Kabla haijapambana naye, wambambie mtuhumiwa atoe vyeti vyake halisi vyenye majina yake wakati anazaliwa.Gwajima mpuuzi sana, naamini serikali imesikia, na itambana mapvmbv jinga hili
Mkuu umeona jina Gwajima ktk andiko langu? Rudia kusoma then urudie kuandika piaDini ya kishetani ya Gwajima? He is fake pastor, and he earns monies thru uchawi tu, jizi sana hili, this time on, lazima ajute mhuni huyu, kavunja ndoa ya Emanuel Mbasha na Flora Mbasha, sbb alikuwa mchungaji feki huyu ana fanya ngono, huyu akajidai atamfufua Amina Chifupa, jizi sana hili...
Ni kumfungia kanisa feki akome kabisa.. aaaarrghh
R RTT RTT rddee rdrryyredrrrrreddreeteerterNani kakwambia sio ya Kikristo hata Yesu alipowatuma wanafunzi kwenye miji aliwaambia mkifika mji usio wakaribisha kung'uteni mavumbi yenu, sasa wewe unataka gwajima anyamaze achafuliwe, Gwajima naye ni binadamu, sio Yesu au Mungu maana ana feel pain, pia Gwajima ka mtumishi kasema ukweli wa udaganyifu wa Bashite.
Mwambieni kwanza gwajima akamwombe maamaha Mbasha kwa kuvunja ndoa yakeWakuu, ili kujua kama gwajimaaa ni nabii wa uwongo, mwambieni mheshimiwa RC atuonyeshe vyeti vyake original.
Kama vyeti vipo, basi gwajimaaa atakuwa nabii wa uwongo kabisaaa. Kinyume na hapo mhe. RC akombe msamaha kwa gwajimaa maana alisema chungu kinaendelea kupata moto.
Fita ni fita mura
Tukikutuhumu wewe ni mwizi, sisi tuliokutuhumu ndio tunatakiwa kuthibitisha wewe ni mwizi, la sivyo tumekuchafulia jina.Kabla haijapambana naye, wambambie mtuhumiwa atoe vyeti vyake halisi vyenye majina yake wakati anazaliwa.
Kama Mheshimiwa Edward Lowasa alivyokaa kimya?Ndugu Paskali dawa ya uwongo ni kusema ukweli ukiambatana na vielelezo maridhawa ili uwongo ujitenge. La msingi hapa ni kumshauri anayesingiziwa kufoge vyeti kutueleza form I - IV alisoma wapi kwa jina gani na alikuwa na akina nani darasani. Kukaa kimya mara nyingi ni kukosa majibu yenye mashiko. Kama ni mkristo wa kweli anweza hata akaweka cheti cha ubatizo au kipa imara katika kupinga uongo unaozagaa kwa kasi. Sasa taabu iko wapi katka kudhihirisha hili??????
Wewe Pasco ni mpagani na haujui Biblia wala huna Haki kuitangaza sheria ya BWANA kama ilivyoandikwaWanabodi,
Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje?.
Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Mchungaji Dr. Josephat Gwajima ni Nabii wa Kweli au Nabii wa Uongo?.
Hii ni thread ya swali kumhusu Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, Mchungaji, Dr. Josephat Gwajima, Jee ni Mtumishi wa Mungu wa Kweli?!, ni Nabii wa kweli au ndio wale manabii wa uongo aliowazungumza Bwana wetu Yesu Kristo?.
Akiwa katika mimbari, madhabahuni, mbele ya Mungu na wana kondoo wake, badala ya kuihubiri Injili na neno la Mungu lenye uzima na lenye kujenga upendo, amani na mshikamano miongoni mwa jamii, yeye anahubiri siasa kwenye nyumba ya ibada, tena mahubiri juu ya chuki dhidi ya binadamu mwingine hadi kumuita "huyu kiumbe"!.
Japo ni kweli Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda alimdhalilisha Mchungaji Gwajima kwa kumtaja kujihusisha na madawa ya kulevya, jee namna ambayo Mchungaji Gwajima, anavyomzungumzia Mkuu wetu wa Mkoa, ndivyo Bwana Yesu alivyofundisha namna ya kuwashughulikia wale walio tukosea?. Yesu alifundisha mtu akikupiga kibao shavu la kushoto mgeuzie na la kuume. Adui mpende. Samehe saba mara sabini. Vipi kuhusu Baba Mchungaji Gwajima kumuishi Bwana Yesu kwa maneno na matendo? .
Jee Maneno na Matendo ya Mchungaji Gwajima ni Kama Yesu, ni ya KiMungu?.
Swali ni jee huu ndio utendaji wa watu wa Mungu, kuwatakia wenzao mabaya?, kuwazushia uongo mchana kweupe tena madhabahuni kwenye mimbari ya Mungu?!. Yesu alitufundisha, "tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari, na tumpe Mungu yaliyo ya KiMungu, kwanini Mchungaji Gwajima, analeta ya Kaisari mezani kwa Bwana?!. Jee huyu Mchungaji Gwajima, ni mchungaji wa Mungu au ni wa mungu?. Mchungaji Gwajima kama mtu wa Mungu wa kweli, anaweza kweli kusema uwongo kama ule madhabahuni kwa Bwana?!. Jee huyu ni mchungaji wa kweli anayemtumikia Mungu wa kweli, au ndio wale wachungaji aliyewasema Bwana wetu Yesu Kristo kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Bwana Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Jee kwa matendo kama haya, kuna kitu chochote cha kutambua?.
Mchungaji Gwajima ni Nabii wa Mungu, au nabii wa mungu?.
Japo nimewahi kushiriki Ibada kwa Mchungaji Gwajima, naomba mimi nisiseme kitu bali msikilize mmoja wa waumini wake ambaye pia ni mwanachama mwenzetu hapa jf.
Kwa ushuhuda huu mtaona tuhuma unga kwa Mchungaji hazikutolewa na Makonda kwa wivu wa helicopter au vita vya Jimbo bali Makonda alipewa majina na akayaanika.
Paskali
Jumatatu Njema.
Paskali
Sifa kuu ya nabii ya uongo ni kusema uongo au kinyume na Kweli ya maandiko ya Biblia.Wanabodi,

Wewe Pasco mayalla kweli box tupu, hizo biblia uwa mnasoma nusu nusu, Yesu alimuita herode mbweha, Elia aliwachinja manabii wa bahari, Yesu alimwaga vitu vya mafarisayo sokoni, sio kila kitu unasamehe, utajikuta unasamehe shetani aliyevaa umbo la mwanadamuWanabodi,

Nipe maana ya kiumbeHaiwezekani amuite Mkuu wa Mkoa kiumbe...ni kosa kubwa sana
Pamoja na urahisi huo bado hautaingiaNi rahisi sana muumini wa kawaida kuingia mbinguni kuliko mchungaji kuingia mbinguni. Trust me
Ni msumbufu!Daudi Bashite
Ni ile ya Mfalme Herode kuitwa kiumbe kwa kuwa ana sifa za mbweha siyo mbuzi tu kama wapagani wengineNipe maana ya kiumbe
Nipe maana ya kiumbe
aaaaaah Vin Diesel ni kweli yeye ni kiumbe, wewe ni kiumbe na wengine wote hapa viumbe, sasa kama sio kiumbe ni nani?Haiwezekani amuite Mkuu wa Mkoa kiumbe...ni kosa kubwa sana