Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Hata kipindi cha Yesu, kulikuwepo na raia kama wewe walioona ni bora aachiwe Baraba aliyekuwa nyanganyi, ili Yesu afungwe vile alionekana na kuthubutu kuusema ufalme wa Herode.
 
Ukweli Gwajima sidhani kama ni mtumishi wa Mungu wa kweli, labda kuna mungu mwigine anayemtumikia. Haingii akilini unatumia kanisa kueneza uongo
Mungu WA kweli kwako ni Daudi na JPM tu !
 
Mi mwenyewe nilikuwa namtazamo kama wako but nilivyoona kimya nikaanza kuamini kuwa alichozungumza gwajima dhidi ya elimu ya makonda ni kweli

Engekuwa kazushiwa ata magu anavyompenda mwanae angeingilia na mchungaji angejuta
Kukaa kimya ni ushahidi wa kuthibitisha jambo?
 
Hivi mnaonaga ndani Ni kaburini, ndani Ni sehemu ya kawaida Tu, by the way mbona Makonda alipomchafua Gwajima hukusema awekwe ndani? Au Gwajima sio binadamu Makonda ndio binadamu?
 
Sasa nani kamchafua mwenzie kati ya makonda na ngwajima hivi wewe unadhani tuhuma za kuuza madawa ya kulevya ni ndogo?

Unajua popularity ya ngwajima duniani ?unafananisha na ya makonda ? ngwajima asibitishe tuhuma za makonda kufoji vyeti na makonda asibitishe tuhuma za ngwajima kuuza au kutumia madawa ya kulevya.

msimtetee makonda kwa kigezo cha ukuu wa mkoa mwacheni yeye mwenyewe atoke aweke vyeti hadharani kwanza yeye sio wa kwanza kutuhumia iweje iwe ngumu kwake wenzie wote waweze
Asipoweka itakuwaje?
 
Mlifeli pale mlipomuita ngwajima central halafu mkawa hamna kidhibiti za kumuweka ndani?


Hapo zimekutoka fa fa fa fa fa wala hujaweka sababu kwanini akamatwe...!

Makonda awekwe ndani naye kwa kutumia jina la mtu kwenye vyeti...

Ngwajima ana vyeti yeye mwenzenu
Awekwe ndani bila ushahidi?
 
hahahahahaha yeye alivyowachafua wengine alikuwa juu ya sheria ipi? dawa ni kumshtaki makonder ili hawa majamaa wanaodhalilisha watu akili ziwakae sawa

alitumia sheria gani kumdhalilisha huyu gwajima?
 
Salaam humu, nina hasira sana na Gwajima...

Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..

Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..

HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake la kishetani. I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh
Mkuu vipi ?
Gwajima ni kambi ya Lowasa na wewe mi kambi ya Lowasa
 
Kumkamata sio suluhisho muhimu vyeti vionyeshwe mambo yaishe.Mbona yy alichafuliwa kuwa anajihusisha na madawa.Acheni kutetea upuuzi vilaza wa fa fa fa fa fa nyie
Vyeti vionyeshwe wapi?
 
Watu wa lumumba hawana hoja kabisa,wao muda wote wanaendekeza upinzani wa kisiasa tu,jamani twendeni kwenye haki tu,ni sawa kutumia jina la mtu au vyeti vya mtu mwingine kwa swala lolote lile?? wanasheria nisaidieni kunifahamisha swala hili, pia ikumbukwe kuwa aliidanganya mahakama kuwa yeye anaitw paul makonda na si bashite ili kuhalalisha vile vyeti kuwa vyake kumbe ni uongo. Watu wa sheria tusaidieni kutoa ufafanuzi wa jambo hili,japokuwa yeye anasema issue ni ukuu wa mkoa hiyo siyo issue,tunataka uhalalai wa vyeti vyake jamani,je majina anayotumia ni ya kwake?? Acheni uvyama humu muje na hoja watu waelewe tu. Fikiria ungekuw wewe ndo umefanya hivyo ungekuwa wapi sasa hivi?? halafu mnaleta ushabiki wa kushabikia mtu anatumia vyeti visivyo vyake wakati yeye anajulikana kwa jina jingine tangu aanze shule ya msingi anafika vyuoni jina jingine,ni katika utafutaji sawa lakini fuata njia sahihi za utafutaji,waty wamekimbia kazi zao kwenye uhakiki issue ni hizihizi za kutumia vyeti ambavyo si vyao iweje wengine wawe na haki ya kutumia vyeti si vyao??????? Nawashaurini tuache uvyama tuangalie haki iko wapi kwenye hili swala wanasheria njooni na majibu sahihi
 
Back
Top Bottom