Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Ndio maana Kibwetere alifanikiwa kuwachoma moto waumini wake yote sababu ya kufuata dini kindondocha. Hao wanaojipua na wafuasi wa Gwajima hawana tofauti.
NI kweli kabisa,acha tuje tuwahukumu wakijichoma moto!!!
 
Hoja yangu ni nikuu ya Gwajima mara tu baada ya kutoka sentro

Vyeti tupo watu wengi sana tutahoji maana haya ni ya kaisari mkuu

Ni kweli paul,
Pia injili ya kusamehe si ya wachungaji pekee ni wanadamu wote na hasa kwa wanasiasa.
 
Wewe unaonekana umevuta bangi au wewe ni mnywa viroba sasa vimekukolea unaanza kutusi watu.
Matusi yako wapi? Ww ni mmoja wapo ya waumini wa huyu msanii Gwajima? Hivi kati ya hayo maaandishi niliyoandika na maneno ya Gwajima dhidi ya Pengo yapi matusi?
 
Mimi namjua siku nyingi sana HATAKAGI ujinga ndiyo maana wengi hawamwelewi haraka huyo si kama unaowajua wewe

Nikweli hatagi ujinga, ukimuudhi Imani anatupa kule mnakwenda naye na kumalizana naye kimtaani tu
 
Matusi yako wapi? Ww ni mmoja wapo ya waumini wa huyu msanii Gwajima? Hivi kati ya hayo maaandishi niliyoandika na maneno ya Gwajima dhidi ya Pengo yapi matusi?
Jitambue Gwajima ni Askofu na Pengo ni Askofu sasa wanapokutana kwenye anga zao wewe unalalama nini???
 
NDUGU PAUL S.S MADA YAKO ILI TAKIWA IWE HIVI:

Kama raia mwema naunga mkono Makonda athibitishe elimu yake na ikiwa amefoji sheria ichukue mkondo wake kama kawaida.

ZILIZO BAKI NI POROJO TU!!!.
You
Genius [emoji111]
 
Jitambue Gwajima ni Askofu na Pengo ni Askofu sasa wanapokutana kwenye anga zao wewe unalalama nini???

Mkuu hao ni viongozi wa kiroho na adui wao ni mmoja

Sio sawa na Lema vs Gumbo
 
Gwajima nitapeli wa neno la Mungu! Amekaa kimaslahi zaidi amedumaa kiroho mno..! Anaenenda kidunia zaidi kuliko kimungu.
Onyesha kipimo chako chenye hizo takwimu..la sivyo utakuwa mpiga domo tu...yaani mbwabwajaji mno.
 
Onyesha kipimo chako chenye hizo takwimu..la sivyo utakuwa mpiga domo tu...yaani mbwabwajaji mno.

Mkuu Gwajima alisema wenye Mungu husamehe na aksema amesamehe
Sasa amegeuza kanisa lake uwanja wa kulipiza kisasi
Je yeye ni Mjinga kwa mujibu wa kauli yake?
 
Bro mshahara wa dhambi ni mauti.Muumba mwenyewe katoa angalizo kwamba ufanyapo dhambi tubu vinginevyo utakumbana na moto.Pia alitupatia utashi wa kujua mema na mabaya hivyo unapofanya dhambi unakuwa unatambua hivyo ni bora kutubu.zSasa basi mbona hatujaona sehemu yo yote kutubu kwa Rc kumtuhumu uongo mtumishi wa Mungu ili Mungu atoe msamaha?
Acheni dhana ya kusamehe kwa Gwajima wakati Rc hajaomba msamaha wa Mungu na kila mara anatembelea majengo ya kuabudia.
Kumbukeni Hakuna Mungu wa Makonda na Mungu mwingine wa Gwajima.
 
Binafsi ni bora kukaa nyumbani kuliko kusikiliza mafundisho ya gwajima
 
Gwajima hana ethics za utumishi... anaongea tu ilimradi aonekane yumo..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…