hakika utakufa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,789
- 822
Kumbe uongo kwa akili yako ya kitotoMi mwenyewe nilikuwa namtazamo kama wako but nilivyoona kimya nikaanza kuamini kuwa alichozungumza gwajima dhidi ya elimu ya makonda ni kweli
Engekuwa kazushiwa ata magu anavyompenda mwanae angeingilia na mchungaji angejuta
Hahaaaa,kaanzisha mwenyewe timbwili kwa kisebusebu chake.Jumapili ubungooooo,mzee anadownload material mapyaaaaaaaSalaam humu, nina hasira sana na Gwajima...
Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..
Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..
HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake la kishetani. I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh
Haiwezekaniki mchungaji feki huyo kumchafua RC kiasi hiki, no way, no how, not acceptable, lazima lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali ikibidi kwa lazima, Who is Gwajima? Mandate ya kuchafua kiongozi wa serikali anapata wapi? I was offline for 2 weeks, namuona Gwajima anaachiwa kucheza hovyo, piga ndani huyu mhuni mkubwa, ww Gwajima ww, jua wazi hauko juu ya serikali, na serikali inakujua ww kuliko unavyojijua, acha ujinga mara moja.. Aaaarrghh
Hata Ile ya "maganda ya korosho" andiko lake halijaonekana mpaka leo. Na bado tunamuita Dr.Ila sijui kwanini mnasahau PHD feki ya Gwajima! Aliyopewa Hotelini pale Ubungo Plaza?
Ile sio phd ya academic, ni honourable . Phd ya aina ile hupewa kama award kwa kufanya mambo fulani fulani ambayo ni msaada kwa jamii na sio kama unavyofikiri ya kuingia class.Ila sijui kwanini mnasahau PHD feki ya Gwajima! Aliyopewa Hotelini pale Ubungo Plaza?
Weka machafu yake... Usimnyooshee kidole mpakwa mafuta wa BwanaTatzo Gwajima nae anajisahau sana....Up to this moment ameishajiona kakaa juu ya IKULU....ni suala la MUDA.....maana this guy si MTUMISHI wa MUNGU KABSA......ana mengi machafu TU sema wakati mwingne busara ni jambo la MSINGI sana..na ndicho tunachikiona kwa sasa kupitia hii SERIKALI juu ya GWAJIMA
Ukweli Gwajima sidhani kama ni mtumishi wa Mungu wa kweli, labda kuna mungu mwigine anayemtumikia. Haingii akilini unatumia kanisa kueneza uongo
Uongo gani bidada ulioenezwa na mwananzengo Gwajei?Ukweli Gwajima sidhani kama ni mtumishi wa Mungu wa kweli, labda kuna mungu mwigine anayemtumikia. Haingii akilini unatumia kanisa kueneza uongo
mpaka sasa sijaona kosa la kufanya Gwajima akamatwe kwakweli maana kama vyeti au CV ya bwana Daudi kama inauongo mwenyewe aje atoe ufafanuz mbona jambo rahis sana hata Mh Zitto ashawah pewa hyo kwe Kampeni na akatoa vyeti vyake WHY DAUDI TOOK HIM SO LONG TO PROVE????????????Salaam humu, nina hasira sana na Gwajima...
Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..
Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..
HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake la kishetani. I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh
Haiwezekaniki mchungaji feki huyo kumchafua RC kiasi hiki, no way, no how, not acceptable, lazima lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali ikibidi kwa lazima, Who is Gwajima? Mandate ya kuchafua kiongozi wa serikali anapata wapi? I was offline for 2 weeks, namuona Gwajima anaachiwa kucheza hovyo, piga ndani huyu mhuni mkubwa, ww Gwajima ww, jua wazi hauko juu ya serikali, na serikali inakujua ww kuliko unavyojijua, acha ujinga mara moja.. Aaaarrghh
Thibitisha huo uongo wake acha porojoUkweli Gwajima sidhani kama ni mtumishi wa Mungu wa kweli, labda kuna mungu mwigine anayemtumikia. Haingii akilini unatumia kanisa kueneza uongo
Ubaya zaidi wa Huo ufeki ni kwamba hata chuo kilichompa hiyo feki ni feki!Ile sio phd ya academic, ni honourable ewe kilaza mbobezi. Phd ya aina ile hupewa kama award kwa kufanya mambo fulani fulani ambayo ni msaada kwa jamii na sio kama unavyofikiri ya kuingia class.
Sasa bashite alete vyeti
Gwajima ni muhimu sana kwa waislam na wakristo kuliko yule sheikh wako wa mkoa wa DSM....kwa taarifa yako ukimuona sheikh kawekwa ndani ujue huyo ni sheikh anaesupport democracy....hutosikia hata siku moja masheikh wa BAKWATA wamewekwa ndani coz karibia wote ni mali ya CCM.Wewe unafikiri angekuwa kadanganya wangemuacha, acha kutetea uozo ebu mwambie aliyeitwa Bashite athibitishe kuwa amesingiziwa
Angekuwa sheikh huyo sa hizi yupo selo na tumeshamsahau
Machafu yapi..... Pale alisema historia ya Makonda na hajasema neno la uongo kama ni fa fa fa fa fa fa fa fa kwel c alipata, sasa Gwajima kakosea wap tuache ushabiki wa kitotoTatzo Gwajima nae anajisahau sana....Up to this moment ameishajiona kakaa juu ya IKULU....ni suala la MUDA.....maana this guy si MTUMISHI wa MUNGU KABSA......ana mengi machafu TU sema wakati mwingne busara ni jambo la MSINGI sana..na ndicho tunachikiona kwa sasa kupitia hii SERIKALI juu ya GWAJIMA
Nenda UDSM kaulizie; Hii ya Gwajima ni fake from the fake fakes! Kibaya zaidi ni mtu wa Mungu kuendelea kujiita DR. Wakati Taasisi iliyompa hiyo " Honorary PHD" Haitambuliki popote! Mamlaka zote za Afrika Kusini Haziitambui hiyo Taasisi Feki.Hata Ile ya "maganda ya korosho" andiko lake halijaonekana mpaka leo. Na bado tunamuita Dr.