Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Mbona akati anawachafua wenzie kuhusu dawa za kulevya hukupayuka kama Makonda akamatwe ?. Acha na yeye yamchome moyoni
 
Salaam humu, nina hasira sana na Gwajima...

Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..

Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..

HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake la kishetani. I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh

Haiwezekaniki mchungaji feki huyo kumchafua RC kiasi hiki, no way, no how, not acceptable, lazima lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali ikibidi kwa lazima, Who is Gwajima? Mandate ya kuchafua kiongozi wa serikali anapata wapi? I was offline for 2 weeks, namuona Gwajima anaachiwa kucheza hovyo, piga ndani huyu mhuni mkubwa, ww Gwajima ww, jua wazi hauko juu ya serikali, na serikali inakujua ww kuliko unavyojijua, acha ujinga mara moja.. Aaaarrghh
Hilo linawezekana iwapo utamshawishi mkuu wa mkoa kuonyesha vyeti vyake halali

Inasikitisha kuona watu wengine wanamtetea mkuu wa mkoa juu ya hili swala la vyeti wakati tunajua fika hiki ni kipindi cha kuhakiki vyeti na watu wanatumia huo mwanya kuhakikisha kila mhusika na hilo swala anawajibishwa na ndo maana gwajima anamuandama mh.makonda na kwa picha rahisi inaonekana km ni kisasi kisa anayeshupalia hayo ni gwajima kwa sababu siku chache zilizopita mh.makonda aliwahi kumsweka ndani mchungaji huyo,kwanini hiyo dhoruba ya kuhakiki vyeti iwakumbe wengine na mkuu wa mkoa aachwe?au kile cheo kina kinga?

Km kweli kafoji vyeti awajibishwe tu wapewe wenye elimu zao halali,waliovumilia umande
Kwa serikali hii ilivyo gwajima angekuwa ndani kitambo km anachosema ni blah blah,lkn bado wanashindwa kumkamata kwa sababu ya ukweli uliopo ndani ya hili jambo
 
Mchungaji feki....wew ni nani hadi umuite mchungaji feki. Kama kaka ako anavyeti si atoe shida ipo wapi
 
Nadhani ilipaswa iwe kinyume chake: Kamata Makonda, Piga Ndani, Serikali Fanyeni hivyo haraka! Dawa ya kumnyamazisha Gwajima ni kwa Makonda kuletea vyeti basi, vinginevyo kelele zitaendelea na hata aukimkamata Gwajima, watajitokeza akina Gwajima wengine watataka kuujua ukweli. Na kama ujuavyo ukweli hauna tabia ya kujificha. Mtu wa kuuleta ukweli hapa ni Makonda, mshauri aumalize utata huu.
 
Salaam humu, nina hasira sana na Gwajima...

Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..

Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..

HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake la kishetani. I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh

Haiwezekaniki mchungaji feki huyo kumchafua RC kiasi hiki, no way, no how, not acceptable, lazima lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali ikibidi kwa lazima, Who is Gwajima? Mandate ya kuchafua kiongozi wa serikali anapata wapi? I was offline for 2 weeks, namuona Gwajima anaachiwa kucheza hovyo, piga ndani huyu mhuni mkubwa, ww Gwajima ww, jua wazi hauko juu ya serikali, na serikali inakujua ww kuliko unavyojijua, acha ujinga mara moja.. Aaaarrghh
Hilo linawezekana iwapo utamshawishi mkuu wa mkoa kuonyesha vyeti vyake halali

Inasikitisha kuona watu wengine wanamtetea mkuu wa mkoa juu ya hili swala la vyeti wakati tunajua fika hiki ni kipindi cha kuhakiki vyeti na watu wanatumia huo mwanya kuhakikisha kila mhusika na hilo swala anawajibishwa na ndo maana gwajima anamuandama mh.makonda na kwa picha rahisi inaonekana km ni kisasi kisa anayeshupalia hayo ni gwajima kwa sababu siku chache zilizopita mh.makonda aliwahi kumsweka ndani mchungaji huyo,kwanini hiyo dhoruba ya kuhakiki vyeti iwakumbe wengine na mkuu wa mkoa aachwe?au kile cheo kina kinga?

Km kweli kafoji vyeti awajibishwe tu wapewe wenye elimu zao halali,waliovumilia umande
Kwa serikali hii ilivyo gwajima angekuwa ndani kitambo km anachosema ni blah blah,lkn bado wanashindwa kumkamata kwa sababu ya ukweli uliopo ndani ya hili jambo
 
Gwajima ni kichwa kisicho na siri. Wakimkamata ndo watamtia hasira sana na ataweka wazi vyeti vya sufuri
 
Huyo Bashite aweke vyeti vyake hadharani ndiyo utajua anachafulia au laa.

Bashite hana jeuri hiyo kwasababu ni kweli amefoji vyeti.
 
Salaam humu, nina hasira sana na Gwajima...

Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..

Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..

HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake . I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh

Haiwezekaniki mchungaji feki huyo kumchafua RC kiasi hiki, no way, no how, not acceptable, lazima lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali ikibidi kwa lazima, Who is Gwajima? Mandate ya kuchafua kiongozi wa serikali anapata wapi? I was offline for 2 weeks, namuona Gwajima anaachiwa kucheza hovyo, piga ndani huyu mhuni mkubwa, ww Gwajima ww, jua wazi hauko juu ya serikali, na serikali inakujua ww kuliko unavyojijua, acha ujinga mara moja.. Aaaarrghh
Kweli nimeamini kina Bashite mko wengi hivi nawe unajiita the GT?
 
Aisee! hivi ni wewe jay one au naota?
 
Neno analo hubiri ndilo litakalo mfunga! Mwacheni Mwenye Enzi Mungu Mkuu afanye kazi yake!
 
Mumeyakoroga wenyewe na Makonda wenu kunyweni wenyewe.
 
Sasa nani kamchafua mwenzie kati ya makonda na ngwajima hivi wewe unadhani tuhuma za kuuza madawa ya kulevya ni ndogo?

Unajua popularity ya ngwajima duniani ?unafananisha na ya makonda ? ngwajima asibitishe tuhuma za makonda kufoji vyeti na makonda asibitishe tuhuma za ngwajima kuuza au kutumia madawa ya kulevya.

msimtetee makonda kwa kigezo cha ukuu wa mkoa mwacheni yeye mwenyewe atoke aweke vyeti hadharani kwanza yeye sio wa kwanza kutuhumia iweje iwe ngumu kwake wenzie wote waweze

Anapopularity gani duniani acheni blahblah .
 
Salaam humu, nina hasira sana na Gwajima...

Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..

Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..

HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake . I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh

Haiwezekaniki mchungaji feki huyo kumchafua RC kiasi hiki, no way, no how, not acceptable, lazima lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali ikibidi kwa lazima, Who is Gwajima? Mandate ya kuchafua kiongozi wa serikali anapata wapi? I was offline for 2 weeks, namuona Gwajima anaachiwa kucheza hovyo, piga ndani huyu mhuni mkubwa, ww Gwajima ww, jua wazi hauko juu ya serikali, na serikali inakujua ww kuliko unavyojijua, acha ujinga mara moja.. Aaaarrghh
Yaani umevifakamia viroba vinavyotupwa sasa unaanza kuhoroja mitandaoni
 
Tusigeuze ukuu wa mkoa kuwa kichaka cha kufichamia watu wasiokuwa na hadhi ya kuwepo pale,Mh.Rais alishasema hata awe nani kama anacheti fake basi na aondolewe wakae wenye hadhi ya kuwepo pale.Kunya anye kuku akinya bata kaharisha.Acheni unafiki wa Tanzania.Hichi ulichokitapika hapa ni unafiki uliopitiliza sisi tunataka atuthibitishie yeye ni nani.
 
Salaam humu, nina hasira sana na Gwajima...

Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..

Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..

HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake . I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh

Haiwezekaniki mchungaji feki huyo kumchafua RC kiasi hiki, no way, no how, not acceptable, lazima lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali ikibidi kwa lazima, Who is Gwajima? Mandate ya kuchafua kiongozi wa serikali anapata wapi? I was offline for 2 weeks, namuona Gwajima anaachiwa kucheza hovyo, piga ndani huyu mhuni mkubwa, ww Gwajima ww, jua wazi hauko juu ya serikali, na serikali inakujua ww kuliko unavyojijua, acha ujinga mara moja.. Aaaarrghh
Amemchafuaje?
Naona uzi mzima unajiapiza tu kuchafuliwa, tuambiwe umechafuliwaje!

(Na-assume wewe ndiye mchafuliwaji au ni mtu wake wa karibu)
 
Tatzo Gwajima nae anajisahau sana....Up to this moment ameishajiona kakaa juu ya IKULU....ni suala la MUDA.....maana this guy si MTUMISHI wa MUNGU KABSA......ana mengi machafu TU sema wakati mwingne busara ni jambo la MSINGI sana..na ndicho tunachikiona kwa sasa kupitia hii SERIKALI juu ya GWAJIMA

Kama vile Bashite alivyojiona yeye ni msafi kuliko wengine, MUDA wake ukafika. So unatusubirisha uchafu wa Gwajima.
Lakini wakati tunasubiri MUDA wa Gwajima ufike jiburudishe na neno hapo chini;

Yoh.8:7-9
“Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe. Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi. Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati. ”
 
Haya masuala vyeti mbona wengi tu yawezekana mtu ameapa mahakamani na kubadili jina na ana hati ya kiapo na mamlaka ya uteuzi imeridhika na elimu yake ndio maana iko kimya na sio lazima aonyeshe vyeti vyake hadharani.
Kama yeyote mwenye mashaka au anaushahidi afungue kesi mahakamani.
 
Chezea gwajima ww mtu wa mungu kashapiga maombi njozi ikaja vyeti vya bashite malaika wa bwana akamletea na vyeti vya makonda hahaha na serikari haitambui miujiza na gwajima vyeti anavyo bashite kimyaaa anashindwa aanzie wap dah hii ndo tz ya leo ukinichafua mii nakumwagia shombo
Hii muvi sjui sterling atakua nani me hadi mwisho nafatilia, siluki hata episode moja
 
Back
Top Bottom