Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

  • Ni mchungaji feki, mfanyabiashara kupitia kanisa, huyu kalelewa vibaya, sasa ni wakati mwafaka kwa serikali kumtolea uvivu, haiwezekani mchungaji anakuwa vocal kiasi hiki kwa kiongozi wa serikali, noooo, nooo
Sasa naanza kukuelewa, kumbe tatizo ni utajiri wake. Kwahiyo mnatamani aishi kama shetani. Ujue siku RAIS anatamka hii kauli nilijiuliza mambo mengi sana.
Kwamba masikini wote tanzania hii ni sawa na mashetani?
Je ni vizuri raia wakaishi kama mashetani?

Gwajima anasema, Polisi walimuuliza hizi pesa zote umezitoa wapi? Una kumbukumbu alichowajibu?
 
Matokeo ya kufukua makaburi yataendelea kuonekana, kwa nn tusijenge mazuri mapya
 
Salaam humu, nina hasira sana na Gwajima...

Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..

Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..

HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake la kishetani. I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh

Haiwezekaniki mchungaji feki huyo kumchafua RC kiasi hiki, no way, no how, not acceptable, lazima lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali ikibidi kwa lazima, Who is Gwajima? Mandate ya kuchafua kiongozi wa serikali anapata wapi? I was offline for 2 weeks, namuona Gwajima anaachiwa kucheza hovyo, piga ndani huyu mhuni mkubwa, ww Gwajima ww, jua wazi hauko juu ya serikali, na serikali inakujua ww kuliko unavyojijua, acha ujinga mara moja.. Aaaarrghh
Bangi mbaya
 
Kosa lake kusema ukweli ndio amekuwa mchungaji feki?
 
Acha upumbavu the unawaza kwa kutumia makalio nn aweke vyeti alafu ndo Gwajima akamatwe
 
  • Ni mchungaji feki, mfanyabiashara kupitia kanisa, huyu kalelewa vibaya, sasa ni wakati mwafaka kwa serikali kumtolea uvivu, haiwezekani mchungaji anakuwa vocal kiasi hiki kwa kiongozi wa serikali, noooo, nooo
Utamtambuaje huyu Mchungaji ni original?
"Pombe" alipoenda kwa Lusekelo alikuwa anajua kwamba ni Mchungaji original.?
Je na kipindi Makonda anaenda na Mh. Sita (RIP) kwenye mimbari ya Kanisa la Ufufuo walikiwa hawajui kama Mchungaji wake ni fake?
 
IMG_20170303_095958_367.JPG
[emoji1]
 
Salaam humu, nina hasira sana na Gwajima...

Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..

Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..

HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake la kishetani. I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh

Haiwezekaniki mchungaji feki huyo kumchafua RC kiasi hiki, no way, no how, not acceptable, lazima lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali ikibidi kwa lazima, Who is Gwajima? Mandate ya kuchafua kiongozi wa serikali anapata wapi? I was offline for 2 weeks, namuona Gwajima anaachiwa kucheza hovyo, piga ndani huyu mhuni mkubwa, ww Gwajima ww, jua wazi hauko juu ya serikali, na serikali inakujua ww kuliko unavyojijua, acha ujinga mara moja.. Aaaarrghh
Una arrogance ya jamaa wa kijitonyama.

Hata kukamata hakuko juu ya sheria.
Kukamata kuna sheria zake,
Kukamata kuna kanuni zake,
Kukamata kuna taratibu zake.

Sasa wewe mwenzetu sijui umelewa kilevi gani, maana ingekuwa "pingu" uharo ungeshatiririka hadi miguuni!!! na kivazi (bukta) ulichotupia sijui utafungaje hiyo pensi.
 
Salaam humu, nina hasira sana na Gwajima...

Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..

Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..

HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake la kishetani. I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh

Haiwezekaniki mchungaji feki huyo kumchafua RC kiasi hiki, no way, no how, not acceptable, lazima lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali ikibidi kwa lazima, Who is Gwajima? Mandate ya kuchafua kiongozi wa serikali anapata wapi? I was offline for 2 weeks, namuona Gwajima anaachiwa kucheza hovyo, piga ndani huyu mhuni mkubwa, ww Gwajima ww, jua wazi hauko juu ya serikali, na serikali inakujua ww kuliko unavyojijua, acha ujinga mara moja.. Aaaarrghh
[emoji23] umeshachukua buku 7 yako au umekopwa?? Huu mchezo hautaki hasira
 
Nenda UDSM kaulizie; Hii ya Gwajima ni fake from the fake fakes! Kibaya zaidi ni mtu wa Mungu kuendelea kujiita DR. Wakati Taasisi iliyompa hiyo " Honorary PHD" Haitambuliki popote! Mamlaka zote za Afrika Kusini Haziitambui hiyo Taasisi Feki.
Unaweza kunisaidia link alipopublish andiko lake japo nilipitie. Maana nipo mbali sana na hicho chuo.
 
Salaam humu, nina hasira sana na Gwajima...

Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..

Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..

HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake la kishetani. I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh

Haiwezekaniki mchungaji feki huyo kumchafua RC kiasi hiki, no way, no how, not acceptable, lazima lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali ikibidi kwa lazima, Who is Gwajima? Mandate ya kuchafua kiongozi wa serikali anapata wapi? I was offline for 2 weeks, namuona Gwajima anaachiwa kucheza hovyo, piga ndani huyu mhuni mkubwa, ww Gwajima ww, jua wazi hauko juu ya serikali, na serikali inakujua ww kuliko unavyojijua, acha ujinga mara moja.. Aaaarrghh
Unajifurahisha mkuu. Ndio maana M/Mungu akaona kuwa akili yako ni hafifu ndio maana hujapewa hicho cheo.

Naomba vielelezo ulivyotumia kutofautisha kati ya;
1. Dini ya Mungu na dini ya shetani na wakati huo wewe ni binadamu usioelewa lolote
2. Mchungaji feki na Mchungaji halali
 
makonda athibitishe usahihi wa vyeti vyake, kuendelea kubaki na huu ukuu wa mkoa ni kwa sababu ya kubebwa tu na rais. kwa sasa alipaswa awepo keko kama sio ukonga....
 
hata dini imechangia unadhani angechafuliwa na shekh ungeskia udini na siasa ni vitu tofauti na pia angekuwa ashaswekwa korokoroni
 
Ha
Salaam humu, nina hasira sana na Gwajima...

Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..

Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..

HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake la kishetani. I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh

Haiwezekaniki mchungaji feki huyo kumchafua RC kiasi hiki, no way, no how, not acceptable, lazima lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali ikibidi kwa lazima, Who is Gwajima? Mandate ya kuchafua kiongozi wa serikali anapata wapi? I was offline for 2 weeks, namuona Gwajima anaachiwa kucheza hovyo, piga ndani huyu mhuni mkubwa, ww Gwajima ww, jua wazi hauko juu ya serikali, na serikali inakujua ww kuliko unavyojijua, acha ujinga mara moja.. Aaaarrghh
Hasira yako inatokana na nini hasa!! Kufichua ukweli na kuweka uthibitisho wazi ni kumchafua? Kujichafua kumchafua mwenyewe Bashite' kwa kufoji vyeti si vinginevyo' wengine waliwajibishwa! yey Bashite kwanini asiwajike mnamlilia kwa kujenga nni kwa taifa hili?wote waliokwisha ondolewa kzn kwa kufoji walundishwe' na sheria kuhusuana na vyeti vya kufoji zifutwe' ngoma ipelekwe kimagumashi magumashi kibashite zaidi.
 
According to you;
"Every Person has the potential to CHANGE the World". And so Gwajima, anaplay part yake katika hilo.
"It is very EASY to give examples, but it is very HARD to be an example". And so Makonda, aweke vyeti kukata utata huu ili tuweze kumuhukumu Gwajima kwa uongo. Awe mfano kwa wanaohakikiwa vyeti.

Otherwise, "if you wish culd be IGP, I wish culd be Moderator".
 
Back
Top Bottom