Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Gwajima mpuuzi sana, naamini serikali imesikia, na itambana mapvmbv jinga hili
Kabla haijapambana naye, wambambie mtuhumiwa atoe vyeti vyake halisi vyenye majina yake wakati anazaliwa.
 
Wakuu, ili kujua kama gwajimaaa ni nabii wa uwongo, mwambieni mheshimiwa RC atuonyeshe vyeti vyake original.

Kama vyeti vipo, basi gwajimaaa atakuwa nabii wa uwongo kabisaaa. Kinyume na hapo mhe. RC akombe msamaha kwa gwajimaa maana alisema chungu kinaendelea kupata moto.

Fita ni fita mura
 
Dini ya kishetani ya Gwajima? He is fake pastor, and he earns monies thru uchawi tu, jizi sana hili, this time on, lazima ajute mhuni huyu, kavunja ndoa ya Emanuel Mbasha na Flora Mbasha, sbb alikuwa mchungaji feki huyu ana fanya ngono, huyu akajidai atamfufua Amina Chifupa, jizi sana hili...

Ni kumfungia kanisa feki akome kabisa.. aaaarrghh
Mkuu umeona jina Gwajima ktk andiko langu? Rudia kusoma then urudie kuandika pia
 
Nani kakwambia sio ya Kikristo hata Yesu alipowatuma wanafunzi kwenye miji aliwaambia mkifika mji usio wakaribisha kung'uteni mavumbi yenu, sasa wewe unataka gwajima anyamaze achafuliwe, Gwajima naye ni binadamu, sio Yesu au Mungu maana ana feel pain, pia Gwajima ka mtumishi kasema ukweli wa udaganyifu wa Bashite.
R RTT RTT rddee rdrryyredrrrrreddreeteerter
 
Hivi huyu Gwajima si ndio aliyemtukanaga Askofu mwenzie, wa kanisa katoliki 'Kardinali Pengo' wakati uleee au mwingine?

Maana kama ndio huyu huyu aliyetukana ile mitusi kwa askofu mwenzie, me simuamini kama ni mtumishi wa kweli aisee, Mungu na Yesu wa kwenye Biblia namjua, hafundishi anachofanya huyo Gwajima., yeye ni Upendo
 
Wakuu, ili kujua kama gwajimaaa ni nabii wa uwongo, mwambieni mheshimiwa RC atuonyeshe vyeti vyake original.

Kama vyeti vipo, basi gwajimaaa atakuwa nabii wa uwongo kabisaaa. Kinyume na hapo mhe. RC akombe msamaha kwa gwajimaa maana alisema chungu kinaendelea kupata moto.

Fita ni fita mura
Mwambieni kwanza gwajima akamwombe maamaha Mbasha kwa kuvunja ndoa yake
 
Hivi huyu Gwajima si ndio alivyoanza alianza na kusema anafufua misukule? Akatuaminisha kabisa kuna watu walikuwa anawarudisha waliokufa, hata Amina Chifupa akatuambia hajafa yeye atamrudisha?

Hivi aliishia wapi na ile kazi yake kufufua misukule? Na Amina Chifupa alimrudisha kweli au? Maana sikusikia tena
 
Kabla haijapambana naye, wambambie mtuhumiwa atoe vyeti vyake halisi vyenye majina yake wakati anazaliwa.
Tukikutuhumu wewe ni mwizi, sisi tuliokutuhumu ndio tunatakiwa kuthibitisha wewe ni mwizi, la sivyo tumekuchafulia jina.

Gwajima kasema amefoji cheti, yeye ndio athibitishe kwa kutuletea cheti feki na original tujihakikishie
 
Ndugu Paskali dawa ya uwongo ni kusema ukweli ukiambatana na vielelezo maridhawa ili uwongo ujitenge. La msingi hapa ni kumshauri anayesingiziwa kufoge vyeti kutueleza form I - IV alisoma wapi kwa jina gani na alikuwa na akina nani darasani. Kukaa kimya mara nyingi ni kukosa majibu yenye mashiko. Kama ni mkristo wa kweli anweza hata akaweka cheti cha ubatizo au kipa imara katika kupinga uongo unaozagaa kwa kasi. Sasa taabu iko wapi katka kudhihirisha hili??????
Kama Mheshimiwa Edward Lowasa alivyokaa kimya?
 
Wanabodi,
Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje?.
Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".

Mchungaji Dr. Josephat Gwajima ni Nabii wa Kweli au Nabii wa Uongo?.
Hii ni thread ya swali kumhusu Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, Mchungaji, Dr. Josephat Gwajima, Jee ni Mtumishi wa Mungu wa Kweli?!, ni Nabii wa kweli au ndio wale manabii wa uongo aliowazungumza Bwana wetu Yesu Kristo?.

Akiwa katika mimbari, madhabahuni, mbele ya Mungu na wana kondoo wake, badala ya kuihubiri Injili na neno la Mungu lenye uzima na lenye kujenga upendo, amani na mshikamano miongoni mwa jamii, yeye anahubiri siasa kwenye nyumba ya ibada, tena mahubiri juu ya chuki dhidi ya binadamu mwingine hadi kumuita "huyu kiumbe"!.

Japo ni kweli Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda alimdhalilisha Mchungaji Gwajima kwa kumtaja kujihusisha na madawa ya kulevya, jee namna ambayo Mchungaji Gwajima, anavyomzungumzia Mkuu wetu wa Mkoa, ndivyo Bwana Yesu alivyofundisha namna ya kuwashughulikia wale walio tukosea?. Yesu alifundisha mtu akikupiga kibao shavu la kushoto mgeuzie na la kuume. Adui mpende. Samehe saba mara sabini. Vipi kuhusu Baba Mchungaji Gwajima kumuishi Bwana Yesu kwa maneno na matendo? .

Jee Maneno na Matendo ya Mchungaji Gwajima ni Kama Yesu, ni ya KiMungu?.
Swali ni jee huu ndio utendaji wa watu wa Mungu, kuwatakia wenzao mabaya?, kuwazushia uongo mchana kweupe tena madhabahuni kwenye mimbari ya Mungu?!. Yesu alitufundisha, "tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari, na tumpe Mungu yaliyo ya KiMungu, kwanini Mchungaji Gwajima, analeta ya Kaisari mezani kwa Bwana?!. Jee huyu Mchungaji Gwajima, ni mchungaji wa Mungu au ni wa mungu?. Mchungaji Gwajima kama mtu wa Mungu wa kweli, anaweza kweli kusema uwongo kama ule madhabahuni kwa Bwana?!. Jee huyu ni mchungaji wa kweli anayemtumikia Mungu wa kweli, au ndio wale wachungaji aliyewasema Bwana wetu Yesu Kristo kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Bwana Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Jee kwa matendo kama haya, kuna kitu chochote cha kutambua?.
Mchungaji Gwajima ni Nabii wa Mungu, au nabii wa mungu?.
Japo nimewahi kushiriki Ibada kwa Mchungaji Gwajima, naomba mimi nisiseme kitu bali msikilize mmoja wa waumini wake ambaye pia ni mwanachama mwenzetu hapa jf.

Kwa ushuhuda huu mtaona tuhuma unga kwa Mchungaji hazikutolewa na Makonda kwa wivu wa helicopter au vita vya Jimbo bali Makonda alipewa majina na akayaanika.
Paskali
Jumatatu Njema.
Paskali
Wewe Pasco ni mpagani na haujui Biblia wala huna Haki kuitangaza sheria ya BWANA kama ilivyoandikwa
16 Bali mtu asiye haki, Mungu amwambia,Una nini wewe kuitangaza sheria yangu,Na kuliweka agano langu kinywani mwako?
17 Maana wewe umechukia maonyo,Na kuyatupa maneno yangu nyuma yako.
18 Ulipomwona mwivi ulikuwa radhi naye,Ukashirikiana na wazinzi.
19 Umekiachia kinywa chako kinene mabaya,Na ulimi wako watunga hila.
20 Umekaa na kumsengenya ndugu yako,Na mwana wa mama yako umemsingizia.
21 Ndivyo ulivyofanya, nami nikanyamaza;
Ukadhani ya kuwa Mimi ni kama wewe.Walakini nitakukemea;
Nitayapanga hayo mbele ya macho yako.
ZABURI 50:16-21

Unakumbuka Paskali Mayala siku ulijifanya mkristu na vimaandiko vyako kwa askofu Kakobe ukiandaa kipindi chenu cha Kitimoto ?
Video clip iko mitandaoni.
 
Wanabodi,
Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje?.
Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".

Mchungaji Dr. Josephat Gwajima ni Nabii wa Kweli au Nabii wa Uongo?.
Hii ni thread ya swali kumhusu Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, Mchungaji, Dr. Josephat Gwajima, Jee ni Mtumishi wa Mungu wa Kweli?!, ni Nabii wa kweli au ndio wale manabii wa uongo aliowazungumza Bwana wetu Yesu Kristo?.

Akiwa katika mimbari, madhabahuni, mbele ya Mungu na wana kondoo wake, badala ya kuihubiri Injili na neno la Mungu lenye uzima na lenye kujenga upendo, amani na mshikamano miongoni mwa jamii, yeye anahubiri siasa kwenye nyumba ya ibada, tena mahubiri juu ya chuki dhidi ya binadamu mwingine hadi kumuita "huyu kiumbe"!.

Japo ni kweli Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda alimdhalilisha Mchungaji Gwajima kwa kumtaja kujihusisha na madawa ya kulevya, jee namna ambayo Mchungaji Gwajima, anavyomzungumzia Mkuu wetu wa Mkoa, ndivyo Bwana Yesu alivyofundisha namna ya kuwashughulikia wale walio tukosea?. Yesu alifundisha mtu akikupiga kibao shavu la kushoto mgeuzie na la kuume. Adui mpende. Samehe saba mara sabini. Vipi kuhusu Baba Mchungaji Gwajima kumuishi Bwana Yesu kwa maneno na matendo? .

Jee Maneno na Matendo ya Mchungaji Gwajima ni Kama Yesu, ni ya KiMungu?.
Swali ni jee huu ndio utendaji wa watu wa Mungu, kuwatakia wenzao mabaya?, kuwazushia uongo mchana kweupe tena madhabahuni kwenye mimbari ya Mungu?!. Yesu alitufundisha, "tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari, na tumpe Mungu yaliyo ya KiMungu, kwanini Mchungaji Gwajima, analeta ya Kaisari mezani kwa Bwana?!. Jee huyu Mchungaji Gwajima, ni mchungaji wa Mungu au ni wa mungu?. Mchungaji Gwajima kama mtu wa Mungu wa kweli, anaweza kweli kusema uwongo kama ule madhabahuni kwa Bwana?!. Jee huyu ni mchungaji wa kweli anayemtumikia Mungu wa kweli, au ndio wale wachungaji aliyewasema Bwana wetu Yesu Kristo kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Bwana Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Jee kwa matendo kama haya, kuna kitu chochote cha kutambua?.
Mchungaji Gwajima ni Nabii wa Mungu, au nabii wa mungu?.
Japo nimewahi kushiriki Ibada kwa Mchungaji Gwajima, naomba mimi nisiseme kitu bali msikilize mmoja wa waumini wake ambaye pia ni mwanachama mwenzetu hapa jf.

Kwa ushuhuda huu mtaona tuhuma unga kwa Mchungaji hazikutolewa na Makonda kwa wivu wa helicopter au vita vya Jimbo bali Makonda alipewa majina na akayaanika.
Paskali
Jumatatu Njema.
Paskali
Sifa kuu ya nabii ya uongo ni kusema uongo au kinyume na Kweli ya maandiko ya Biblia.

HUNA SIFA YA KUMUHUKUMU ASKOFU GWAJIMA AU MTUMISHI YEYOTE WA MUNGU.

4 Wewe u nani unayemhukumu mtumishi wa mwingine? Kwa bwana wake mwenyewe yeye husimama au huanguka. Naam, atasimamishwa, kwa kuwa Bwana aweza kumsimamisha.
ROMANS 14:4

Kwa mfano,ni wapagani na Wakristu wengi kama wewe PASCO wana sifa ya kusema Uongo na kueneza pamoja na kutenda dhambi nyingine na kupoteza sifa ya kuhukumu wengine au kuonyesha kidole kimoja wakati vidole vingine vinamrudia na kuhukumu mwenyewe kwa ulevi, uzinzi,unafiki, nk.
 
Wanabodi,
Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje?.
Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".

Mchungaji Dr. Josephat Gwajima ni Nabii wa Kweli au Nabii wa Uongo?.
Hii ni thread ya swali kumhusu Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, Mchungaji, Dr. Josephat Gwajima, Jee ni Mtumishi wa Mungu wa Kweli?!, ni Nabii wa kweli au ndio wale manabii wa uongo aliowazungumza Bwana wetu Yesu Kristo?.

Akiwa katika mimbari, madhabahuni, mbele ya Mungu na wana kondoo wake, badala ya kuihubiri Injili na neno la Mungu lenye uzima na lenye kujenga upendo, amani na mshikamano miongoni mwa jamii, yeye anahubiri siasa kwenye nyumba ya ibada, tena mahubiri juu ya chuki dhidi ya binadamu mwingine hadi kumuita "huyu kiumbe"!.

Japo ni kweli Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda alimdhalilisha Mchungaji Gwajima kwa kumtaja kujihusisha na madawa ya kulevya, jee namna ambayo Mchungaji Gwajima, anavyomzungumzia Mkuu wetu wa Mkoa, ndivyo Bwana Yesu alivyofundisha namna ya kuwashughulikia wale walio tukosea?. Yesu alifundisha mtu akikupiga kibao shavu la kushoto mgeuzie na la kuume. Adui mpende. Samehe saba mara sabini. Vipi kuhusu Baba Mchungaji Gwajima kumuishi Bwana Yesu kwa maneno na matendo? .

Jee Maneno na Matendo ya Mchungaji Gwajima ni Kama Yesu, ni ya KiMungu?.
Swali ni jee huu ndio utendaji wa watu wa Mungu, kuwatakia wenzao mabaya?, kuwazushia uongo mchana kweupe tena madhabahuni kwenye mimbari ya Mungu?!. Yesu alitufundisha, "tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari, na tumpe Mungu yaliyo ya KiMungu, kwanini Mchungaji Gwajima, analeta ya Kaisari mezani kwa Bwana?!. Jee huyu Mchungaji Gwajima, ni mchungaji wa Mungu au ni wa mungu?. Mchungaji Gwajima kama mtu wa Mungu wa kweli, anaweza kweli kusema uwongo kama ule madhabahuni kwa Bwana?!. Jee huyu ni mchungaji wa kweli anayemtumikia Mungu wa kweli, au ndio wale wachungaji aliyewasema Bwana wetu Yesu Kristo kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Bwana Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Jee kwa matendo kama haya, kuna kitu chochote cha kutambua?.
Mchungaji Gwajima ni Nabii wa Mungu, au nabii wa mungu?.
Japo nimewahi kushiriki Ibada kwa Mchungaji Gwajima, naomba mimi nisiseme kitu bali msikilize mmoja wa waumini wake ambaye pia ni mwanachama mwenzetu hapa jf.

Kwa ushuhuda huu mtaona tuhuma unga kwa Mchungaji hazikutolewa na Makonda kwa wivu wa helicopter au vita vya Jimbo bali Makonda alipewa majina na akayaanika.
Paskali
Jumatatu Njema.
Paskali
Wewe Pasco mayalla kweli box tupu, hizo biblia uwa mnasoma nusu nusu, Yesu alimuita herode mbweha, Elia aliwachinja manabii wa bahari, Yesu alimwaga vitu vya mafarisayo sokoni, sio kila kitu unasamehe, utajikuta unasamehe shetani aliyevaa umbo la mwanadamu
 
Usijitoe ufahamu kama mtu anajua ametenda dhambi a naambiwa atubu hataki afanyweje? Unafahamu jinsi Yona alivyonibariki Ninawi?
 
Back
Top Bottom