Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Mleta uzi usisahau jumapili kuna wageni kutoka Call me J, aka koromije
 
Salaam humu, nina hasira sana na Gwajima...

Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..

Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..

HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake . I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh

Haiwezekaniki mchungaji feki huyo kumchafua RC kiasi hiki, no way, no how, not acceptable, lazima lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali ikibidi kwa lazima, Who is Gwajima? Mandate ya kuchafua kiongozi wa serikali anapata wapi? I was offline for 2 weeks, namuona Gwajima anaachiwa kucheza hovyo, piga ndani huyu mhuni mkubwa, ww Gwajima ww, jua wazi hauko juu ya serikali, na serikali inakujua ww kuliko unavyojijua, acha ujinga mara moja.. Aaaarrghh
Kwa hiyo kati ya member wote wa jamiiforum wewe ndiye unajiona kuwa na akili sana kuliko sisi? Ni wapi ilikoandikwa kuwa raia WA kawaida haruhusiwi kuhoji udanganyifu wa vyeti vya kiongozi.
 
Kwani huyo Uamsho ? Au Sheikh Ponda.....hayo hufanyika kwa waislam wanaharakati tu...ndio sisi tushazoea kufanywa kuku wa kizungu...
Maadam ni mkristo hakamatwi....na si ulimsikia akitamba kuwa kule shimoni alipo kuwepo selo mkristo alikua pekee walobaki ni Waislam na masheikh wa kiarabu
 
Nakumbuka Mr. and Mrs. Daudi wa kijiji cha Mtakuja namshangaa huyu mtu kuacha jina zuri la daudi aaee.
 
Yaani umevifakamia viroba vinavyotupwa sasa unaanza kuhoroja mitandaoni

[HASHTAG]#Mmawia[/HASHTAG] with very little reputation i hv for you, i reserve it for the very last moment, just...
 
Salaam humu, nina hasira sana na Gwajima...

Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..

Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..

HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake . I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh

Haiwezekaniki mchungaji feki huyo kumchafua RC kiasi hiki, no way, no how, not acceptable, lazima lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali ikibidi kwa lazima, Who is Gwajima? Mandate ya kuchafua kiongozi wa serikali anapata wapi? I was offline for 2 weeks, namuona Gwajima anaachiwa kucheza hovyo, piga ndani huyu mhuni mkubwa, ww Gwajima ww, jua wazi hauko juu ya serikali, na serikali inakujua ww kuliko unavyojijua, acha ujinga mara moja.. Aaaarrghh
gwajima ana dalili zote za matatizo ya akili kama vile mvuta bangi. anajiona ana utukufu na ukuu ambao hana. mtu kama huyo mwenye uwezo wa kuwabrain wash watu ili wategemee miujiza ni hatari. iko siku ataleta maafa kama hatua hazichukuliwi haraka. ukifuatilia kazi yake kama mtumishi wa kiroho utaona hamna kitu. zaidi ni ukuwadi wa kisiasa ukuwadi kwa mafisadi. kuhorojoka tu kujidai kujisifu na kuwadharau viongozi wa nchi. please please tuondosheeni gwajima. eti sasa anajiita bishop dr. gwajima. kikanisa chenyewe ni kama kampuni yake halafu anajipa tittles zenye kuheshimiwa na jamii. hivi hili tapeli mtatuondoshea lini.
 
Yaani umevifakamia viroba vinavyotupwa sasa unaanza kuhoroja mitandaoni

[HASHTAG]#Mmawia[/HASHTAG] with very little reputation i hv for you, i reserve it for the very last moment, just...
 
Haiwezekani wengine tumesoma kwa mateso, tunakesha usiku mpaka tunaloweka miguu kwenye ndoo za maji ili kutafuta Elimu afu mtu mwingine anapita kiujanjaunjanja kwa kutumia cheti cha mtu mwingine. This time hatutaki maneno tunataka vyeti mezani
 
Magu mwenyewe vyeti vyake nina wasi wasi
 
Bashite aonyeshe CV yakee tuu kuondoa utata
Na kuhusu Gwajima akamatwe kisa nn kila mtu ana uhuru wa kuexpress chochote kama akiona kuna something is wrong
 
As long as hajavunja sheriz yoyote hawezi kukamatwa...huo ni uhuru wa kujieleza na kutoa hisia.....ni haki kikatiba....kama kuna mtu anahisi yuko offended.....anaweza kumshtaki tu..na haki ikapatikana.....Uhuru wa kujieleza ni mzur sana....kama ilivyo kwenye uhuru wa kuandamana, kutoa maoni etc......
 
Enzi hizo Jamhuri Jazz (Tanga) waliimba "Anza wewe, mimi namaliza bora tusielewane vibaya".
 
Lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali vipi kuhusu viongozi wa dini wao hawastahili heshima
 
Kamata Bashite Weka ndani. hadi aonyeshe vyeti original
 
Salaam humu, nina hasira sana na Gwajima...

Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..

Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..

HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake . I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh

Haiwezekaniki mchungaji feki huyo kumchafua RC kiasi hiki, no way, no how, not acceptable, lazima lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali ikibidi kwa lazima, Who is Gwajima? Mandate ya kuchafua kiongozi wa serikali anapata wapi? I was offline for 2 weeks, namuona Gwajima anaachiwa kucheza hovyo, piga ndani huyu mhuni mkubwa, ww Gwajima ww, jua wazi hauko juu ya serikali, na serikali inakujua ww kuliko unavyojijua, acha ujinga mara moja.. Aaaarrghh
Hahaaaahaaaaa vijana wa Daudi kazi mnayo
 
Vyeti ndio vitaamua kama Gwajima akamatwe au la, wekeni vyeti halafu kamata Gwajima haraka sana.
 
Ukweli Gwajima sidhani kama ni mtumishi wa Mungu wa kweli, labda kuna mungu mwigine anayemtumikia. Haingii akilini unatumia kanisa kueneza uongo
Bashite akanushe. Wacha maneno onyesha vyeti
 
Ukweli Gwajima sidhani kama ni mtumishi wa Mungu wa kweli, labda kuna mungu mwigine anayemtumikia. Haingii akilini unatumia kanisa kueneza uongo
ukweli ni upi? mimi jumapili naenda kuabu
Tatzo Gwajima nae anajisahau sana....Up to this moment ameishajiona kakaa juu ya IKULU....ni suala la MUDA.....maana this guy si MTUMISHI wa MUNGU KABSA......ana mengi machafu TU sema wakati mwingne busara ni jambo la MSINGI sana..na ndicho tunachikiona kwa sasa kupitia hii SERIKALI juu ya GWAJIMA
ni mtumishi wa familia yake .....................
 
Back
Top Bottom