fa fa fa fa fa nyie